Sajili 10 Bora Zilizozua Gumzo Katika Dirisha hili la Usajili Ligi Kuu Tanzania Bara

Sajili 10 Bora Zilizozua Gumzo Katika Dirisha hili la Usajili Ligi Kuu Tanzania Bara

$200,000

Mtawatukana viongozi na wachezaji wenu. Tayari amechukua tahadhari season ijayo itakua ngumu kwenu kutokana na mafanikio yenu ya msimu huu, timu zitawakamia sana. Hahah

Free agents, wengine ni rejects huko walipotoka.

Hakuna anayetaka mteremko.

Hata msimu ulio pita tulikamiwa.
 
Huyo Aziz Ki ndiyo atasababisha muwaone viongozi wenu ni watu wa Fix maana waliwaaminisha wanamleta ili hali mambo bado.
Ndiyo maana simba wameamua kufanya usajili kimyakimya ili kuepusha kudanganya wanazungumza na mchezaji mpk makubaliano mambo yakikaa vizuri ndiyo wanamtangaza

Sijakuelewa..

[emoji91][emoji23]
 
Una wazimu we, unadhani huu mpira unaufuatilia peke yako? Kwani Aziz Ki ungemjua bila Simba kumleta hapa? Mjinga wee.

Binti hivi umeolewa wewe?

Mbona una mdomo mchafu kwa wazee wako?
 
Mi nilitaka kushangaa yaani aziz ki aache ku sign simba aende utopolo kumbe ile ilikuwa ni propaganda ya kuombea kura kwa engineer aende yanga team inaheza mechi mbili kimataifa inarudi beach kidimbwi.
Kweli tumeona hongera simba kwa kumchukua aziza mdambwanda wa sinza
 
Huku kwenye soka sijui kafuata nini huyu aunty hajui kitu na analazimisha mbele ya ma master
Wee ndo unajua? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naijua soka hata hunifikii, na nimecheza hili boli.
 
Wee ndo unajua? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naijua soka hata hunifikii, na nimecheza hili boli.
Yaani mimi nisikujue wewe kweli jamani?🙌🙌

Sasa utanishinda nini wewe? Hii nchi uhuru umepitiliza aseeh 😂😂

Yaani kina naniliu mnacheza soka? Au basi 🤣🤣🤣🤣
 
Yaani mimi nisikujue wewe kweli jamani?[emoji119][emoji119]

Sasa utanishinda nini wewe? Hii nchi uhuru umepitiliza aseeh [emoji23][emoji23]

Yaani kina naniliu mnacheza soka? Au basi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hebu maliziaaa, nikusikie vizuri.
Usiogope kuwa huruuu.
 
Alokwambia okrah ni loan nani kaka acha umbeya...
 
1. Aziz Stephane Ki ($200,000) Asec Mimosas to Yanga SC

2. Bernard Morriso (Free Agent) Simba SC to Hanga SC

3. Augustino Okrah (Loan) Bechem UTD to Simba SC

4. Ceaser Manzoki ($58,000) Vipers SC to Simba SC

5. Gael Bigirimana (Loan) Glentoran_F.C to Yanga SC

6. Abdul Sopu ($50,000) Coast Union FC to Azam FC

7. Joyce Lomalisa ($25,000) G.D. Interclube to Yanga SC

8. Lazarous Kambole (Free Agent) Kaizer Chiefs to Yanga SC

9. Habibu Kyombo ($14,000) Singida BS FC to Simba SC

10. Metacha Mnata (Free Agent) Polisi Tanzania to Singida BS FC
.
FB_IMG_1611660294488.jpg
 
Kwahiyo Okra alikosa namba Hadi akatokewa kwa mkopo, ili and Simba kuimarisha kiwango chake halafu atarudi .

Okra kanunuliwa usd 20000 Sawa na tsh 460 milioni, nimekupa tu taarifa.

Ila unahangaika sana na Simba. Umepandisha maandiko mengi Sana humu na yote Ni hasi KUHUSU Simba. Kuna threads zako zaidi ya kumi na zote zinahusu simba. Yaani huna jema lolote KUHUSU Simba.

Bahati nzuri Simba si watu wa maneno mengi. Hakuna utopolo mwenye akili, alisikika kichaa mmoja anasema.

Unajua usajili wa Simba Ni wa viwango ndiyo maana mmeingia mchecheto.

Subirini tarehe 13August tutawekana sawa.

Nb:Kwani CAFCL mnaanzia ugenini au nyumbani? CAF hawajajibu maombi yenu?
 
Back
Top Bottom