Dah hawa wajinga wamefanya watu wakae mpaka Saa saba Usiku kusubili Ki atambulishwe kumbe hola hivi vya Simba na Yanga vinatufanya Mashabiki kama wendawazimu.Aziz Ki ametoa masharti na bado wapo kwenye mazungumzo, hajasaini bado maana kuna klabu moja nje ya Afrika ni kama ametegeshea hivi
niliishia hapo kwenye kusoma uzi. ameandika takatakaAziz ki ni Free agent. Usituletee uongo wako hapa.
Hana anachojua hajielewi.Ki Aziz amemaliza mkataba wa miaka 2 kule Asec. Page ya timu yake wameandika hivyo
Uwendawazimu tunautafuta tu sisi wenyewe. Kunahaja Gani kuwa macho mpk usiku wa manane ili kufuatilia habari za usajili za timu yako.Dah hawa wajinga wamefanya watu wakae mpaka Saa saba Usiku kusubili Ki atambulishwe kumbe hola hivi vya Simba na Yanga vinatufanya Mashabiki kama wendawazimu
Wanavizia free agent Hawa uwaze wa propaganda mwendo wa kutembelea kitongaKi ndo ambaye Uto wamekaa kukesha kusubiri kutambulisha..!
Hivi klabu hii inawezaje kuleta uongo wa namna hii.
Kumbe Hadi wew umemuona uto mwenzio tahira[emoji23][emoji23]Kwa hiyo yule mzambia wa zanaco aliyetambulishwa na makolo juzi hapa, ilikuwa chai?
Ni loan mkuu.Eti okrah ni loan na wakati hata media za ghana Zime report kauzwa kwa usd 120,000 ,eti azizi ki ni dollar laki mbili wakati kamaliza mkataba asec ,dah majitu yamezoea propaganda hadi aibu
Eti Okrah amekuja kwa mkopo..huyu jamaa mgonjwa.niliishia hapo kwenye kusoma uzi. ameandika takataka