Sajili ya Simba ni Mfumo wa Biashara au njaa ya mafanikio

Mbona Kagame Cup hamjashiriki?

Mbona Mapinduzi Cup mmepoteza taji na hao hao Kikosi kipana.?
Sasa mtani Simba kawaachia mapinduzi cup na Kagame bado huridhiki,pia Kagame ukaikosa unataka msaada upi kutoka kwa klabu ya Simba,bila Simba kukupambania CACL kuvuta timu nne usingepanda ndege msimu huu.

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
 
kwan miq au chama walikuwa na takwimu gani CAF champion.. miq kashatolewa mkopo zaid ya mara mbili na team zake za huko nyuma.. miq kajulikana alipokuja na UD songo kucheza na simba.. tena mechi moja tu watu wakamuona.. ingia yotube tafuta video za miw kabla ya simba utaona z aud songo na simba so na yeye hakuwa na maajabu ila alipokuja simba kipaj kimepanda

chama ndo kabisa hakuna aliekuwa anamjua na alipokuja msimu wa kwanza alichemsha..

tuwape mda hawa waliosajiliwa tuwahukumu baada ya msimu kuisha.. ni mapema sana sa hv

hao wa yanga na azam unaowasema
kumbuka kina Sarpong wamekuja wakiwa top scoers huko walikotoka.. kina balinya so kusajili majina sio kigezo cha kufanya vizur..

wachezaj wote wa hiz team zote wahukumiwe msimu ukiisha
Kumbuka Miq alikuwa tayari kasajiliwa na Mamelodsundowns, kwa hiyo kiviwango
 
Kinachotokea Pale hata mimi huwa najiuliza sana.

Wanajenga timu? au wanaimarisha timu?

Kitendo cha kuondoka kwa wachezaji wawili tu halafu ukasajili wachezaji wapya nane (8) kuna ashiria kuwa hawana uhakika kama wataweza kuziba pengo za walioondoka. Na kinachofanyika ni mchezo wa bahati na sibu.
Subirini ligi ianze ndiyo mlete hizo tantalila zenu za kitopolo. Jiandaeni kwa malalamiko kama kawaida yenu,mumesajili ile mitumba yenu ya kukata miuno tu.
 
Nimekuwa nikifuatilia usajili wa wachezaji Simba toka Mwekezaji Mo aanze kuifadhili Simba kabla hajaingiza 20b.

Kwa miaka minne iliyopita usajili wa Simba ulijipambanua kama timu hasa inayohitaji Mafanikio ya Haraka kwa kusajili wachezaji wenye majina na uwezo mkubwa uwanjani.

Kwa kipindi kifupi Simba cha uwepo wa Bilionea, Simba imefanikiwa kutwaa Makombe ya Ligi kuu na shirikisho, sambamba na kushinda ngao za hisani na kutinga robo fainali ya Ligi ya Mabingwa.

Mwekezaji Mo, sasa ni dhahiri ameshakabidhiwa timu na jicho la mbali linamuona kama mtu ambaye ameshajipa uhakika wa kuendelea kuwekeza na ameamua hasa kufanya biashara ya Mpira kwa sababu zifuatazo.

Sababu ya Kwanza, timu imeuza key players wawili ambao walisaidia timu kwenye Mafanikio waliyonayo sasa.

Imeendelea kumaintain wachezaji waliosajiliwa kwa kipindi kirefu kilichopita kwa kuamini wamezoeana jambo ambalo sio sahihi kwa sababu kuna Kipindi watazoewa na timu pinzani na hatimaye kuanza kuambulia vipigo , mfano Barcelona ya Xavi na Iniesta .

Imesajili vijana wadogo ambao Malengo ni kuzidi kuwakuza na kufanya Biashara, hayo ndiyo malengo hasa ya Mwekezaji ila akumbuke kamari hiyo pia ilichezwa na TP Mazembe ambao sasa sio tishio tena Africa.

Naliona anguko la Simba kwa karibu sana. Sababu kubwa inaonekana sasa wamesharidhika na Mafanikio na natabiri Yanga na Azam kuibuka kama timu ambazo zitatawala Msimu huu wa ligi wa 2021/2022. Kutokana na ukweli mchungu kwamba usajili wa Simba sio mzuri kulinganisha na Timu ya Yanga na Azam, najua nitapingwa lakini huo ndio ukweli na utajidhihirisha kwenye Ligi.

