Sakata la Dr. Year na Mhe Thursday: Sasa yametimia baada ya siri kufichuka

Shetani mnampa nafasi,..YESU alisema ukitamani mwanamke tayari umezini nae,..shetani anatumia nafasi hiyo kwenda nawatu motoni,..zinaa ni dhambi na hata kama umeoa kama hufati sharia za Mungu lazima utatoka nje ya ndoa sababu shetani anaweka matamanio ndani yako,..we need to change na Kumrudia MUNGU hayo yote ya kufanya dhambi hovyo yataisha,...najua mtapanic bt njia pekee ya kuacha dhambi ni kumrudia MUNGU Iko hivyo
 
Hahaha mimi pia,hii habari labda nipewe source..

Unaposema Tu HABARI Jua Ya Kwamba Kuna Ambayo Ni " CLASSIFIED " Na " FREE TO THE PUBLIC " Na Ungekuwa Umekwenda Kweli Shule Ungegundua Tu Kuwa Hata UZI Wangu Nilivyouandika NIMEUFUMBA Mno Na Hiyo Ingetosha Kukuridhisha Wewe Kuwa Hii Kitu Ni " NYETI " Ila Yawezekana " PANZI BRAINS " Idadi Yenu Imeongezeka Humu Sasa Mnatusumbua Sisi Ma Great Thinkers. Hivi Shule Zenu Mnategemea KUZIFUNGUA Lini Mpungue Humu?
 
Fitina!

Hivi bongo hii kuna demu kweli wa kumsumbua mtu miaka mitatu????
Labda kama huna hela!!!!
Mkuu wasumbufu wa hivyo wapo sana... Ila unapokuja kusoma kwamba demu anamkataa Intellectual na ambaye ana wadhifa fulani then anamkubali tapeli na mtu anayeishi kijanja mjini kama huyo Dr. wa mitishamba ndio utata unapokuja... Hii ni story ya kutunga au fitna tu..
 
Acheni kuchafua watu. Watu wanaposimamia kazi vizuri, mnawachafua na kuwasingizia kuwa Wana mabifu ya kukosa mademu. Je mhashimiwa rais anavyotumbua majipu, na yeye alitoswa na mademu waliowakubalia wale waliofukuzwa bandarini, waliotoswa uwaziri, waliotoswa ukatibu mkuu, n.k?

Hivi Wewe Ni Julian Assange Huyu Huyu Tunayemjua au Mwenzetu Wewe Ni JULIANA ASSENGA? Nijibu Kwanza Hili Kisha Nitiririke Vizuri Na Wewe Ktk Kujibu UPOPOMA Wako Uliouweka Hapa.
 
Sio lazima iwe ni ishu ya demu, lakini ukiniambia kuna visa naweza kuamini kwa silimia tisini kwa jinsi picha ilivyokaa.

Yaani ni kama vile Dr Thursday alisubiri hii chance siku nyingi, yaani kama Dr Thursday angesema apelekewe wafanya tiba mbadala ofisini, alafu wewe ukamkamata Dr Ndodi ukampeleka angekwambia huyo hapana.

Leo wanawazuia hao matabibu kutoa hata ushauri wa lishe au kutambua dalili za magonjwa redioni lakini tunaachia watangazaji wanadi jinsi ya kuvaa na kutumia condom unajisikia raha....itampa raha...unamfikisha kileleni blah blah blah.
 
Lile sakata lililomuhusisha Naibu kiongozi mmoja wa masuala ya kibaiolojia, Mr. Thursday Napigwangwala na msimamizi mmoja wa masuala hayo hayo Mr. Week Year juu ya huduma zake kumbe wala halihusiani na taaluma au ueledi wa hapo bali ni masuala tu ya kimapenzi a.k.a mahaba.

Inasemekana kuna totooz moja ya maana Mr. Thursday Napigwangwala katumia miaka mitatu (3) kuitongoza huku akitoa ofa kadhaa na bado hakuona ndani lakini ni totooz hiyo hiyo Mr. Week Year katongoza kwa saa 72 tu kamaliza kazi.

