Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Sakata la @hamisamobetto... @zarithebosslady Lazidi kuwagusa Watu kibao... Time hi shilole yamemfika hapa.. Ameamua kutoa povuuu : . By @shilolekiuno_badgirlshishi Mwanamke asiyejielewa ndio huwa hutumia mwili wake kujidharirisha na kuwatumia watoto malaika wasio na kosa kutafutia kiki. Mwanaume akikupenda atakuweka ndan atakuthamini. Kinyume na hapo mtatumiana kwa maslai yenu binafsi. Ukiwa mwizi unakuwa hata na heshima kwa mwenye mali yake yann mpk udhalilishwe na mwanaume ijulikane hupendwi ila umetumiwa tu. Vinginevyo hata huduma unayopata kwa wiki utaisikia bombani. Kwani haiwezekan mwananke kufighty na kutulia na watoto wako mpk utengeneze drama? Hebu tubadiliken jmn huu u GOLD DIGGER unatudhalilisha tu. Aaagh mi nakereka tu hebu niendelee na umama ntilie wangu au sijui na mm niwatafute wababa wa watoto zangu tuanze drama Post hii haisuani na lolote wala chochote sitaki povu hapa leo nimeamka na vya Igunga kichwani. -