Sakata la CCM: Uwoya amlipua Batuli

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Mmh!! Uwoya siku hizi unapenda sana kiki,yani hupitwi
 
Batuli nilikua namuona wa maana ila kumbe ndiyo wale wale, ila uwoya kaongea point wafanye kazi zinazowahusu mambo ya siasa wawaachie wakina kinana

Kipi kilikuwa kinakufanya umuone wa maana?
 
Kwani mlifuata nni si hela? Kwani hilo nani asie jua....UKIMKUTA MTU CCM ANASBRI FAVOUR..LKN KUWEPO CDM AU UPINZANI NI MAPENZI YA KUTOKA MOYONI NA MUDA MWINGINE UTAJIKUTA WW NDIO UNACHANGIA BADALA YA KULIPWA NDIO MAANA CDM IKO IMARA!
 
Inaonekana kwenye movie saizi kuna njaa sana watu hawanunui movie kwasababu maisha magumu na waliokua wanaangalia ni wale watu wa chini working class wa kule tandale sijui magomeni popobawa hukoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…