Sajili jina la biashara kwa gharama ndogo

Sajili jina la biashara kwa gharama ndogo

bab-D

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2015
Posts
1,215
Reaction score
322
Nitakusaidia kusajiri jina la biashara tu kwa gharama ndogo,
1. tsh20 000=mahitaji ya brela
2.tsh5 000=gharama za ku-access mtandaon
3.tsh10 000=garama zangu za huduma.

Pia ukipenda baada ya name clearance naweza kukupa pasward za account yangu ukafanya malipo mwenyewe brela online, kisha kisha utaprint cheti cha mda na utapokea cheti cha kudumu baada ya mwezi mmoja kwa njia ya posta hapa hakuna wizi wala utapeli.

Hakuna haja ya PM tunazungumzia hapa hapa napatikana Mwanza
 
Kwanini usimuelekeze tu ili mtu aweze jisajili mwenyewe?
Kumfundisha mtu jinsi ya kuvua samaki ni bora kuliko kumpa samaki.... siku usipokuwepo ataweza vua na kutumia.....
Tembelea
www.ors.brela.go.tz

Watanzania tubadilike tujifunze fanya vitu sisi wenyewe...
 
Nitakusaidia kusajiri jina la biashara tu kwa gharama ndogo,
1. tsh20 000=mahitaji ya brela
2.tsh5 000=gharama za ku-access mtandaon
3.tsh10 000=garama zangu za huduma.
pia ukipenda baada ya name clearance naweza kukupa pasward za acc yangu ukafanya malipo mwenyewe brela online, kisha kisha utaprint cheti cha mda na utapokea cheti cha kudumu baada ya mwezi mmoja kwa njia ya posta.
hapa hakuna wizi wala utapeli, hakuna haja ya PM tunazungumzia hapa hapa.
napatikana mwanza

= kusajili
= password
 
= kusajili
= password

Wewe ni mwalim tena uliekosa ajira, naona umeamua kujiajiri. unazani ulichokosoa sikijui? ni uchapaji wa haraka haraka tu ili niendelee na kazi nyingine
 
Kwanini usimuelekeze tu ili mtu aweze jisajili mwenyewe?
Kumfundisha mtu jinsi ya kuvua samaki ni bora kuliko kumpa samaki.... siku usipokuwepo ataweza vua na kutumia.....
Tembelea
www.ors.brela.go.tz

Watanzania tubadilike tujifunze fanya vitu sisi wenyewe...

Mkuu uko sawa kabisa, ila kusajili si lazima wote wafungue a/c na kusajili.kuna watu wako bize, hawana vifaa, si wajuzi wa komputa nk, mwarobaini ni dawa lakini si wote wanaweza uchakata ingawa wanatumia
 
Kuwawekea gharama ya 5000 kwa internet na 10000 kama gharama ya kufanya kazi ni kubwa sana
 
Kuwawekea gharama ya 5000 kwa internet na 10000 kama gharama ya kufanya kazi ni kubwa sana

Ila kwa wanaohitaji huduma na watakaoweza ku afford wamcheki, hì ni huduma ukihitaji sawa usipohitaji sawa, acheni kubania watu riziki zao

Nenda na kwenye hotel uwaambie soda haziuzwi tsh. 2000 ni tsh. 600
 
Mkuu bora umenisaidia ndugu, nilianza kukosa cha kumjibu,lakini watambue kuwa sio kazi ya siku moja ingawa brela wameandika ni masaa manane, mimi nimesajiri jina la biashara yangu, imenichukua wiki tatu,yaani kwanza nilipendekeza tarh ya kufanyiwa kazi kama siku 2 kweli waka aprove nikashindwa kulipia kila nilipo jalibu baada ya wiki wakanitumia envoice no. ndo nikafanya malipo, kunijibu wiki na siku chache ndo wakaniruhusu kuprint cheti cha mda na kunijulisha wamenitumia cheti orginal ktk posta, kwa hiyo sio kazi ndogo, ingawa hapa hakuna rushwa na unaokoa gharama za kwenda huko na usumbufu
 
msaada nipo nairobi nafanya shughuli za interior n design procces ya kufungua kampun ipo vip wadau
 
msaada nipo nairobi nafanya shughuli za interior n design procces ya kufungua kampun ipo vip wadau

Unataka uifungulie tanzania au kenya? au ulisha fungua kenya sasa unataka ufungue tawi tanzania?
 
Mi nipe nje ya nchi ninarudi hivi karibuni naomba namba yako ya simu tuwasiliane nifungue.
 
Tatixo watu wengi wanataka free service!! Wakati MTU anatoa mda na ujuzi wake kufanya kitu.....sasa kila MTU akufanya kila kitu.....nn maana ya division of labour?
 
Wewe ni mwalim tena uliekosa ajira, naona umeamua kujiajiri. unazani ulichokosoa sikijui? ni uchapaji wa haraka haraka tu ili niendelee na kazi nyingine
Umekosea ni vyema ukakubaki kukosolewa, kama ni makosa ya ichapaji umeshindwa nini kuyarekebisha?

Na hili umeliandika kimakosa? *Unazani au Unadhani.
 
Umekosea ni vyema ukakubaki kukosolewa, kama ni makosa ya ichapaji umeshindwa nini kuyarekebisha?

Na hili umeliandika kimakosa? *Unazani au Unadhani.

Ticher ktk kazi
 
Back
Top Bottom