Sakata la Diamond; Je, Shonza anatumika na Clouds au ana uwezo mdogo au yote?

Point unazo, ila nilichogundua mashabiki nasie tuna double standard, huyu N/W alipoanza na kina Giggy Money kilamtu alishangilia bila kuhoji kama ni kazi yake kuwafungia wasanii au la, in short hao kina Gigy walilia pekeyao, ila alivyoguswa 'kipenzi chetu' wote tumemgeuka huyu tuliyekuwa tunamsapoti kwa kuwashughulikia kina Gigy.....
 
Hahahahah unapanga serikali kisa dimond kaguswa au unaajipya kama ulijuwa hafai kwani usiseme. Wakat umefungwa hizo nyimbo unasema leo sababu dimond wew ndio rais asikilize utumbo wako wew muendeshe rais wa wasafi kamshauri sio mpiganaji wetu JPM huwa hapelekwi na ushaur wa wanywa viroba mpaka dimond aguswe mbona hukuonge alipofungiwa Roma na wew itakuwa mond kuna kitu anakufanyia
 
Ukishajua kwamba huyo waziri ni hopeless huhitaji kutumia nguvu kuelewa anayoendelea kuyafanya dhidi ya wasanii.
 
Zimefungiwa nyimbo 15,ikiwemo nyimbo yenye siku 6 ya Ney na Roma amefungiwa kufanya kazi kwa miezi 6.Tupo bize kulalamika Dai anashushwa,hivi hatuoni kuwa anayepaswa kulalamika ni Roma?
Nan kamktaza roma kulalamika ?
si ameamua mwenyewe kukaa kimya.
 
Two wrongs dont make right.
 
Mbona umetumia jina la NW.. kuombea wengine kazi??
Ungeandika jina lako la ukweli ungeeleweka.. ha ha haaaaaa
 
mpaka sas tunavoongea domoo ameshachukuliwa na wasio julikana......
 
hakuna mtu aliyefurahia ule upuuzi alio ufanya kwa kina gig
 
Nipo you tube naagalia African beauty ya diamond [emoji23][emoji23]
 
SIPANGIWI!!!!!
 
ila alivyoguswa 'kipenzi chetu' wote tumemgeuka huyu tuliyekuwa tunamsapoti kwa kuwashughulikia kina Gigy.....
Sasa mkuu umeshasema kipenzi chetu unategemea tukae kimya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…