Nitakusaidia kusajiri jina la biashara tu kwa gharama ndogo,
1. tsh20 000=mahitaji ya brela
2.tsh5 000=gharama za ku-access mtandaon
3.tsh10 000=garama zangu za huduma.
pia ukipenda baada ya name clearance naweza kukupa pasward za acc yangu ukafanya malipo mwenyewe brela online, kisha kisha utaprint cheti cha mda na utapokea cheti cha kudumu baada ya mwezi mmoja kwa njia ya posta.
hapa hakuna wizi wala utapeli, hakuna haja ya PM tunazungumzia hapa hapa.
napatikana mwanza
Kwanini usimuelekeze tu ili mtu aweze jisajili mwenyewe?
Kumfundisha mtu jinsi ya kuvua samaki ni bora kuliko kumpa samaki.... siku usipokuwepo ataweza vua na kutumia.....
Tembelea
www.ors.brela.go.tz
Watanzania tubadilike tujifunze fanya vitu sisi wenyewe...
Mkuu uko sawa kabisa, ila kusajili si lazima wote wafungue a/c na kusajili.kuna watu wako bize, hawana vifaa, si wajuzi wa komputa nk, mwarobaini ni dawa lakini si wote wanaweza uchakata ingawa wanatumia
Kuwawekea gharama ya 5000 kwa internet na 10000 kama gharama ya kufanya kazi ni kubwa sana
Ila kwa wanaohitaji huduma na watakaoweza ku afford wamcheki, hì ni huduma ukihitaji sawa usipohitaji sawa, acheni kubania watu riziki zao
Nenda na kwenye hotel uwaambie soda haziuzwi tsh. 2000 ni tsh. 600
msaada nipo nairobi nafanya shughuli za interior n design procces ya kufungua kampun ipo vip wadau
Umekosea ni vyema ukakubaki kukosolewa, kama ni makosa ya ichapaji umeshindwa nini kuyarekebisha?Wewe ni mwalim tena uliekosa ajira, naona umeamua kujiajiri. unazani ulichokosoa sikijui? ni uchapaji wa haraka haraka tu ili niendelee na kazi nyingine
Umekosea ni vyema ukakubaki kukosolewa, kama ni makosa ya ichapaji umeshindwa nini kuyarekebisha?
Na hili umeliandika kimakosa? *Unazani au Unadhani.