Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 4,950
- 10,977
Without the counter argument to my submission to justify the merit of your conclusion.More illegible scrawls
Sawa, pia tutambue kazi nzuri ya maaskofu dk za mwisho kabla ya vikao kuanza. Ule waraka umewafanya hadi baadhi yao kukiri hawakujua wanachopitisha, mbunge wa Bunda. Unadhani wangapi waliamini kuwa hata spika hakuwa anajua anachokipitisha ?Bunge la chama kimoja linajifanya kuwa sasa wapo makini baada ya wananchi kuliona bunge hili la mchongo la 2020 limewasaliti raia kwa kugawa mali za walipakodi bila kuwashirikisha wananchi.
Pia bunge kwenda hatua nyingine ya kuwadharau waTanzania ambapo tarehe 10 Juni 2023 kwa kishindo kubariki bandari zote kupewa milele DP World pamoja na miundo-mbinu yote ya Tanzania kama barabara kuu, bandari kavu zote, magodauni ya kampuni za kitanzania za usafiri za malori, container terminal bila kusahau SGR Reli.
Labda TAZARA tu ndiyo imepona kwa kuwa ni shirika la reli linalo milikiwa na nchi mbili za Tanzania na Zambia ama sivyo nayo ingegawiwa bure milele kwa visingizio vya kukosa ufanisi.
Andika tu kiswahili ndugu yangu. Hiyo kingereza endelea nayo kwa wanafunzi wako.Without the counter argument to my submission to justify the merit of your conclusion.
Responding to you anymore for my part is unjustifiable, moreover considering I other options to what I can spend my time with. That is to say I am not in the mood for mud war for no apparent reasons.
Unless you can respond critically to my submission 👋.
Shida uwezo wako tu wa kuelewa sio mimi.Andika tu kiswahili ndugu yangu. Hiyo kingereza endelea nayo kwa wanafunzi wako.
Kuna siku watabadilisha hadi katiba waAllah. watu wakisema huyu mama kichwani ni matope tunaambiwa tukosoe kwa ustaarabuAisee, hivi inakuwaje muwekezaji mmoja tuu anafanya mpaka tubadili sheria za nchi ambazo zilitungwa kwa umakini mkubwa? Hii sheria ya maliasili ni mpya kabisa ya mwaka 2017 tuu hapo, ni kwa nini tubadili sheria inayolinda maliasili kwa ajili muwekezaji mmoja tuu?
Ina maana akija muwekezaji mwingine ambaye sheria itakuwa inambana kwenye masharti anayoyataka pia tutairudisha tena bungeni kuvichomoa hivyo vipengele?
Huyu muwekezaji ana nini hasa cha zaidi mpaka anafanya sheria za nchi zinanyumbulishwa ili tu yeye a-fit in?
Kwa nini yeye kama muwekezaji asi-blend in na sheria za nchi yetu?
Kimsingi yeye ndiyo anapaswa ajinyumbue ili kuendana na sheria halali za nchi zilizowekwa.
★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★
Kamati ya Bunge ya Katiba na Masuala ya Kisheria imeahirisha kusikiliza maoni ya wadau kuhusu mapendekezo ya marekebisho ya Sheria ya Mamlaka ya Nchi Kuhusiana na Umiliki wa Maliasili ya mwaka 2017 na Sheria ya Mapitio na Majadiliano Kuhusu Masharti Hasi Katika Maliasili ya nchi ya mwaka 2017.
Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Joseph Mhagama, ameiambia The Chanzo Alhamisi hii kwamba wameomba ufafanuzi zaidi kutoka kwa Serikali kuhusu mabadiliko hayo ambayo yameibua mjadala mkubwa miongoni mwa wafuatiliaji wa mambo nchini.
Sheria hizo ni miongoni mwa sheria zilizojumuishwa katika Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali Na. 2 wa Mwaka 2023, uliokusudia kurekebisha, pamoja na sheria nyingine, sheria hizo mbili ili zisitumike katika uendeshaji wa miradi ya uendeshaji, uendelezaji na bandari.
Huku wadau wengi wakihusisha sheria hii na mkataba unaotegemea kuipa kampuni ya DP World ya Dubai, kazi ya kuendesha, kuboresha na kuendeleza bandari Tanzania.
