Guevara Jr
JF-Expert Member
- Mar 29, 2017
- 300
- 811
[emoji4][emoji4][emoji4]....nimemskliza vema mkuuWewe hujamsikiliza Dr anakwambia mtu akilala usimtazame usoni ataamka na ukikuta mbwa wakali binya makende wanatulia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji4][emoji4][emoji4]....nimemskliza vema mkuuWewe hujamsikiliza Dr anakwambia mtu akilala usimtazame usoni ataamka na ukikuta mbwa wakali binya makende wanatulia.
Bwana Pavulyushenko akaendelea kueleza kwanza Upinzani unaoongozwa na Tundulov, na mbowelovisk haujasimama vemaAisee kumbe Dr shika ni zaidi ya tumuonavyo...
Wamenifurahisha hapo waziri mkuu alipoulizwa kwanini serikali ya Urusi ilikubali kampuni ya Dr shika ifilisiwe, waziri mkuu akajiumauma..
Halafu huyu governor wa Norwich chizi kweli, mmeona anakomaa Dr shika arudi urusi? Very interesting
Na ndugailowsk anaonekana kuwabana kina mbatia shenkoWe nae,SI u google bhana?!au wivu tu tunavyotema "yai" la mrusia jombaa!
Alafu spika kamwambia waziri wa sheria atoe ushirikiano maana hawapo tayari kuona udugu na watanzania unakufa.oook....aisee kweli jamaa aliteswa sn maana naona waziri wa mambo ya ndani wa urusi amekazia sn hiyo paragraph ya pili
Wapi hujaelewa tukusaidie jombaa!Hii lugha st kayumba hatuiwez hamna mtafsiri leo jf wote mnajifanya mnakunywa vodka?
Bwana Pavulyushenko akaendelea kueleza kwanza Upinzani unaoongozwa na Tundulov, na mbowelovisk haujasimama vema
Umeona povu alilotoa Mbowekovic hapo,nakwambia watanyooka tuu..Na ndugailowsk anaonekana kuwabana kina mbatia shenko
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],fhsh zjdbdcxg djzbzv Dr Shika?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Inaonekana wanashangaa alitorokaje kwenye pipa la watesi na mbwa wakali nje ya jengo huyu mtu kutoka kanda ya ziwa na nchi ya machozi, jasho na damu....Yaan walishindwaje kumshika huyu Dr Shika aliyeshika mitandao yote huko kwao....nadhan wanaongea hivyo
Nimeona.na bashelenkoUmeona povu alilotoa Mbowekovic hapo,nakwambia watanyooka tuu..