Sakata la diamond na hamisa lamtoa povu shilole

Numbisa

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2016
Posts
301,221
Reaction score
1,172,274
Sakata la @hamisamobetto... @zarithebosslady Lazidi kuwagusa Watu kibao... Time hi shilole yamemfika hapa.. Ameamua kutoa povuuu : . By @shilolekiuno_badgirlshishi Mwanamke asiyejielewa ndio huwa hutumia mwili wake kujidharirisha na kuwatumia watoto malaika wasio na kosa kutafutia kiki. Mwanaume akikupenda atakuweka ndan atakuthamini. Kinyume na hapo mtatumiana kwa maslai yenu binafsi. Ukiwa mwizi unakuwa hata na heshima kwa mwenye mali yake yann mpk udhalilishwe na mwanaume ijulikane hupendwi ila umetumiwa tu. Vinginevyo hata huduma unayopata kwa wiki utaisikia bombani. Kwani haiwezekan mwananke kufighty na kutulia na watoto wako mpk utengeneze drama? Hebu tubadiliken jmn huu u GOLD DIGGER unatudhalilisha tu. Aaagh mi nakereka tu hebu niendelee na umama ntilie wangu au sijui na mm niwatafute wababa wa watoto zangu tuanze drama Post hii haisuani na lolote wala chochote sitaki povu hapa leo nimeamka na vya Igunga kichwani. -
 
Shilole nae ana matatizo yake ! Anatamani sana hilo zali lingemuangukia yeye ila ndiyo hivyo tena.

Yeye aendelee kuchoma chipsi, mbona poa tu


Shilole mpambanaji, usimfananishe na mademu wanaotegemea urembo kundesha maisha yao town. Kwanza bora anavyochoma chips zake kuliko kutegemea watu watafute pesa ndio wakupe wewe.
 
Shilole nae ana matatizo yake ! Anatamani sana hilo zali lingemuangukia yeye ila ndiyo hivyo tena.

Yeye aendelee kuchoma chipsi, mbona poa tu
Nimuelewa kwamba tatizo sio kuzaa na mtu wa mtu bali, ni kukaa kimya
 

Labda siyo account yake! Shilole huyu huyu ambaye anatumiwa kama toilet pepa na wanaume tena vitoto vidogo kama akina Nuhu ndiye anayetamka kuwa mwanaume akikupenda atakuweka ndani na atakuthamini!!! Mara ngapi anajitokeza hadharani akidai kuwa wanapendana na hivyo viserengeti boy anavyochukuaga? ( Rejea kipindi cha mahusiano yake na Nuhu Mziwanda). Hapa naona wengi wamejawa na chuki kwa Hamissa lakini sioni sababu ya watu kumshambulia Hamissa. Mwambie Shemeji yenu ili kama ana ubavu ajitoe maana pale ni kama kanasa kwenye sumaku, mashabiki ndo mmebaki mnamlisha maneno tu
 
Shilole mpambanaji, usimfananishe na mademu wanaotegemea urembo kundesha maisha yao town. Kwanza bora anavyochoma chips zake kuliko kutegemea watu watafute pesa ndio wakupe wewe.

"Mpambanaji" ..naona hili neno mpambanaji linapoteza maana kwa kasi sana
 
Duh yaan povu lote hili kisa ushauri wa shilole. Kweli ukisikia yalaaa ujue limempata mhusika. Unalooo hater
 
Mwanaume halisi unakaa kumsikiliza shilole au faiza,ujinga ujinga tu
 
Asante saana mkuu agiza utakacho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…