Muswada huo uliosomwa bungeni kwa mara ya kwanza Juni 28, 2023, na Kamati ya Bunge ya Katiba na Masuala ya Kisheria ilialika maoni ya wadau kuhusu marekebisho yaliyotazamiwa kabla ya muswada huo kurejeshwa bungeni baadaye Agosti. Kamati ilisikiliza maoni ya wadau hao mnamo Agosti 16, 2023.
Sehemu ya IV na V ya muswada wa marekebisho zinapendekeza marekebisho ya sheria tajwa ili kuhakikisha kuwa utekelezaji wa sheria hizo hauathiri uwekezaji utakaokuja kufanywa katika uendelezaji na uendeshaji wa bandari.
Serikali inasema marekebisho hayo yanalenga kuwezesha bandari za Tanzania “kufanya kazi katika viwango vya kimataifa na kuvutia meli nyingi za mizigo mikubwa kuhudumiwa na bandari” za Tanzania.
Sheria hizi mbili ambazo zilipitishwa mwaka 2017 ziliwekwa kwa madhumuni ya kuhakikisha Tanzania inanufaika na maliasili zake, lakini pia inatoa nafasi ya kurekebisha mikataba mibovu.
Dk Mhagama ameiambia The Chanzo kwamba kamati yake ilipokea maoni kuhusu sehemu nne za sheria ambazo Serikali inataka kuzifanyia marekebisho, na kuacha sehemu mbili zilizoundwa ili kuipa Tanzania mamlaka juu ya maliasili zake.
“Muswada huo una sehemu sita, kamati iliona ifanyie kazi vipengele vinne tu, na kuviacha vingine viwili ili kutengeneza njia ya mashauriano na Serikali kwa lengo la kupata ufafanuzi wa maudhui ya sheria hizo mbili,” Mhagama, ambaye ni mbunge wa Madaba (Chama cha Mapinduzi – CCM), anasema.
Anasema kuwa wadau wataalikwa kuwasilisha maoni yao mara baada ya kupata ufafanuzi na Serikali pindi ikiamua kuendelea na marekebisho yaliyopendekezwa na kuongeza kuwa kamati hiyo inatakiwa “kujiridhisha” na yaliyomo kwenye muswada huo kabla ya kuamua kuendelea nao.
Dk Mhagama ameiambia The Chanzo kwamba kamati yake iliomba maelezo kutoka kwa Serikali kuhusu marekebisho ya sheria hizo mbili, huku akishindwa kueleza ni lini hasa anatarajia mamlaka kujibu hoja zilizoibuliwa.
“Serikali itakuwa hapa milele; wakati wowote watakapoona inafaa kujibu hoja tulizoibua watakuja kwenye kamati na mapendekezo yao,” Dk Mhagama anafafanua. “Si lazima iwe leo, kesho au mwakani.”
Mapendekezo ya marekebisho ya sheria hizo yanakuja wakati mjadala mkubwa wa kitaifa ukiendelea kuhusu makubaliano baina ya Serikali ya Tanzania na Dubai ili kuiruhusu DP World kuiendesha bandari ya Dar es Salaam.
Mnamo Juni 10, 2023, wabunge waliridhia kwa kauli moja mkataba huo tata ambao unaendelea kuleta mgawanyiko wa taifa, huku mgawanyiko wa maoni kati ya wafuasi wake na wakosoaji ukionekana wazi kila siku.
Serikali na chama tawala wanauelezea mkataba huo kuwa “mkataba bora zaidi kuwahi kutokea,” huku wanaharakati na vyama vya upinzani wakiuelezea kuwa “mkataba mbaya zaidi.”
Miongoni mwa waliokataa mpango huo ni Maaskofu wa Kanisa Katoliki, ambao kwenye taarifa yao ya pamoja ya Agosti 18, 2023, waliitaka Serikali kusikiliza matakwa ya wananachi ya kufuta mpango huo, wakisema, “Sauti ya watu ni sauti ya Mungu.”
“Ni lazima miradi kama hii [ya maendeleo ya bandari] iendeshwe na kusimamiwa na Watanzania wenyewe, huku wakikaribisha ushirikiano ambao wao wenyewe wataudhibiti,” Maaskofu hao 37 walisema katika taarifa yao hiyo ya pamoja.