Yetu Macho na tuombeane uzima tu, ila huo ndio ukweli.

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Kuna kitu hujafuatilia vizuri, sajili za simba msimu huu ni sajili za kujenga timu ya sasa na badae, kwa sababu ni wachezaji ambao sio wadogo tu kiumri lakini pia wameprove uwezo wao.
 
Kinachotokea Pale hata mimi huwa najiuliza sana.

Wanajenga timu? au wanaimarisha timu?

Kitendo cha kuondoka kwa wachezaji wawili tu halafu ukasajili wachezaji wapya nane (8) kuna ashiria kuwa hawana uhakika kama wataweza kuziba pengo za walioondoka. Na kinachofanyika ni mchezo wa bahati na sibu.
Hata kama Chama na Luis wasingeondoka simba ingesajili, ko kuondoka kwa hao kumeongeza idadi ya wanaosajiliwa
 
Shida sio kuwauza chama na Luiz, umewareplace na wachezaji gani ??!. Unasajili Average player ambao hata wewe umewajua baada ya Kutua Simba, hawana takwimu za kuridhisha kwenye Ligi ya Mabingwa Africa, unawanadi kwa kigezo cha youtube na kufanya vizuri kwenye Ligi zao za ndani. Kazi tunayo mwaka huu

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app

Wewe wakati Luis au Chama anasajiliwa ulikuwa na takwimu zao? Kama ni Simba hao hao ndio waliwaleta Luis na Chama na wakafanya maajabu,unashindwa nini kuwaamini baada ya kuwaleta hawa Wapya? Punguza ujuaji na uwe na subira,muda ni Mwalimu mzuri.
 
Kinachotokea Pale hata mimi huwa najiuliza sana.

Wanajenga timu? au wanaimarisha timu?

Kitendo cha kuondoka kwa wachezaji wawili tu halafu ukasajili wachezaji wapya nane (8) kuna ashiria kuwa hawana uhakika kama wataweza kuziba pengo za walioondoka. Na kinachofanyika ni mchezo wa bahati na sibu.

Wewe hangaika na Utopolo huko kwanza,kabla hujaanza kushangaa ya Simba aliyekubeba kwenda CL.
 
Nimekuwa nikifuatilia usajili wa wachezaji Simba toka Mwekezaji Mo aanze kuifadhili Simba kabla hajaingiza 20b.

Kwa miaka minne iliyopita usajili wa Simba ulijipambanua kama timu hasa inayohitaji Mafanikio ya Haraka kwa kusajili wachezaji wenye majina na uwezo mkubwa uwanjani.

Kwa kipindi kifupi Simba cha uwepo wa Bilionea, Simba imefanikiwa kutwaa Makombe ya Ligi kuu na shirikisho, sambamba na kushinda ngao za hisani na kutinga robo fainali ya Ligi ya Mabingwa.

Mwekezaji Mo, sasa ni dhahiri ameshakabidhiwa timu na jicho la mbali linamuona kama mtu ambaye ameshajipa uhakika wa kuendelea kuwekeza na ameamua hasa kufanya biashara ya Mpira kwa sababu zifuatazo.

Sababu ya Kwanza, timu imeuza key players wawili ambao walisaidia timu kwenye Mafanikio waliyonayo sasa.

Imeendelea kumaintain wachezaji waliosajiliwa kwa kipindi kirefu kilichopita kwa kuamini wamezoeana jambo ambalo sio sahihi kwa sababu kuna Kipindi watazoewa na timu pinzani na hatimaye kuanza kuambulia vipigo , mfano Barcelona ya Xavi na Iniesta .

Imesajili vijana wadogo ambao Malengo ni kuzidi kuwakuza na kufanya Biashara, hayo ndiyo malengo hasa ya Mwekezaji ila akumbuke kamari hiyo pia ilichezwa na TP Mazembe ambao sasa sio tishio tena Africa.

Naliona anguko la Simba kwa karibu sana. Sababu kubwa inaonekana sasa wamesharidhika na Mafanikio na natabiri Yanga na Azam kuibuka kama timu ambazo zitatawala Msimu huu wa ligi wa 2021/2022. Kutokana na ukweli mchungu kwamba usajili wa Simba sio mzuri kulinganisha na Timu ya Yanga na Azam, najua nitapingwa lakini huo ndio ukweli na utajidhihirisha kwenye Ligi.

