Sakata la CCM: Uwoya amlipua Batuli

Sakata la CCM: Uwoya amlipua Batuli

Kiswahili alichoandika huyu binti ni kibaya sana
Mimi sijali kiswahili chake hata angeandika kijaruo au kiha sawa tu. Najali ukweli alioweka kwenye bandiko lake, nadhani hata walioitisha mkutano wa kina Batuli hawakuliona hilo kabla. Unawezaje kuwa mfia Chama kwa kulipwa? Leo wajumbe wa nyumba kumi wa Ccm waliofanya kampeni nyumba kwa nyumba bure wakisikia kulikuwa na malipo ya kufanya kampeni watajisikiaje? Tutaaminije maneno ya waliolipwa ili waseme? Wangewezaje kutueleza ubaya wa Ccm iliyowalipa hata kama walikuwa wanaujua? Kumbuka hawakulipwa kutumbuiza Bali walilipwa kukampeni kwa niaba ya Chama, kumbe yote waliyotwambia hayakuwa halisi bali yalitokana na ujira waliopata? Hata kama watakuponda, UWOYA wewe ni mwanaccm halisi kuliko hawa wafanyabiashara waliokusanywa asubuhi na huenda wamelipwa tena.
 
ccm inadaiwa mihela kibao kibao ...demu wangu alikua sehemu ya kampeni hiyo ya ccm kanithibitishia wakati wa raha za chumbani kuwa ccm hawajalipa mpunga wao
 
Mi niongezee tu kwamba kama jamii nasi tuamini kwamba kula mkifanyacho nakukisema ni usaniii mtupu?!
 
Kwani mlifuata nni si hela? Kwani hilo nani asie jua....UKIMKUTA MTU CCM ANASBRI FAVOUR..LKN KUWEPO CDM AU UPINZANI NI MAPENZI YA KUTOKA MOYONI NA MUDA MWINGINE UTAJIKUTA WW NDIO UNACHANGIA BADALA YA KULIPWA NDIO MAANA CDM IKO IMARA!
Kwa kweli ukiwa upinzani ni wewe unatoa hela yako mpaka nauli ya vikao ni wewe hakuna posho, ccm ni hela tu kila kitu sasa wap hawajazoea hiyo hali mpaka wazoee itachukua muda
 
Back
Top Bottom