daydreamerTZ
Senior Member
- Sep 26, 2020
- 146
- 233
Nimetuma taarifa zangu kwa hiyo link mkuuOFA KABAMBE!
Je, unahitaji kusajili jina la biashara? Hii ni nafasi yako ya kipekee! Day Dreamer TZ Consultancy inatoa OFA maalum ya kusajili majina mawili ya biashara kwa watu wawili Tu, BURE! (Hakuna ada ya huduma.) Utalipia tu gharama za control namba, kiasi cha Tsh 20,000/= TU, ambazo unafanya malipo mwenyewe.
Usikose nafasi hii ya kipekee! Jisajili sasa kupitia link hii: Mahitaji Ya kusajili jina la biashara BRELA.
Kwa mawasiliano zaidi, tuma ujumbe kupitia WhatsApp kwa namba: 0629706263.
Anza safari ya mafanikio na biashara yako na Day Dreamer TZ Consultancy!
Chukua hatua sasa – nafasi ni chache!
Wengine hatuoni linkNimetuma taarifa zangu kwa hiyo link mkuu
Ipo mkuu, huenda shida itakuwa kifaa uanchotumiaWengine hatuoni link
hapana boss, mm ni mshauri ninayejitegemeaNaomba kuelewa ina maana ninyi ni wakala wa BRELA u
nimepokea boss nafanyia kaziNimetuma taarifa zangu kwa hiyo link mkuu
Mnanufaika na nini au mtego huu?OFA KABAMBE!
Je, unahitaji kusajili jina la biashara? Hii ni nafasi yako ya kipekee! Day Dreamer TZ Consultancy inatoa OFA maalum ya kusajili majina mawili ya biashara kwa watu wawili Tu, BURE! (Hakuna ada ya huduma.) Utalipia tu gharama za control namba, kiasi cha Tsh 20,000/= TU, ambazo unafanya malipo mwenyewe.
Usikose nafasi hii ya kipekee! Jisajili sasa kupitia link hii: Mahitaji Ya kusajili jina la biashara BRELA.
Kwa mawasiliano zaidi, tuma ujumbe kupitia WhatsApp kwa namba: 0629706263.
Anza safari ya mafanikio na biashara yako na Day Dreamer TZ Consultancy!
Chukua hatua sasa – nafasi ni chache!
exposure TU boss karibu sanaMnanufaika na nini au mtego huu?
Jina lako la biashara umeshindwa kulitengenezea verified account JamiiForums, je Mimi naanzaje kukitumia wewe usajili majina ya biashara zangu Brela?OFA KABAMBE!
Je, unahitaji kusajili jina la biashara? Hii ni nafasi yako ya kipekee! Day Dreamer TZ Consultancy inatoa OFA maalum ya kusajili majina mawili ya biashara kwa watu wawili Tu, BURE! (Hakuna ada ya huduma.) Utalipia tu gharama za control namba, kiasi cha Tsh 20,000/= TU, ambazo unafanya malipo mwenyewe.
Usikose nafasi hii ya kipekee! Jisajili sasa kupitia link hii: Mahitaji Ya kusajili jina la biashara BRELA.
Kwa mawasiliano zaidi, tuma ujumbe kupitia WhatsApp kwa namba: 0629706263.
Anza safari ya mafanikio na biashara yako na Day Dreamer TZ Consultancy!
Chukua hatua sasa – nafasi ni chache!
umeangalia kwa makini boss???Jina lako la biashara umeshindwa kulitengenezea verified account JamiiForums, je Mimi naanzaje kukitumia wewe usajili majina ya biashara zangu Brela?
Hilo unalotumia JF sio jina lako la biashara, jina lako la biashara ni Day Dreamer TZ Consultancyumeangalia kwa makini boss???
upo sahihi kabisa, karibu sana mkuu.Hilo unalotumia JF sio jina lako la biashara, jina lako la biashara ni Day Dreamer TZ Consultancy
hapo mbona hakuna bure mkuu ? maana usajiri wa jina hata mbumbu anafanya na atalipa hiyo hiyo 20kupo sahihi kabisa, karibu sana mkuu.
mkuu, Jambo unalolijua ww sio Kila mtu analifahamu, hongera Sana kwakujua urahisi WA hili jambo, lakini tambua Kuna watu linawashinda kabisa sasa hao ndio walikuwa walengwa wa hii ofa na sio wasomi na waelewa kama wewehapo mbona hakuna bure mkuu ? maana usajiri wa jina hata mbumbu anafanya na atalipa hiyo hiyo 20k
Mie sina usomi wowote, darasa la 7 D. Kuna company kama zenu huwa naona wanaanzisha post kuonesha hatua kwa hatua za ufunguaji iwe jina la biashara au company, kukaa na taarifa za mteja kwa mtu kndividual ni risk..mkuu, Jambo unalolijua ww sio Kila mtu analifahamu, hongera Sana kwakujua urahisi WA hili jambo, lakini tambua Kuna watu linawashinda kabisa sasa hao ndio walikuwa walengwa wa hii ofa na sio wasomi na waelewa kama wewe
Upo sahihi boss, AsanteMie sina usomi wowote, darasa la 7 D. Kuna company kama zenu huwa naona wanaanzisha post kuonesha hatua kwa hatua za ufunguaji iwe jina la biashara au company, kukaa na taarifa za mteja kwa mtu kndividual ni risk..
hakuna gharama za kila mwezi mbn unazungumzia mambo usiyoyajua, nakudanganya kupi wakati nimeweka taarifa zote kuwa utalipia 20,000/= , nikisema Bure namaanisha hakuna gharama ya kazi Kwa wale waliokwama kusajili , Mkuu tafadhali usikurupuke Tena , Asante sanaUnadanganya tu watu, garama ndo hizo 20,000 za kitanzania Bado bili ya Kila mwezi