evansGREATDeal
JF-Expert Member
- Jan 4, 2016
- 4,013
- 2,333
Shetani mnampa nafasi,..YESU alisema ukitamani mwanamke tayari umezini nae,..shetani anatumia nafasi hiyo kwenda nawatu motoni,..zinaa ni dhambi na hata kama umeoa kama hufati sharia za Mungu lazima utatoka nje ya ndoa sababu shetani anaweka matamanio ndani yako,..we need to change na Kumrudia MUNGU hayo yote ya kufanya dhambi hovyo yataisha,...najua mtapanic bt njia pekee ya kuacha dhambi ni kumrudia MUNGU Iko hivyo