$200,000
Mtawatukana viongozi na wachezaji wenu. Tayari amechukua tahadhari season ijayo itakua ngumu kwenu kutokana na mafanikio yenu ya msimu huu, timu zitawakamia sana. Hahah
Free agents, wengine ni rejects huko walipotoka.
Huyo Aziz Ki ndiyo atasababisha muwaone viongozi wenu ni watu wa Fix maana waliwaaminisha wanamleta ili hali mambo bado.
Ndiyo maana simba wameamua kufanya usajili kimyakimya ili kuepusha kudanganya wanazungumza na mchezaji mpk makubaliano mambo yakikaa vizuri ndiyo wanamtangaza
Kweli tumeona hongera simba kwa kumchukua aziza mdambwanda wa sinzaMi nilitaka kushangaa yaani aziz ki aache ku sign simba aende utopolo kumbe ile ilikuwa ni propaganda ya kuombea kura kwa engineer aende yanga team inaheza mechi mbili kimataifa inarudi beach kidimbwi.
Huku kwenye soka sijui kafuata nini huyu aunty hajui kitu na analazimisha mbele ya ma masterBinti hivi umeolewa wewe?
Mbona una mdomo mchafu kwa wazee wako?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa mmepigwa za uso huko, na atawavuruga vibayaaa.Binti hivi umeolewa wewe?
Mbona una mdomo mchafu kwa wazee wako?
Wee ndo unajua? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huku kwenye soka sijui kafuata nini huyu aunty hajui kitu na analazimisha mbele ya ma master
Yaani mimi nisikujue wewe kweli jamani?ππWee ndo unajua? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naijua soka hata hunifikii, na nimecheza hili boli.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hebu maliziaaa, nikusikie vizuri.Yaani mimi nisikujue wewe kweli jamani?[emoji119][emoji119]
Sasa utanishinda nini wewe? Hii nchi uhuru umepitiliza aseeh [emoji23][emoji23]
Yaani kina naniliu mnacheza soka? Au basi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
.1. Aziz Stephane Ki ($200,000) Asec Mimosas to Yanga SC
2. Bernard Morriso (Free Agent) Simba SC to Hanga SC
3. Augustino Okrah (Loan) Bechem UTD to Simba SC
4. Ceaser Manzoki ($58,000) Vipers SC to Simba SC
5. Gael Bigirimana (Loan) Glentoran_F.C to Yanga SC
6. Abdul Sopu ($50,000) Coast Union FC to Azam FC
7. Joyce Lomalisa ($25,000) G.D. Interclube to Yanga SC
8. Lazarous Kambole (Free Agent) Kaizer Chiefs to Yanga SC
9. Habibu Kyombo ($14,000) Singida BS FC to Simba SC
10. Metacha Mnata (Free Agent) Polisi Tanzania to Singida BS FC
Kwahiyo Okra alikosa namba Hadi akatokewa kwa mkopo, ili and Simba kuimarisha kiwango chake halafu atarudi .1. Aziz Stephane Ki ($200,000) Asec Mimosas to Yanga SC