Mtanzanias
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 1,747
- 3,725
Uwezi kuwapangia cha kufanya, Yaani wasukumwe na kolo linalotaka matakwa yake yatimie kwenye mambo ambayo ayalihusu ulishagaona wapi, Nenda ukaombe nakala ya hukumu utapewaKwa Morrison walituonesha sisi kama nani?
Mchanganuo unatolewa kwa pande mbili zinahusika na shauri husika.Kwanini swala hili TFF imeamua kulifanya siri haitaki kutoa mchanganuo wa kanuni zilizotumika kuhukumu pamoja na sheria aliyovunja Feisal kila mtu aone
Hiyo ndio hoja yangu mimi
Jamii forum imevamiwa na matakataka sana siku hizi [emoji23][emoji28]Habari wakuu,
Ni dhahiri kwa hali ilipofikia inaonyesha fika kuwa Yanga wameamua kutia aibu brand ya klabu na mashabiki wao kuijumla.
Hii ni kuhusiana na sakata la Feitoto
Kila dalili zinaonyesha kuwa Fei haitaki Yanga lakini Yanga wanaonyesha ung'ang'anizi wa hali ya juu kwa mchezaji huyo, jambo linalotafsiriwa kama ni aibu kwa klabu upande wa wadau mbalimbali wa soka.
Tayari taswira inaonyesha kuwa Fei ni mkubwa kuliko Yanga kwa vitendo vinavyoonyeshwa na Yanga. Kutokana na hili hata Mama Fei mwenyewe anashangaa kwa nini Yanga wamekuwa Sikio la kufa kwa mteja wake!.
THIS IS INSANE FOR THE CLUB!
Tukumbuke nyuma kidogo Simba SC ilivyoonyesha hadhi yake mbele ya wachezaji wake mahiri kama Singano Messi na Emmanuel Okwi kudhihilisha ukubwa wa klabu mbele yao.
THIS IS HOW MUST BE!
Okay tuachane na hayo tuje kwenye ukweli sasa, Kama Yanga wanatambua mchango wa Fei kwenye klabu yao, kwa nini wasitimize au kumpatia stahiki zake ikiwemo na vigezo vyake anavyohitaji!?
Karibu Tanzania nzima inafahamu ni jinsi gani Feisal Maestro alivyoipenda sana Yanga, kiasi cha dhahiri kudhihilisha kuwa Yanga ndio waliomkosea kijana wao kwani si rahisi Feisal kuibadilika Yanga kufikia hatua hiyo.
Ikumbukwe mchezo huu mchafu haujaanza leo kwa klabu ya Yanga kutaka kudhulumu stahiki za wachezaji wake, na mara kadhaa kesi hizi zimepelekwa TFF na ngazi zingine za juu, endapo ukiangazia sakata la Kakolanya na Morrison.
Itoshe kusema dharau kwa wachezaji wa ndani zikome kwani kinachoangaliwa ni kiwango na si utaifa. Pili, Yanga ijitathmini maana kuhonga kwenye ngazi za Uongozi haiwezi tosha mbele ya haki ya mtu!.
Naomba wachezaji mjifunze kwa hili ambalo YANGA wanafanya kwa wachezaji wa ndani. Kwa kweli inasikitisha sana.
View attachment 2535389
Kwa hiyo wewe mkuu unaona ni sawa mtu asaini mkataba kabla haujaisha aseme mnanlipa kidogo mniongeze alete janja janja?Habari wakuu,

😄😄😄😄 kwahiyo Mkuu unahisi Fei alikua anarubuniwa kuhusu zile 4mil kama vile sisi Madunduka tulivyopigwa chenga ya mwili kwenye ile 20Bil ya Kanjibahi?Una uhakika alikuwa akipatiwa hizo milioni nne!? Ulikuwa unashuhudia mkuu!?
Haina shida, sawa anapatiwa milioni nne haya sasa haitaji kuendelea kuitumikia klabu mbona sasa hamtaki kukaa mezani kuzungumza kuhusu kuvunja mkataba wake!
Yanga wengi ni wavivu wa kufikiri
Asante sanaJamii forum imevamiwa na matakataka sana siku hizi [emoji23][emoji28]
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Shukrani sanamoja ya wapumbavu kuwahi kuanzisha uzi
Wewe ndio mvivu wa kufikiriUna uhakika alikuwa akipatiwa hizo milioni nne!? Ulikuwa unashuhudia mkuu!?
Haina shida, sawa anapatiwa milioni nne haya sasa haitaji kuendelea kuitumikia klabu mbona sasa hamtaki kukaa mezani kuzungumza kuhusu kuvunja mkataba wake!
Yanga wengi ni wavivu wa kufikiri
TFF wanatumiwa na wanasiasa, nikiandika uzi humu huwa naona wengine hamuelewi, sasa mtaelewa tu.Kwanini swala hili TFF imeamua kulifanya siri haitaki kutoa mchanganuo wa kanuni zilizotumika kuhukumu pamoja na sheria aliyovunja Feisal kila mtu aone
Hiyo ndio hoja yangu mimi
TFF kwenye hili imezingua sanaTFF wanatumiwa na wanasiasa, nikiandika uzi humu huwa naona wengine hamuelewi, sasa mtaelewa tu.
Mchezaji ambaye haichezei timu ni sawa na mchezaji asiyekuwepo, Binafsi nasubiri hatua za Yanga kwa Fei. Hapo ndo ntajua viongozi akili zao zinataka kunufaika vipi na Fei.Umeambiwa kama una uwezo peleka ofa umchukue. Au anzisha timu yako ambayo wachezaji watakuwa wanaondoka tu muda wowote bila kufata taratibu tuone mwisho utabaki na wachezaji wangapi. FIFA wenyewe kwa kuliona hilo walizuia mchezaji kujiondokea tu katikati ya msimu.
Nani alikwambia kila kesi inahitaji uwazi.. kwani hii kesi ina public interest?Mmmmmmh hoja ya uwazi wa mwenendo wa kesi unaitafsiri vp?
Wewe ni wakili wa Fei unahitaji nakala ya maamuzi???Zote ni kuhusu mikataba
Kamati ndio nini?
Sheria hazijabadilika na ipo pia reference recently ya kesi ya Manara ambayo mchanganuo ulifanyiwa mbele ya journalists
Wewe ni kiongozi wa TFF hadi uniulize?Wewe ni wakili wa Fei unahitaji nakala ya maamuzi???