Sakata la CCM: Uwoya amlipua Batuli

Kwani huyu nae kulikuwa na ulazima gani wa kusema hayo? Si bora tu angenyamaza, anataka tujue wao kama wasanii nao wanavunja umoja wao na kujengeana chuki kisa siasa? Owoya angenyamaza tu, upepo huu utapita tu! Mangapi yamepita na watu wakasahau, hili litawajeruhi wengi wenu pasipo sababu za msingi! Kimya ni jibu la busara nashangaa nami nimechangia uzi huu!!!!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Baada ya Stephen kutangulia (RIP) hii bongo movie imekosa muelekeo kabisa.. Movie zenyewe zimekuwa za hapa na pale, sasa hata huko yamewashinda sasa hivi ni siasa. Kama kiswahili chenyewe ndo hiki kumbe ndo maana movie zenu ukiangalia subtitles za kiingereza mnazoandika unaona aibu kabisa
 
Naona Bongo movie inarudia kwenye nafasi yake kwa kasi sana,maana ilikuwa imesahaulika baada ya kufulia ila sasa bongo movie si za mabeki tatu tu kama tunavyo semaga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…