Sajili ya Simba ni Mfumo wa Biashara au njaa ya mafanikio

Mbona Kagame Cup hamjashiriki?

Mbona Mapinduzi Cup mmepoteza taji na hao hao Kikosi kipana.?
Sasa mtani Simba kawaachia mapinduzi cup na Kagame bado huridhiki,pia Kagame ukaikosa unataka msaada upi kutoka kwa klabu ya Simba,bila Simba kukupambania CACL kuvuta timu nne usingepanda ndege msimu huu.

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
 
Kumbuka Miq alikuwa tayari kasajiliwa na Mamelodsundowns, kwa hiyo kiviwango
 
Subirini ligi ianze ndiyo mlete hizo tantalila zenu za kitopolo. Jiandaeni kwa malalamiko kama kawaida yenu,mumesajili ile mitumba yenu ya kukata miuno tu.
 
Kuna kitu hujafuatilia vizuri, sajili za simba msimu huu ni sajili za kujenga timu ya sasa na badae, kwa sababu ni wachezaji ambao sio wadogo tu kiumri lakini pia wameprove uwezo wao.
 
Hata kama Chama na Luis wasingeondoka simba ingesajili, ko kuondoka kwa hao kumeongeza idadi ya wanaosajiliwa
 

Wewe wakati Luis au Chama anasajiliwa ulikuwa na takwimu zao? Kama ni Simba hao hao ndio waliwaleta Luis na Chama na wakafanya maajabu,unashindwa nini kuwaamini baada ya kuwaleta hawa Wapya? Punguza ujuaji na uwe na subira,muda ni Mwalimu mzuri.
 

Wewe hangaika na Utopolo huko kwanza,kabla hujaanza kushangaa ya Simba aliyekubeba kwenda CL.
 
Utopolo na matopolo kabisa waambie utopolo na mazombingo
 
Kuna kitu hujafuatilia vizuri, sajili za simba msimu huu ni sajili za kujenga timu ya sasa na badae, kwa sababu ni wachezaji ambao sio wadogo tu kiumri lakini pia wameprove uwezo wao.
Tumesajili watu under 23 alafu ndio soko la mpira Duniani linataka makinda msimu ukiisha tunalamba mabillion tena!!!...
 
Ulitaka Chama na Luis wazeekee Simba ?
 
Azam na Yanga kwa msimu ujao hazita compete na Simba kwenye ubingwa kwa sababu ndiyo kwanza zinatengeneza timu.

Wameondoka Simba Luis na Chama yes lakini backbone ya Timu ya Simba wapo vile vile na hao wataongezewa nguvu tu na hawa wapya.

Simba wanaweza kutetereka kwenye mechi za kimataifa ila kwenye ligi ya ndani bado watakuwa wa moto.
 
Usajili wowote huwa ni bahati nasibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…