“Hili ndilo ambalo wananchi wamekuwa wakililia ili tuweze kuboresha uwezo wetu wa kusimamia uwekezaji muhimu,” waliendelea kueleza. “Kwa sababu tayari tumeshachambua mapungufu ya jinsi tunavyoendesha bandari zetu, tunaweza kuyafanyia kazi huku njia za uchumi zikisalia mikononi mwetu.”
Source: The Chanzo
CCM Hawanaga mshipa wa aibu aiseeYaliyokuwa yanasemwa na wanasheria, ndio sasa yaanza kutimia.
Tukisema kuna hela ya maana huyu bibi alipokea tunaambiwa tumwamini rais. ,tuwe na iman na raisiTuna rais wa hovyo sana awamu hii yaani unaamua kubadili sheria ili zimpendeze huyo anayemwita mwekezaji wakati ni jambazi wa rasilimali.Na yeye hata kishtuka tu hamna.Hovyo sana.
Huyu muwekezaji ana nini hasa cha zaidi mpaka anafanya sheria za nchi zinanyumbulishwa ili tu yeye a-fit in?[emoji419][emoji375]Aisee, hivi inakuwaje muwekezaji mmoja tuu anafanya mpaka tubadili sheria za nchi ambazo zilitungwa kwa umakini mkubwa? Hii sheria ya maliasili ni mpya kabisa ya mwaka 2017 tuu hapo, ni kwa nini tubadili sheria inayolinda maliasili kwa ajili muwekezaji mmoja tuu?
Ina maana akija muwekezaji mwingine ambaye sheria itakuwa inambana kwenye masharti anayoyataka pia tutairudisha tena bungeni kuvichomoa hivyo vipengele?
Huyu muwekezaji ana nini hasa cha zaidi mpaka anafanya sheria za nchi zinanyumbulishwa ili tu yeye a-fit in?
Kwa nini yeye kama muwekezaji asi-blend in na sheria za nchi yetu?
Kimsingi yeye ndiyo anapaswa ajinyumbue ili kuendana na sheria halali za nchi zilizowekwa.
★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★
Kamati ya Bunge ya Katiba na Masuala ya Kisheria imeahirisha kusikiliza maoni ya wadau kuhusu mapendekezo ya marekebisho ya Sheria ya Mamlaka ya Nchi Kuhusiana na Umiliki wa Maliasili ya mwaka 2017 na Sheria ya Mapitio na Majadiliano Kuhusu Masharti Hasi Katika Maliasili ya nchi ya mwaka 2017.
Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Joseph Mhagama, ameiambia The Chanzo Alhamisi hii kwamba wameomba ufafanuzi zaidi kutoka kwa Serikali kuhusu mabadiliko hayo ambayo yameibua mjadala mkubwa miongoni mwa wafuatiliaji wa mambo nchini.
Sheria hizo ni miongoni mwa sheria zilizojumuishwa katika Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali Na. 2 wa Mwaka 2023, uliokusudia kurekebisha, pamoja na sheria nyingine, sheria hizo mbili ili zisitumike katika uendeshaji wa miradi ya uendeshaji, uendelezaji na bandari.
Huku wadau wengi wakihusisha sheria hii na mkataba unaotegemea kuipa kampuni ya DP World ya Dubai, kazi ya kuendesha, kuboresha na kuendeleza bandari Tanzania.
Muswada huo uliosomwa bungeni kwa mara ya kwanza Juni 28, 2023, na Kamati ya Bunge ya Katiba na Masuala ya Kisheria ilialika maoni ya wadau kuhusu marekebisho yaliyotazamiwa kabla ya muswada huo kurejeshwa bungeni baadaye Agosti. Kamati ilisikiliza maoni ya wadau hao mnamo Agosti 16, 2023.
Sehemu ya IV na V ya muswada wa marekebisho zinapendekeza marekebisho ya sheria tajwa ili kuhakikisha kuwa utekelezaji wa sheria hizo hauathiri uwekezaji utakaokuja kufanywa katika uendelezaji na uendeshaji wa bandari.