Hili tukio sasa limenifanya niamini kuwa kumbe 85% ya mabifu ya sisi wanaume huwa ni malavidavi na hizo 15% zilizobaki ni masuala tu ya mshiko.

Naomba mwenye ukweli zaidi kuhusiana na hili la Mr. Thursday Napigwangwala na Mr. Week Year atujuze zaidi tafadhali.
unaandika nini kama kitu huna uhakika nacho peleka umbeya wako kwenu
 
Hahahahaaa kumbe?Hivi hili sakata limeishia wapi?
Ila wanaume hawana maana jamani!Huyo Mr. Thursday si anasifika kwa kuwa na wifey bomba?

Hakuna Lolote Wife Wa Mr. Thursday Ni Wa Kawaida Sana Ila Nasikia Tu Kuwa Huyo Wife Ni Bright Kama Alivyo Mumewe Ila Tunategemea Mtoto Wao Kuja Kuwa Albert Eistein Wa Tabora.
 
Lile sakata lililomuhusisha Naibu kiongozi mmoja wa masuala ya kibaiolojia, Mr. Thursday Napigwangwala na msimamizi mmoja wa masuala hayo hayo Mr. Week Year juu ya huduma zake kumbe wala halihusiani na taaluma au ueledi wa hapo bali ni masuala tu ya kimapenzi a.k.a mahaba.

Inasemekana kuna totooz moja ya maana Mr. Thursday Napigwangwala katumia miaka mitatu (3) kuitongoza huku akitoa ofa kadhaa na bado hakuona ndani lakini ni totooz hiyo hiyo Mr. Week Year katongoza kwa saa 72 tu kamaliza kazi.

Hili tukio sasa limenifanya niamini kuwa kumbe 85% ya mabifu ya sisi wanaume huwa ni malavidavi na hizo 15% zilizobaki ni masuala tu ya mshiko.

Naomba mwenye ukweli zaidi kuhusiana na hili la Mr. Thursday Napigwangwala na Mr. Week Year atujuze zaidi tafadhali.

jamaa yangu wewe kwa umbeya na wewe humo anyway hebu toa details za totoz huyo ili na mie nijipime ubavu nione kama ninaweza kung`oa kwa muda gani....

you know what mwanamke akiwa desperate kwa kitu fulani halafu ukamuaminisha kuwa wewe utamsaidia kuondoa tatizo linalomkabili unagonga hata bure

ndio maana kuna wanawake wakali sana ila wamegongwa na ma hr wa ajabu ajabu mjini hapa mpaka unashangaa
 
Shetani mnampa nafasi,..YESU alisema ukitamani mwanamke tayari umezini nae,..shetani anatumia nafasi hiyo kwenda nawatu motoni,..zinaa ni dhambi na hata kama umeoa kama hufati sharia za Mungu lazima utatoka nje ya ndoa sababu shetani anaweka matamanio ndani yako,..we need to change na Kumrudia MUNGU hayo yote ya kufanya dhambi hovyo yataisha,...najua mtapanic bt njia pekee ya kuacha dhambi ni kumrudia MUNGU Iko hivyo

Akhsante Baba Askofu.
 
jamaa yangu wewe kwa umbeya na wewe humo anyway hebu toa details za totoz huyo ili na mie nijipime ubavu nione kama ninaweza kung`oa kwa muda gani....

you know what mwanamke akiwa desperate kwa kitu fulani halafu ukamuaminisha kuwa wewe utamsaidia kuondoa tatizo linalomkabili unagonga hata bure

ndio maana kuna wanawake wakali sana ila wamegongwa na ma hr wa ajabu ajabu mjini hapa mpaka unashangaa

Sasa Umeshaniita Mimi Mbeya. Je Na Wewe Huu UPOPOMA Wako Uliouandika Hapa Ni Usingida au?
 
unaandika nini kama kitu huna uhakika nacho peleka umbeya wako kwenu

Unataka Uhakika Wa UZI Wangu Je Wewe Hao Watoto Mkeo Aliokuzalia Una Uhakika 100% Kuwa Ni " Mabao " Yako? Ukiona Mtu Anakuja Na Post Ya JAZBA Namna Hii Kama Wewe Basi Ujue PESA YA MSHAHARA Imeshakwisha Na Miamala Yote Anakotegemea Inasoma " YOU HAVE NO BALANCE " Pole Sana Mkuu Na Ndiyo Kwanza Leo Tarehe 13, January 2016 Na Usipoangalia Utachuma Sana Michicha Kuelekea Mwisho Wa Mwezi.
 
