Sakata Binti wa Yombo: Familia ya anayetajwa ‘afande’ kuwashtaki wanaomchafua kwenye mitandao ya kijamii

Tatizo mojawapo la utandawazi watu wanaendeshwa na hisia.

Imetokea mwaka jana Uingereza. Muuguzi Lucy Letby ametuhumiwa kuua watoto wachanga wengi (serial killer) kwa nyakati tofautitofauti mpaka akahukumiwa jela.

Mwaka mmoja baadaye inabainika huenda alionewa. Na hapo umma wa Waingereza wameshamchafua vya kutosha!

Simuungi mkono huyo afande, lakini jamii zetu zinapaswa kufunzwa kupunguza matumizi ya hisia kuliko akili.
 
Kwa hiyo hii sheet ni ya uongo?
 

Attachments

  • downloadfile-26.jpg
    184.5 KB · Views: 3
Weka picha ya afande tumtathimini kama ana sifa za kushindana na vibinti vya Gen Z
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…