Sakata la Dr. Year na Mhe Thursday: Sasa yametimia baada ya siri kufichuka

Wewe
Katuni mbona una mdomo sana,kila kitu lazima u provoke,hivi kujifunza kupost Humu ndani tayari umeshajiona genius na umefaulu kila mtu kwako hab a akili wewe ndio unazo, nenda kwenye forums za wale wanaozungumzia masuala ya nyuklia na bone marrow transplants uonyeshe ujuaji wako,sio huku,inaonyesha nyie ndio wale waliokuwa wakilipia E-mail address.
 
Acheni kuwachafua watu msimtaje n/wazir ni mtu mwenye integrity ya ari ya juu
 

ID Yangu Ni BRAND Humu Muda Mrefu Mkuu Na Wala Sina Haja Ya Kuhangaika Kujipigia Promo Isipokuwa Na Wewe Pia Nakushauri Kuliko KUONYESHA WIVU ULIOTUKUKA KWANGU Kwa UPOPOMA Uliouonyesha Ktk Post Yako Hii Hebu Jaribu Na Wewe Kuibrand ID Yako Angalau IJULIKANE Na Hata Siku Ikitokea Watu HAWAJAKUONA Humu WAKUULIZIE. Na Ktk Uwepo Wangu Mfupi Tu Humu JF Sijawahi Kuiona Hii ID Yako Ambayo Hata Hivyo Kwa Kilugha Cha Kwetu ID Yako Inamaanisha " Tukuchambe Kama Siyo Tukutawaze ". Muwe Mnaangalia Kwanza Na Aina Za ID's Mnazozitunga Na Kuja Nazo Humu Zingine Zinawavueni Nguo Wenyewe Bila Kujijua. Pole Sana!
 
Weka picture ya hilo beautifully toto,,,na mm nijipe 3year
 
Acheni kuwachafua watu msimtaje n/wazir ni mtu mwenye integrity ya ari ya juu

Ni Wapi Umeona Katajwa Naibu Waziri Hapo? Hebu TUTHIBITISHIE KIUHAKIKA Ili Tujue Kuwa Na Wewe Ni Mmoja Wa Ma Great Thinkers Humu.
 
Nilijua tu kuna la ziada
 
Fitina!

Hivi bongo hii kuna demu kweli wa kumsumbua mtu miaka mitatu????
Labda kama huna hela!!!!


Hata usipokuwa na hela hufikishi miaka mitatu mkuu!

Anyway, pasipo kuharibu flow ya mada naamini mtoa mada alidhamiria kufurahisha jukwaa tu, besides, hata kwake ni rumors tu!
 
Wewe
Maandazi sisi kama nyie watoto wa haramu hata mkitiwa kwenye chupa lazima mtoe kidole, angalia uwepo wangu Humu ni lini nadhani kipindi mm najiunga na jf wewe ulikuwa..........!,usitegemee kila mtu ana ujuba kama huo wako, halafu huoni aibu mwanamme mzima unazungumzia mambo ya kuonewa wivu, labda kwa jinsi Ulivyo cheupe, ndio unaringa na hiyo figa matata uliyojaaliwa?
 
Kwa iyo unataka kusema kwa uandishi huu, cyber crime haikuhusu?
 
Ila nawe unavijimaneni vya shombo kweli kama ni mwanaume naomba nikupe pole kama ni mwanamke habari tunayoo Gentamycine
 
Habari ulete wewe alafu details utuulize sisi???? aisee ukisikia unafiki ~aga ndio kama huu
 
Wewe mtoa post huna uhakika na unachokiongea unaomba kama kuna mtu anaefahamu ukweli akujuze lakini watu wanavyochangia utafikiri habari ulioleta ni ya uhakika hapo ndipo ninapoamini maneno ya mheshimiwa ELIMU ELIMU ELIMU
 
Mbele ya pesa sio kweli miaka mitatu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…