Mwambie huyoKifupi ni rahisi mtu wa nje kumtukana mzazi wako kuliko wewe mtoto uliyeko nyumbani kumtukana mzazi wako mnayeishi naye..Simple logic!!!
Ushauri wa bure ukiona article yoyote ya kiingereza kuhusu Tanzania soma juu mahala ilipoandikwa zaidi ya utaona asilimia 90% ya hizo article zinatokea nchi mmoja Afrika mashariki .