Serikali inasema marekebisho hayo yanalenga kuwezesha bandari za Tanzania “kufanya kazi katika viwango vya kimataifa na kuvutia meli nyingi za mizigo mikubwa kuhudumiwa na bandari” za Tanzania.
Sheria hizi mbili ambazo zilipitishwa mwaka 2017 ziliwekwa kwa madhumuni ya kuhakikisha Tanzania inanufaika na maliasili zake, lakini pia inatoa nafasi ya kurekebisha mikataba mibovu.
Dk Mhagama ameiambia The Chanzo kwamba kamati yake ilipokea maoni kuhusu sehemu nne za sheria ambazo Serikali inataka kuzifanyia marekebisho, na kuacha sehemu mbili zilizoundwa ili kuipa Tanzania mamlaka juu ya maliasili zake.
“Muswada huo una sehemu sita, kamati iliona ifanyie kazi vipengele vinne tu, na kuviacha vingine viwili ili kutengeneza njia ya mashauriano na Serikali kwa lengo la kupata ufafanuzi wa maudhui ya sheria hizo mbili,” Mhagama, ambaye ni mbunge wa Madaba (Chama cha Mapinduzi – CCM), anasema.
Anasema kuwa wadau wataalikwa kuwasilisha maoni yao mara baada ya kupata ufafanuzi na Serikali pindi ikiamua kuendelea na marekebisho yaliyopendekezwa na kuongeza kuwa kamati hiyo inatakiwa “kujiridhisha” na yaliyomo kwenye muswada huo kabla ya kuamua kuendelea nao.
Dk Mhagama ameiambia The Chanzo kwamba kamati yake iliomba maelezo kutoka kwa Serikali kuhusu marekebisho ya sheria hizo mbili, huku akishindwa kueleza ni lini hasa anatarajia mamlaka kujibu hoja zilizoibuliwa.
“Serikali itakuwa hapa milele; wakati wowote watakapoona inafaa kujibu hoja tulizoibua watakuja kwenye kamati na mapendekezo yao,” Dk Mhagama anafafanua. “Si lazima iwe leo, kesho au mwakani.”
Mapendekezo ya marekebisho ya sheria hizo yanakuja wakati mjadala mkubwa wa kitaifa ukiendelea kuhusu makubaliano baina ya Serikali ya Tanzania na Dubai ili kuiruhusu DP World kuiendesha bandari ya Dar es Salaam.
Mnamo Juni 10, 2023, wabunge waliridhia kwa kauli moja mkataba huo tata ambao unaendelea kuleta mgawanyiko wa taifa, huku mgawanyiko wa maoni kati ya wafuasi wake na wakosoaji ukionekana wazi kila siku.
Serikali na chama tawala wanauelezea mkataba huo kuwa “mkataba bora zaidi kuwahi kutokea,” huku wanaharakati na vyama vya upinzani wakiuelezea kuwa “mkataba mbaya zaidi.”
Miongoni mwa waliokataa mpango huo ni Maaskofu wa Kanisa Katoliki, ambao kwenye taarifa yao ya pamoja ya Agosti 18, 2023, waliitaka Serikali kusikiliza matakwa ya wananachi ya kufuta mpango huo, wakisema, “Sauti ya watu ni sauti ya Mungu.”
“Ni lazima miradi kama hii [ya maendeleo ya bandari] iendeshwe na kusimamiwa na Watanzania wenyewe, huku wakikaribisha ushirikiano ambao wao wenyewe wataudhibiti,” Maaskofu hao 37 walisema katika taarifa yao hiyo ya pamoja.
“Hili ndilo ambalo wananchi wamekuwa wakililia ili tuweze kuboresha uwezo wetu wa kusimamia uwekezaji muhimu,” waliendelea kueleza. “Kwa sababu tayari tumeshachambua mapungufu ya jinsi tunavyoendesha bandari zetu, tunaweza kuyafanyia kazi huku njia za uchumi zikisalia mikononi mwetu.”
