Sakata la akina Heche ni kama lile la Mzee Oscar Kambona, Gen Z jifunzeni kutoka hapa

Sakata la akina Heche ni kama lile la Mzee Oscar Kambona, Gen Z jifunzeni kutoka hapa

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
18,154
Reaction score
17,491
Hawa Gen Z wetu wanadhani ni wajanja sana kuliko wazee wao.

Harakati za upinzani kwa serikali halikuanza leo, kuna watu walijaribu lakini imewawia vigumu kufanikiwa.
Hata akina Heche tusiwachukie wala kuwashangaa, hawakuanza wao haya, ila wataishia kama walikoishia watangulizi wao.

Hebu sikiliza upinzani wa akina Oscar Kambona halafu linganisha na hawa wa sasa.

View: https://youtu.be/aXqmvZUtUWE?si=hRX5r7TpvFXdFhAs
 
Back
Top Bottom