Saizi hii ya uume wangu ni "kibamia"?

Saizi hii ya uume wangu ni "kibamia"?

Hapo kwenye unene punguza mpaka 1. 5 mpaka au 1.6
Mkuu hiyo 1.5 au 1.6 ni unene wa penseli[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
una uume wakutosha kabisa kumlidhisha mwanamke na hata kuweka sperm za kutosha ndani yake.....so kuhusu hz comment za wadau....dont bother....
 
Hii dhana ya kibamia ni upumbavu mkuu kusumbua kichwa chako kuwaza upuuzi huu, akwambiaye una kibamia mwulize yeye ana nn?
Kwa nn hii kadhia iwe nyakati hizi ya tekinologia kubwa?
kwa nn wazee wetu hawakukumbwa na kadhia hii?
ukijibu maswali haya utakuwa umeshinda kadhia ya kibmia
 
Acha kujipa pressure wewe kibamia kibamia..kuna watu wana ma nondo lakin kitandani ni zero pamoja na kua na dusheee kuubwa.

Ki ufupi ni we pambana na hali yako na juhudi zako ukifata ya kibamia utaishia kuogpa ata kuvua boxer mbele ya dem wako. Joh
 
Hajui hesabu za metric huyu
Mkuu wewe ndio hujui hesabu, wala huelewi namna vitu vinavyopimwa
373e199eaf61c399945cadb1b5dbe75f.jpg
angalia vizuri hapo[emoji115] [emoji115]
 
It's not the size of the dog in the fight, it's the size of the fight in the dog that matters.
 
khaa kwani kuna mtu mwenye uume wenye size ya kidole cha mwisho?
Dhana ya kibamia imeletwa na watazama porn, wanadanganyika na mapicha feki.
Ni kama matangazo ya madawa ya kukuza maumbile, si uhalisia.

Hebu google neno micropenis, halafu soma na angalia picha.
 
Dhana ya kibamia imeletwa na watazama porn, wanadanganyika na mapicha feki.
Ni kama matangazo ya madawa ya kukuza maumbile, si uhalisia.

Hebu google neno micropenis, halafu soma na angalia picha.
dah mkuu hzo picha ni majanga aisee duuuh
 
Ukitaka kujua ukwerii zaid inabidii umsikilize mwanamke wakoo anachosema akikwambia ni kibamia elewa ni kwerii,,,, kwanza hata wew mwenyew unavotombana unajijua jins inavotait au kupwaya
 
Back
Top Bottom