Source: The Chanzo
Sawa, pia tutambue kazi nzuri ya maaskofu dk za mwisho kabla ya vikao kuanza. Ule waraka umewafanya hadi baadhi yao kukiri hawakujua wanachopitisha,
Inapasuka kisa iko kwenye keybord unaandamana?Ngoma inadunda sana, karibia inachanika
Sio tip tip,UKSio sheria hiyooo tu kuna sheria kadhaa zta be ammended in favor of tipu tipu
Party | Position | |||
|---|---|---|---|---|
|
| Dr. Joseph Kizito Mhagama | Constituent Member | CCM | Mwenyekiti |
|
| Florent Laurent Kyombo | Constituent Member | CCM | Makamu Mwenyekiti |
|
| Abdullah Ali Mwinyi | Constituent Member | CCM | Mjumbe |
|
| Agnesta Lambert Kaiza | Special Seats | CHADEMA | Mjumbe |
|
| Ahmed Juma Ngwali | Constituent Member | CCM | Mjumbe |
|
| Boniphace Nyangindu Butondo | Constituent Member | CCM | Mjumbe |
|
| Dr. Alice Karungi Kaijage | Special Seats | CCM | Mjumbe |
|
| Edward Olelekaita Kisau | Constituent Member | CCM | Mjumbe |
|
| Khadija Shaaban Taya | Special Seats | CCM | Mjumbe |
|
| Jonas Van Zeeland | Constituent Member | CCM | Mjumbe |
Selemani Jumanne Zedi | Constituent Member | CCM | Mjumbe | |
|
| Tumaini Bryceson Magessa | Constituent Member | CCM | Mjumbe |
|
| Hussein Nassor Amar | Constituent Member | CCM | Mjumbe |
|
| Omar Issa Kombo | Constituent Member | CCM | Mjumbe |
|
| Rashid Abdallah Shangazi | Constituent Member | CCM | Mjumbe |
|
| Salum Mohammed Shaafi | Constituent Member | ACT | Mjumbe |
|
| Wanu Hafidh Ameir | Member from House of Representatives | CCM | Mjumbe |
|
| Yahaya Omary Massare | Constituent Member | CCM | Mjumbe |
|
| Bakar Hamad Bakar | Member from House of Representatives | CCM | Mjumbe |
| DP | Member Name | Mp Type | Party | Position |
|---|---|---|---|---|
| Abeid Ighondo Ramadhani | Constituent Member | CCM | Mjumbe |
Hatari kubwaAisee, hivi inakuwaje muwekezaji mmoja tuu anafanya mpaka tubadili sheria za nchi ambazo zilitungwa kwa umakini mkubwa? Hii sheria ya maliasili ni mpya kabisa ya mwaka 2017 tuu hapo, ni kwa nini tubadili sheria inayolinda maliasili kwa ajili muwekezaji mmoja tuu?
Ina maana akija muwekezaji mwingine ambaye sheria itakuwa inambana kwenye masharti anayoyataka pia tutairudisha tena bungeni kuvichomoa hivyo vipengele?
Huyu muwekezaji ana nini hasa cha zaidi mpaka anafanya sheria za nchi zinanyumbulishwa ili tu yeye a-fit in?
Kwa nini yeye kama muwekezaji asi-blend in na sheria za nchi yetu?
Kimsingi yeye ndiyo anapaswa ajinyumbue ili kuendana na sheria halali za nchi zilizowekwa.
★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★
Kamati ya Bunge ya Katiba na Masuala ya Kisheria imeahirisha kusikiliza maoni ya wadau kuhusu mapendekezo ya marekebisho ya Sheria ya Mamlaka ya Nchi Kuhusiana na Umiliki wa Maliasili ya mwaka 2017 na Sheria ya Mapitio na Majadiliano Kuhusu Masharti Hasi Katika Maliasili ya nchi ya mwaka 2017.
Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Joseph Mhagama, ameiambia The Chanzo Alhamisi hii kwamba wameomba ufafanuzi zaidi kutoka kwa Serikali kuhusu mabadiliko hayo ambayo yameibua mjadala mkubwa miongoni mwa wafuatiliaji wa mambo nchini.
Sheria hizo ni miongoni mwa sheria zilizojumuishwa katika Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali Na. 2 wa Mwaka 2023, uliokusudia kurekebisha, pamoja na sheria nyingine, sheria hizo mbili ili zisitumike katika uendeshaji wa miradi ya uendeshaji, uendelezaji na bandari.
