Sakata la Diamond; Je, Shonza anatumika na Clouds au ana uwezo mdogo au yote?

Sakata la Diamond; Je, Shonza anatumika na Clouds au ana uwezo mdogo au yote?

Point unazo, ila nilichogundua mashabiki nasie tuna double standard, huyu N/W alipoanza na kina Giggy Money kilamtu alishangilia bila kuhoji kama ni kazi yake kuwafungia wasanii au la, in short hao kina Gigy walilia pekeyao, ila alivyoguswa 'kipenzi chetu' wote tumemgeuka huyu tuliyekuwa tunamsapoti kwa kuwashughulikia kina Gigy.....
 
Hahahahah unapanga serikali kisa dimond kaguswa au unaajipya kama ulijuwa hafai kwani usiseme. Wakat umefungwa hizo nyimbo unasema leo sababu dimond wew ndio rais asikilize utumbo wako wew muendeshe rais wa wasafi kamshauri sio mpiganaji wetu JPM huwa hapelekwi na ushaur wa wanywa viroba mpaka dimond aguswe mbona hukuonge alipofungiwa Roma na wew itakuwa mond kuna kitu anakufanyia
 
Ukishajua kwamba huyo waziri ni hopeless huhitaji kutumia nguvu kuelewa anayoendelea kuyafanya dhidi ya wasanii.
 
Zimefungiwa nyimbo 15,ikiwemo nyimbo yenye siku 6 ya Ney na Roma amefungiwa kufanya kazi kwa miezi 6.Tupo bize kulalamika Dai anashushwa,hivi hatuoni kuwa anayepaswa kulalamika ni Roma?
Nan kamktaza roma kulalamika ?
si ameamua mwenyewe kukaa kimya.
 
Point unazo, ila nilichogundua mashabiki nasie tuna double standard, huyu N/W alipoanza na kina Giggy Money kilamtu alishangilia bila kuhoji kama ni kazi yake kuwafungia wasanii au la, in short hao kina Gigy walilia pekeyao, ila alivyoguswa 'kipenzi chetu' wote tumemgeuka huyu tuliyekuwa tunamsapoti kwa kuwashughulikia kina Gigy.....
Two wrongs dont make right.
 
Mbona umetumia jina la NW.. kuombea wengine kazi??
Ungeandika jina lako la ukweli ungeeleweka.. ha ha haaaaaa
 
mpaka sas tunavoongea domoo ameshachukuliwa na wasio julikana......
 
Point unazo, ila nilichogundua mashabiki nasie tuna double standard, huyu N/W alipoanza na kina Giggy Money kilamtu alishangilia bila kuhoji kama ni kazi yake kuwafungia wasanii au la, in short hao kina Gigy walilia pekeyao, ila alivyoguswa 'kipenzi chetu' wote tumemgeuka huyu tuliyekuwa tunamsapoti kwa kuwashughulikia kina Gigy.....
hakuna mtu aliyefurahia ule upuuzi alio ufanya kwa kina gig
 
Nipo you tube naagalia African beauty ya diamond [emoji23][emoji23]
 
Sakata la Diamond, Je Shonza, Naibu waziri mdogo wa wasanii, Je anatumika na CloudsGroup/RUGE au ana uwezo mdogo? au yote.

Nakili,
Baada ya kusikia uteuzi wa Bibiye shonza katka wizara hii nyeti kwa taifa nilitaka kuandika post jamii forum kwa kutoridhishwa na teuzi ya Shonza, niliacha nikadhani labda atabadilika..wapi, tabia km ngozi ..Binafsi namjua sana, nilishangaa sana How can vetting ppo wakamshauri Rais eti Shonza anafaa kwenye hi wizara nyeti kwa Nchi. Wengi mnajua Shonza kwa sababu ya vurumai za Bavisha na Mtela..but i know this lady from college..hana hadhi ya kuwa N/waziri... (she's immature, incapacity, mjuaji, mbishi). Ruge/ kupitia vinega vyake vya XXL wakamuandalia live coverage kuhusu wasanii...wajanja tukajua kuna kitu kinatafutwa kweli..anaulizwa viswali kishamba na vitangazaji uchwala vilivyopita nawakati..Dada wa watu akajaaa kwenye 18 zao.. Yaani Ruge bado anadhani tunaishi ktk dunia ya kusikiliza Redio yake..Now kuna youtube zaidi ya 50 huhitaji kusilikiza tena mawingu fm ile usikie miziki. Karma yako inakuja Ruge siihitaji kukujadili hapa na suala la muda tu.

N/Waziri unawaita wasanii kwenye press unawahoji kwa nini wanatuma picha za utupu, Haya majukumu hata mkurugenzi Wizarani kwako hatakiwi kufanya, only junior staff can do this. Kweli uwaziri unarahisishwa sana, hivi huna majukumu makubwa..hivi kweli unamsaidia kweli mwakyembe wewe..ebu ji asses kiti ulichopewa kinakufaa kweli au kimekuzidi kimo. Rais anawaamini vijana anawapa nafasi kubwa badala ya kuwa wafumbuzi wakubwa wa matatizo kwa wananchi mmekuwa kero. Rais wakati mwingine teua watu walio nje ya mfumo wa kisiasa watakuletee tija kidogo kuliko hawa wanasiasa wasiojua miiko ya uwaziri na ukubwa wa viti walivyokalia.Wizara yako ina majukumu makubwa sana kwa taifa hili, ukiifanyia vyema tunapaa sana Kimataifa;

Ushauri kwa Mhe Rais, mtoe huyu binti kwenye hiyo nafasi pamoja na mwakyembe. Mwakyembe yupo smart vbut hiyo siyo type yake Wizara inafaa wanamichezo na watu wenye ukaribu na vijana. Nashauri

1- Mpeleke mwakyembe ofisi ya makamu wa Rais au Ofisi ya waziri Mkuu Sera na Bunge na Mama Mhagama mlete kwa Makamu.

2- Mlete Januari Makamba Wizara hii, huyu anaweza kwenda na aina ya wasanii/utamaduni na sanaa. Makamba anaweza kuongea Lugha moja na wakina Diamond/mzee kingkik na wanasanaa wote.

3- Naibu waziri wa Michezo mteue Ridhiwani Kikwete, combination ya Makamba na Ridhiwani wanaweza wakaleta tija..kwanza wote ni wanamichezo mwingine mshabiki wa Timu coastal Union/simba na Riz akishabikia timu ya kimataifa/Yanga.

Mhe Rais pole sana, bado hawajakuelewa hawa wakina shonza. Unawapa nafasi kubwa lakini bado wanaishi kitoto kitoto sana..... BABA watumbue tu mpaka wake sawa. Mtu anauwezo mdogo akiambiwa anasingizia eti usibshane na serikali, kwahyo shonza ndiyo serikali? seriakali ni watu, na watu mm, wewe, Rais, Shonza na diamond..kwahyo we shonza siyo serikali..serikali ni watanzania..Uwezo wako mdogo

Swali Sakata la Diamond, Je Shonza, Naibu waziri mdogo wa wasanii, Je anatumika na CloudsGroup/RUGE au ana uwezo mdogo? au yote.
SIPANGIWI!!!!!
 
ila alivyoguswa 'kipenzi chetu' wote tumemgeuka huyu tuliyekuwa tunamsapoti kwa kuwashughulikia kina Gigy.....
Sasa mkuu umeshasema kipenzi chetu unategemea tukae kimya?
 
Back
Top Bottom