Sajili 10 Bora Zilizozua Gumzo Katika Dirisha hili la Usajili Ligi Kuu Tanzania Bara

ETI OKRAH NI LOAN, YAANI STAR WAKO UMPELEKE LOAN TENA TEAM YA AFRIKA MASHARIKI,HIVI MNAJUA MANA YA LOAN? LEO KONDE BOY AKIRUDI SIMBA KWA LOAN SABABU INAELEWEKA KABISA..HADI SASA YANGA ILIOWASAJILI HAIJANUNUA HATA MMOJA WOTE NI FREE AGENTS..LABDA SIGNING FEES NDO WAMEGHARAMIKA..SOMA HAPA MAGAZETI YA GHANA
 
Kwa ulivyoanza tu kuandika upuuzi hamna haja ya kusoma zaidi.
 

Banda alikuwa Sherrif Tiraspor on loan from Big Bullet.

Hapo vipi?
 
Bei mliyomuuza kama mlimuuza lkn

Niliyempa hilo jawabu alikuwa anadai simba haijawahi kusajili free agent.

Yaani yenyewe inanunua tu.

Ndio nikamuuliza morrison walimnunua bei gani kutoka Yanga sc.?
 
Siwezi bishana na wewe unaue ishi kazulamimba vijijini.

Hizi taarifa siziokoti.
Una wazimu we, unadhani huu mpira unaufuatilia peke yako? Kwani Aziz Ki ungemjua bila Simba kumleta hapa? Mjinga wee.
 

Punguza uongo, Aziz Ki ametemwa huko kwao.
 
Muwe mnafunga midomo.
 
Mi nilitaka kushangaa yaani aziz ki aache ku sign simba aende utopolo kumbe ile ilikuwa ni propaganda ya kuombea kura kwa engineer aende yanga team inaheza mechi mbili kimataifa inarudi beach kidimbwi.
Mkiambiwa makolo hamna akili huwa mnasema tunawaonea
 
Mi nilitaka kushangaa yaani aziz ki aache ku sign simba aende utopolo kumbe ile ilikuwa ni propaganda ya kuombea kura kwa engineer aende yanga team inaheza mechi mbili kimataifa inarudi beach kidimbwi.

Kumbe mnamtamani ehhh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…