Huku wadau wengi wakihusisha sheria hii na mkataba unaotegemea kuipa kampuni ya DP World ya Dubai, kazi ya kuendesha, kuboresha na kuendeleza bandari Tanzania.
Muswada huo uliosomwa bungeni kwa mara ya kwanza Juni 28, 2023, na Kamati ya Bunge ya Katiba na Masuala ya Kisheria ilialika maoni ya wadau kuhusu marekebisho yaliyotazamiwa kabla ya muswada huo kurejeshwa bungeni baadaye Agosti. Kamati ilisikiliza maoni ya wadau hao mnamo Agosti 16, 2023.
Sehemu ya IV na V ya muswada wa marekebisho zinapendekeza marekebisho ya sheria tajwa ili kuhakikisha kuwa utekelezaji wa sheria hizo hauathiri uwekezaji utakaokuja kufanywa katika uendelezaji na uendeshaji wa bandari.
Serikali inasema marekebisho hayo yanalenga kuwezesha bandari za Tanzania “kufanya kazi katika viwango vya kimataifa na kuvutia meli nyingi za mizigo mikubwa kuhudumiwa na bandari” za Tanzania.
Sheria hizi mbili ambazo zilipitishwa mwaka 2017 ziliwekwa kwa madhumuni ya kuhakikisha Tanzania inanufaika na maliasili zake, lakini pia inatoa nafasi ya kurekebisha mikataba mibovu.
Dk Mhagama ameiambia The Chanzo kwamba kamati yake ilipokea maoni kuhusu sehemu nne za sheria ambazo Serikali inataka kuzifanyia marekebisho, na kuacha sehemu mbili zilizoundwa ili kuipa Tanzania mamlaka juu ya maliasili zake.
“Muswada huo una sehemu sita, kamati iliona ifanyie kazi vipengele vinne tu, na kuviacha vingine viwili ili kutengeneza njia ya mashauriano na Serikali kwa lengo la kupata ufafanuzi wa maudhui ya sheria hizo mbili,” Mhagama, ambaye ni mbunge wa Madaba (Chama cha Mapinduzi – CCM), anasema.
Anasema kuwa wadau wataalikwa kuwasilisha maoni yao mara baada ya kupata ufafanuzi na Serikali pindi ikiamua kuendelea na marekebisho yaliyopendekezwa na kuongeza kuwa kamati hiyo inatakiwa “kujiridhisha” na yaliyomo kwenye muswada huo kabla ya kuamua kuendelea nao.
Dk Mhagama ameiambia The Chanzo kwamba kamati yake iliomba maelezo kutoka kwa Serikali kuhusu marekebisho ya sheria hizo mbili, huku akishindwa kueleza ni lini hasa anatarajia mamlaka kujibu hoja zilizoibuliwa.
“Serikali itakuwa hapa milele; wakati wowote watakapoona inafaa kujibu hoja tulizoibua watakuja kwenye kamati na mapendekezo yao,” Dk Mhagama anafafanua. “Si lazima iwe leo, kesho au mwakani.”
Mapendekezo ya marekebisho ya sheria hizo yanakuja wakati mjadala mkubwa wa kitaifa ukiendelea kuhusu makubaliano baina ya Serikali ya Tanzania na Dubai ili kuiruhusu DP World kuiendesha bandari ya Dar es Salaam.
Mnamo Juni 10, 2023, wabunge waliridhia kwa kauli moja mkataba huo tata ambao unaendelea kuleta mgawanyiko wa taifa, huku mgawanyiko wa maoni kati ya wafuasi wake na wakosoaji ukionekana wazi kila siku.
Serikali na chama tawala wanauelezea mkataba huo kuwa “mkataba bora zaidi kuwahi kutokea,” huku wanaharakati na vyama vya upinzani wakiuelezea kuwa “mkataba mbaya zaidi.”
Miongoni mwa waliokataa mpango huo ni Maaskofu wa Kanisa Katoliki, ambao kwenye taarifa yao ya pamoja ya Agosti 18, 2023, waliitaka Serikali kusikiliza matakwa ya wananachi ya kufuta mpango huo, wakisema, “Sauti ya watu ni sauti ya Mungu.”
