Sakata la Dk Shika latua Bungeni urusi

Bwana Pavulyushenko akaendelea kueleza kwanza Upinzani unaoongozwa na Tundulov, na mbowelovisk haujasimama vema
 
Aise huyo mbunge wa upinzani kaamua kumvua nguo Putin aise,yani kamchana kinoma na anasema wasipompa Dr mapene yake nchi haitatawalika.
 
oook....aisee kweli jamaa aliteswa sn maana naona waziri wa mambo ya ndani wa urusi amekazia sn hiyo paragraph ya pili
 
Hii lugha st kayumba hatuiwez hamna mtafsiri leo jf wote mnajifanya mnakunywa vodka?
 
oook....aisee kweli jamaa aliteswa sn maana naona waziri wa mambo ya ndani wa urusi amekazia sn hiyo paragraph ya pili
Alafu spika kamwambia waziri wa sheria atoe ushirikiano maana hawapo tayari kuona udugu na watanzania unakufa.
 
کسنینیتربدمکشوپیددیملتسذدضکصوپسنثهاس
 
Nimempenda huyo mbunge aliyeibua huo mjadala mana hapo mwisho naona pesa za shika putin alinunulia bombadia ambayo kaipaki kwake, upinzan wanadai shika apewe mkwanja wake.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…