Sakata la diamond na hamisa lamtoa povu shilole

Shilole mpambanaji, usimfananishe na mademu wanaotegemea urembo kundesha maisha yao town. Kwanza bora anavyochoma chips zake kuliko kutegemea watu watafute pesa ndio wakupe wewe.
Kwa sababu ni mpambanaji ndio amnange mwenzie? Mpambanaji wa kweli hana huo muda
 
Mama ako ni mwanaume?acha kashfa kijana. Huwezi amini ila utajaliwa watoto wa kike tupu hata ukiamua kuzaa njee napo itakua hivyo hivyo. Usimkufuru Muumba mbingu na nchi
Wanawake bwawa nashukuru sana kuzaliwa wa kiume alaf sasa sina Dada namuomba Mungu anipe watoto wa Kiume tu
 
Mama ako ni mwanaume?acha kashfa kijana. Huwezi amini ila utajaliwa watoto wa kike tupu hata ukiamua kuzaa njee napo itakua hivyo hivyo. Usimkufuru Muumba mbingu na nchi
Ndio maana nikamuomba Mungu anijaalie watoto wa Kiume coz nyie mnashida sana nisije nikaja kuchinja Bure.
 
Mama ako ni mwanaume?acha kashfa kijana. Huwezi amini ila utajaliwa watoto wa kike tupu hata ukiamua kuzaa njee napo itakua hivyo hivyo. Usimkufuru Muumba mbingu na nchi
Aisee huyo jamaa anashangaza sana. Hao watoto wa kiume si watazaliwa na mwanamke..Humu JF kuna mijitu ya ajabu
 
Back
Top Bottom