“Ni lazima miradi kama hii [ya maendeleo ya bandari] iendeshwe na kusimamiwa na Watanzania wenyewe, huku wakikaribisha ushirikiano ambao wao wenyewe wataudhibiti,” Maaskofu hao 37 walisema katika taarifa yao hiyo ya pamoja.
“Hili ndilo ambalo wananchi wamekuwa wakililia ili tuweze kuboresha uwezo wetu wa kusimamia uwekezaji muhimu,” waliendelea kueleza. “Kwa sababu tayari tumeshachambua mapungufu ya jinsi tunavyoendesha bandari zetu, tunaweza kuyafanyia kazi huku njia za uchumi zikisalia mikononi mwetu.”
Source: The Chanzo
Kwakweli !Ukifuatilia siasa za Tanzania na ukakosa stress(ukawa comfortable), basi hata Jehanamu huwezi kuwa na stress(utakuwa comfortable).
Asante.Huyu Mzanzibar acha wamchekee tu watavuna mabua hafai kbs je sheria za kwao Zanzibar zinachezewa kama za huku kwetu? 2025 PIGA KULA KUMKATAA MBUNGE WA CCM.
Huyu JONAS VAN ZEELAND baba yake ni nina mkuu?Wajumbe 21 wa kamati ya kudumu ya sheria, katiba na utawala bora walioiomba serikali kutoa maelezo zaidi kuhusu muswada wa mabadiliko ya sheria ya ulinzi wa Maliasilia ya mwaka 2017 - Mswaada wa The Natural Wealth and Resources (Permanent Sovereignity) Act, 2017
PartyPosition Dr. Joseph Kizito Mhagama Constituent Member CCM Mwenyekiti Florent Laurent Kyombo Constituent Member CCM Makamu Mwenyekiti Abdullah Ali Mwinyi Constituent Member CCM Mjumbe Agnesta Lambert Kaiza Special Seats CHADEMA Mjumbe Ahmed Juma Ngwali Constituent Member CCM Mjumbe Boniphace Nyangindu Butondo Constituent Member CCM Mjumbe Dr. Alice Karungi Kaijage Special Seats CCM Mjumbe Edward Olelekaita Kisau Constituent Member CCM Mjumbe Khadija Shaaban Taya Special Seats CCM Mjumbe Jonas Van Zeeland Constituent Member CCM Mjumbe Showing 11 to 20 of 21 entries
Selemani Jumanne ZediConstituent Member CCM Mjumbe Tumaini Bryceson Magessa Constituent Member CCM Mjumbe Hussein Nassor Amar Constituent Member CCM Mjumbe Omar Issa Kombo Constituent Member CCM Mjumbe Rashid Abdallah Shangazi Constituent Member CCM Mjumbe Salum Mohammed Shaafi Constituent Member ACT Mjumbe Wanu Hafidh Ameir Member from House of Representatives CCM Mjumbe Yahaya Omary Massare Constituent Member CCM Mjumbe Bakar Hamad Bakar Member from House of Representatives CCM Mjumbe
DP Member Name Mp Type Party Position View attachment 2728101 Abeid Ighondo Ramadhani Constituent Member CCM Mjumbe
Ni Mwenyekiti wa Chama na ni Mkuu wa Nchi na pia ni Commander in chief of the armed forces !! Acha mchezo kabisa !! 🙏🙏🙏😅Sawa, pia tutambue kazi nzuri ya maaskofu dk za mwisho kabla ya vikao kuanza. Ule waraka umewafanya hadi baadhi yao kukiri hawakujua wanachopitisha, mbunge wa Bunda. Unadhani wangapi waliamini kuwa hata spika hakuwa anajua anachokipitisha ?
Mambo yienda haraka,
1. Teua na rudisha mume wa spika huko EWURA
2. RUSHWA YA GESI BUNGENI
3. WARSHA ZISIZO NA MBELE WALA NYUMA ZA WABUNGE
4. Caucus meetings za CCM.
NANI WA KUBISHANA NA MWENYEKITI WA CHAMA KAMA ALIMSHINDA NANKUMCHOMOA NDUGAI?