Mkuu wasumbufu wa hivyo wapo sana... Ila unapokuja kusoma kwamba demu anamkataa Intellectual na ambaye ana wadhifa fulani then anamkubali tapeli na mtu anayeishi kijanja mjini kama huyo Dr. wa mitishamba ndio utata unapokuja... Hii ni story ya kutunga au fitna tu..

Maswali Ya Watu Wa Magomeni Mapipa Kwa Macheni Huwa SIYAPENDI Mkuu.
 
Nurseeeeeee!!! I mean Waiter, anomba kahawa tafadhali. Vijiko vitatu vya sukari.
 
ha ha hah kumbe tuko wengi eeehh tusiomuamini bibie mtoa mada!

Ila Ulipokoswakoswa Kutunguliwa Na Waasi Wa M23 Ulipokwenda Kongo Kulinda Amani Ndiyo Uliamini Kuwa Wale Jamaa Walikuwa Kiboko? Halafu Acha Kupenda Kumpiga Mkeo Mara Kwa Mara Kwani Unawatia Mno Aibu WAJEDA Wenzio Na Pia Usipende Sana Kuingia Hiyo Lodge Ya NDAWAVUNGWA Hapo Kawe Jirani Na Mlango Mdogo Wa Kuingia Kambini Kwenu Na Hao MAKAHABA Wa Hapo MLIMA MOTO Stendi Ya Mabasi Ya UKWAMANI. Mheshimu Mkeo Tafadhali!
 
Ila Ulipokoswakoswa Kutunguliwa Na Waasi Wa M23 Ulipokwenda Kongo Kulinda Amani Ndiyo Uliamini Kuwa Wale Jamaa Walikuwa Kiboko? Halafu Acha Kupenda Kumpiga Mkeo Mara Kwa Mara Kwani Unawatia Mno Aibu WAJEDA Wenzio Na Pia Usipende Sana Kuingia Hiyo Lodge Ya NDAWAVUNGWA Hapo Kawe Jirani Na Mlango Mdogo Wa Kuingia Kambini Kwenu Na Hao MAKAHABA Wa Hapo MLIMA MOTO Stendi Ya Mabasi Ya UKWAMANI. Mheshimu Mkeo masikini qwiiiii mke wa mitishimba akiona hapa atadondoka kuzimia kama pana ukweli
 
Lile sakata lililomuhusisha Naibu kiongozi mmoja wa masuala ya kibaiolojia, Mr. Thursday Napigwangwala na msimamizi mmoja wa masuala hayo hayo Mr. Week Year juu ya huduma zake kumbe wala halihusiani na taaluma au ueledi wa hapo bali ni masuala tu ya kimapenzi a.k.a mahaba.

Inasemekana kuna totooz moja ya maana Mr. Thursday Napigwangwala katumia miaka mitatu (3) kuitongoza huku akitoa ofa kadhaa na bado hakuona ndani lakini ni totooz hiyo hiyo Mr. Week Year katongoza kwa saa 72 tu kamaliza kazi.

Hili tukio sasa limenifanya niamini kuwa kumbe 85% ya mabifu ya sisi wanaume huwa ni malavidavi na hizo 15% zilizobaki ni masuala tu ya mshiko.

Naomba mwenye ukweli zaidi kuhusiana na hili la Mr. Thursday Napigwangwala na Mr. Week Year atujuze zaidi tafadhali.
Hiyo tafsida duh
 
Back
Top Bottom