Sakata la CCM: Uwoya amlipua Batuli

Sakata la CCM: Uwoya amlipua Batuli

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Mmh!! Uwoya siku hizi unapenda sana kiki,yani hupitwi
ireneuwoya8 said:
Katika maisha siku zote ushauri unaruhusiwa kutolewa au kupokelewa... Lakin sio lazima mtu kupokea ushauri unaotolewa... Kila mtu anauhuru wakuamua kitu ambacho anahisi kinamfaa kwenye maisha sababu...

Sazingine kwenye maisha Kuna sehemu inafika unacho jiskia kwenye moyo wako sio rahisi mtu mwingine kujiskia ... Sasa ni mbaya sana kuishi kwa hisia... Ifikie Wakati tujitaidi kuheshimu hisia Za mtu... Lakin pia kunavitu vingine nazani Nivyema vkabaki kwa wausika wavinaowahusu...yani sio lazima kuongea kila kitu kwenye jamiii... Watu wanatamani sazingine kuskia vtu ambavyo wanahisi vinafaida kwa Jamaniii...

Kunavitu vingine ukiongea havina maana... Mfano mim ni CCM damu... Lakin kunavitu vinaboa sanaaa Kweli kada mzima wa CCM unasimama hazarani unasema tulilipwa kufanya campaign? hatakama lakini unafundisha Nin Jamiii? Unafundisha jamiii kwamba yote tuliyoongea kuhusu CCM hatukuyaamanisha nikwasababu tulilipwa?

Unaiambia jamiii ulikuwa tayari kuwadanganya na mliwadanganya sababu mlilipwa? Hivi Kweli? Kwahiyo jamiii ione Chochote Tutachoonge wasikiamini maana yake tutakuwa tumelipwa? Kwahiyo ata mnayoyaongea mnataka kusema mmelipwa? Minazani tujifunze kunyamaza sazingine kama hamna ulazima wakuongea mnaweza kuhisi mmnajenga kumbe mnaharibu kabisaaa... Embu Tufanye Kazi zinazo tuhusu Jamaniii...

Nigeria wenzetu sasa wako Hollywood wanaigiza huko... Sisi ata nigeria kwenyewe bado hatuja pasua... Lakin hapa Tupo busy kushabikia ujinga na vitu vya kipumbafu na visivyo na Msaada kwajamiii... Kwastaili hiii... Hollywood tutaiskia na kuiona kwenye TV.no
 
Batuli nilikua namuona wa maana ila kumbe ndiyo wale wale, ila uwoya kaongea point wafanye kazi zinazowahusu mambo ya siasa wawaachie wakina kinana

Kipi kilikuwa kinakufanya umuone wa maana?
 
Kwani mlifuata nni si hela? Kwani hilo nani asie jua....UKIMKUTA MTU CCM ANASBRI FAVOUR..LKN KUWEPO CDM AU UPINZANI NI MAPENZI YA KUTOKA MOYONI NA MUDA MWINGINE UTAJIKUTA WW NDIO UNACHANGIA BADALA YA KULIPWA NDIO MAANA CDM IKO IMARA!
 
Inaonekana kwenye movie saizi kuna njaa sana watu hawanunui movie kwasababu maisha magumu na waliokua wanaangalia ni wale watu wa chini working class wa kule tandale sijui magomeni popobawa hukoo
 
Back
Top Bottom