Yetu Macho na tuombeane uzima tu, ila huo ndio ukweli.

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Utopolo na matopolo kabisa waambie utopolo na mazombingo
 
Kuna kitu hujafuatilia vizuri, sajili za simba msimu huu ni sajili za kujenga timu ya sasa na badae, kwa sababu ni wachezaji ambao sio wadogo tu kiumri lakini pia wameprove uwezo wao.
Tumesajili watu under 23 alafu ndio soko la mpira Duniani linataka makinda msimu ukiisha tunalamba mabillion tena!!!...
 
Shida sio kuwauza chama na Luiz, umewareplace na wachezaji gani ??!. Unasajili Average player ambao hata wewe umewajua baada ya Kutua Simba, hawana takwimu za kuridhisha kwenye Ligi ya Mabingwa Africa, unawanadi kwa kigezo cha youtube na kufanya vizuri kwenye Ligi zao za ndani. Kazi tunayo mwaka huu

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Ulitaka Chama na Luis wazeekee Simba ?
 
Nimekuwa nikifuatilia usajili wa wachezaji Simba toka Mwekezaji Mo aanze kuifadhili Simba kabla hajaingiza 20b.

Kwa miaka minne iliyopita usajili wa Simba ulijipambanua kama timu hasa inayohitaji Mafanikio ya Haraka kwa kusajili wachezaji wenye majina na uwezo mkubwa uwanjani.

Kwa kipindi kifupi Simba cha uwepo wa Bilionea, Simba imefanikiwa kutwaa Makombe ya Ligi kuu na shirikisho, sambamba na kushinda ngao za hisani na kutinga robo fainali ya Ligi ya Mabingwa.

Mwekezaji Mo, sasa ni dhahiri ameshakabidhiwa timu na jicho la mbali linamuona kama mtu ambaye ameshajipa uhakika wa kuendelea kuwekeza na ameamua hasa kufanya biashara ya Mpira kwa sababu zifuatazo.

Sababu ya Kwanza, timu imeuza key players wawili ambao walisaidia timu kwenye Mafanikio waliyonayo sasa.

Imeendelea kumaintain wachezaji waliosajiliwa kwa kipindi kirefu kilichopita kwa kuamini wamezoeana jambo ambalo sio sahihi kwa sababu kuna Kipindi watazoewa na timu pinzani na hatimaye kuanza kuambulia vipigo , mfano Barcelona ya Xavi na Iniesta .

Imesajili vijana wadogo ambao Malengo ni kuzidi kuwakuza na kufanya Biashara, hayo ndiyo malengo hasa ya Mwekezaji ila akumbuke kamari hiyo pia ilichezwa na TP Mazembe ambao sasa sio tishio tena Africa.

Naliona anguko la Simba kwa karibu sana. Sababu kubwa inaonekana sasa wamesharidhika na Mafanikio na natabiri Yanga na Azam kuibuka kama timu ambazo zitatawala Msimu huu wa ligi wa 2021/2022. Kutokana na ukweli mchungu kwamba usajili wa Simba sio mzuri kulinganisha na Timu ya Yanga na Azam, najua nitapingwa lakini huo ndio ukweli na utajidhihirisha kwenye Ligi.

Yetu Macho na tuombeane uzima tu, ila huo ndio ukweli.

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Azam na Yanga kwa msimu ujao hazita compete na Simba kwenye ubingwa kwa sababu ndiyo kwanza zinatengeneza timu.

Wameondoka Simba Luis na Chama yes lakini backbone ya Timu ya Simba wapo vile vile na hao wataongezewa nguvu tu na hawa wapya.

Simba wanaweza kutetereka kwenye mechi za kimataifa ila kwenye ligi ya ndani bado watakuwa wa moto.
 
Kinachotokea Pale hata mimi huwa najiuliza sana.

Wanajenga timu? au wanaimarisha timu?

Kitendo cha kuondoka kwa wachezaji wawili tu halafu ukasajili wachezaji wapya nane (8) kuna ashiria kuwa hawana uhakika kama wataweza kuziba pengo za walioondoka. Na kinachofanyika ni mchezo wa bahati na sibu.
Usajili wowote huwa ni bahati nasibu
 
Back
Top Bottom