Sajili jina la biashara bure leo

Sajili jina la biashara bure leo

daydreamerTZ

Senior Member
Joined
Sep 26, 2020
Posts
146
Reaction score
233
OFA KABAMBE!

Je, unahitaji kusajili jina la biashara? Hii ni nafasi yako ya kipekee! Day Dreamer TZ Consultancy inatoa OFA maalum ya kusajili majina mawili ya biashara kwa watu wawili Tu, BURE! (Hakuna ada ya huduma.) Utalipia tu gharama za control namba, kiasi cha Tsh 20,000/= TU, ambazo unafanya malipo mwenyewe.

Usikose nafasi hii ya kipekee! Jisajili sasa kupitia link hii: Mahitaji Ya kusajili jina la biashara BRELA.

Kwa mawasiliano zaidi, tuma ujumbe kupitia WhatsApp kwa namba: 0629706263.

Anza safari ya mafanikio na biashara yako na Day Dreamer TZ Consultancy!

Chukua hatua sasa – nafasi ni chache!
 
Nimetuma taarifa zangu kwa hiyo link mkuu
 
Naomba kuelewa ina maana ninyi ni wakala wa BRELA u
 
OFA KABAMBE!

Je, unahitaji kusajili jina la biashara? Hii ni nafasi yako ya kipekee! Day Dreamer TZ Consultancy inatoa OFA maalum ya kusajili majina mawili ya biashara kwa watu wawili Tu, BURE! (Hakuna ada ya huduma.) Utalipia tu gharama za control namba, kiasi cha Tsh 20,000/= TU, ambazo unafanya malipo mwenyewe.

Usikose nafasi hii ya kipekee! Jisajili sasa kupitia link hii: Mahitaji Ya kusajili jina la biashara BRELA.

Kwa mawasiliano zaidi, tuma ujumbe kupitia WhatsApp kwa namba: 0629706263.

Anza safari ya mafanikio na biashara yako na Day Dreamer TZ Consultancy!

Chukua hatua sasa – nafasi ni chache!
Mnanufaika na nini au mtego huu?
 
Jina lako la biashara umeshindwa kulitengenezea verified account JamiiForums, je Mimi naanzaje kukitumia wewe usajili majina ya biashara zangu Brela?
 
hapo mbona hakuna bure mkuu ? maana usajiri wa jina hata mbumbu anafanya na atalipa hiyo hiyo 20k
mkuu, Jambo unalolijua ww sio Kila mtu analifahamu, hongera Sana kwakujua urahisi WA hili jambo, lakini tambua Kuna watu linawashinda kabisa sasa hao ndio walikuwa walengwa wa hii ofa na sio wasomi na waelewa kama wewe
 
Mie sina usomi wowote, darasa la 7 D. Kuna company kama zenu huwa naona wanaanzisha post kuonesha hatua kwa hatua za ufunguaji iwe jina la biashara au company, kukaa na taarifa za mteja kwa mtu kndividual ni risk..
 
Upo sahihi boss, Asante
 
Unadanganya tu watu, garama ndo hizo 20,000 za kitanzania Bado bili ya Kila mwezi
 
hakuna gharama za kila mwezi mbn unazungumzia mambo usiyoyajua, nakudanganya kupi wakati nimeweka taarifa zote kuwa utalipia 20,000/= , nikisema Bure namaanisha hakuna gharama ya kazi Kwa wale waliokwama kusajili , Mkuu tafadhali usikurupuke Tena , Asante sana
 
Back
Top Bottom