Sakata la Fei Toto, Yanga inachekesha na kusikitisha

Wewe na akili zako timamu, unaamini taasisi inayotakiwa kutolea maamuzi masuala yanayokuwa na migongano ni sahihi kwake kurudisha hiyo migongano ikaamuliwe na wahusika wa kwenye mgogoro?

Hii taasisi imefeli, haifai tena kuendesha mpira wetu, kwangu afadhali ya konde gang kuliko hiyo taasisi.
Iyo taasisi wakati inawabeba kwa morison mlishangilia na kuipigia makofi sasa mambo ayapo upande wenu mnabwata kama walevi wa kimpumu ovyo kabisa nyie
 
Hoja siyo Fei kuitaka Yanga.Kama ni maswala ya kupendana hata Yanga haimpendi Fei.Hoja ni matakwa ya mkataba.Kama alikuwa na uwezo huo ,asingesaini Yanga.Kwanza hiyo nguvu ya kuongea hivyo kaipata Yanga,mwanzoni alisaini Singid United,Yanga alipelekwa n Mwigulu.Je,huko alikuwa amesaini shilingi ngapi? Ujinga ni kutukana waliokuokota jalalani.
 
Mkataba una terms and conditions( vigezo na masharti) hivyo ndo huwabana parties to that contract.Fei as a party to the contract vs Young Africans has to fulfill his contractual obligations.Hata uende CAS huo ndo msingi.
 
Una upeo mdogo sana wa kufikiria.
Mshahara wa milioni nne, Feisal alisainiwa na nani kwenye mkataba? Alikuwa amelewa alivyokuwa anasaini? Alishikiwa bunduki wakati wa kusaini? Hakuona ni ndogo wakati anasaini? Je aligoma kusaini mpaka aongezewe au alilidhika nayo?

Unataka Yanga iachane na Feisali sawa je waachane kienyeji au kisheria? Kama kisheria unajua ni taratibu zipi za kufuata timu inayomuhitaji Feisal?
Unaumiza akili yako bure, hii vita siyo ya Feisal na yanga, ni vita ya waliompa pesa Fei apambane na muajiri wake.
Hii hanatofauti na vita ya Ukraine vs Russia.
Wamemrubuni dogo kwa pesa, yanga wametegua mtego, kumdai dogo pesa hawawezi.

Sent from my Redmi Note 8 Pro using JamiiForums mobile app
 
Una uhakika alikuwa akipatiwa hizo milioni nne!? Ulikuwa unashuhudia mkuu!?

Haina shida, sawa anapatiwa milioni nne haya sasa haitaji kuendelea kuitumikia klabu mbona sasa hamtaki kukaa mezani kuzungumza kuhusu kuvunja mkataba wake!

Yanga wengi ni wavivu wa kufikiri
Mama yake juzi kathibitisha anapewa mln 4 na azimtoshi sasa labda wewe mke wake utuambie alikua akipatiwa shilingi ngapi
 
Habari wakuu,

Ni dhahiri kwa hali ilipofikia inaonyesha fika kuwa Yanga wameamua kutia aibu brand ya klabu na mashabiki wao kuijumla.

Hii ni kuhusiana na sakata la Feitoto
Kila dalili zinaonyesha kuwa Fei haitaki Yanga lakini Yanga wanaonyesha ung'ang'anizi wa hali ya juu kwa mchezaji huyo, jambo linalotafsiriwa kama ni aibu kwa klabu upande wa wadau mbalimbali wa soka.

Tayari taswira inaonyesha kuwa Fei ni mkubwa kuliko Yanga kwa vitendo vinavyoonyeshwa na Yanga. Kutokana na hili hata Mama Fei mwenyewe anashangaa kwa nini Yanga wamekuwa Sikio la kufa kwa mteja wake!.

THIS IS INSANE FOR THE CLUB!
Tukumbuke nyuma kidogo Simba SC ilivyoonyesha hadhi yake mbele ya wachezaji wake mahiri kama Singano Messi na Emmanuel Okwi kudhihilisha ukubwa wa klabu mbele yao.
THIS IS HOW MUST BE!

Okay tuachane na hayo tuje kwenye ukweli sasa, Kama Yanga wanatambua mchango wa Fei kwenye klabu yao, kwa nini wasitimize au kumpatia stahiki zake ikiwemo na vigezo vyake anavyohitaji!?

Karibu Tanzania nzima inafahamu ni jinsi gani Feisal Maestro alivyoipenda sana Yanga, kiasi cha dhahiri kudhihilisha kuwa Yanga ndio waliomkosea kijana wao kwani si rahisi Feisal kuibadilika Yanga kufikia hatua hiyo.

Ikumbukwe mchezo huu mchafu haujaanza leo kwa klabu ya Yanga kutaka kudhulumu stahiki za wachezaji wake, na mara kadhaa kesi hizi zimepelekwa TFF na ngazi zingine za juu, endapo ukiangazia sakata la Kakolanya na Morrison.

Itoshe kusema dharau kwa wachezaji wa ndani zikome kwani kinachoangaliwa ni kiwango na si utaifa. Pili, Yanga ijitathmini maana kuhonga kwenye ngazi za Uongozi haiwezi tosha mbele ya haki ya mtu!.

Naomba wachezaji mjifunze kwa hili ambalo YANGA wanafanya kwa wachezaji wa ndani. Kwa kweli inasikitisha sana.

View attachment 2535389
Yanga sio kwamba wanamng'ang'ania Fei, ila hawataki aondoke kwa njia aliyoamua kuitumia. Kwavile imeshindikana mbele ya TFF, basi aende mamlaka za juu. Ila huko kote ataendelea kupoteza muda.

Njia nzuri ya kulimaliza ili jambo, ni timu inayomtaka kupeleka maombi rasmi kwa Yanga, maana inaonekana tayari wameshaelewana wao kwa wao (hiyo timu na Fei), wakishamalizana na Yanga, mambo yatakuwa mepesi.
 
Unaumiza akili yako bure, hii vita siyo ya Feisal na yanga, ni vita ya waliompa pesa Fei apambane na muajiri wake.
Hii hanatofauti na vita ya Ukraine vs Russia.
Wamemrubuni dogo kwa pesa, yanga wametegua mtego, kumdai dogo pesa hawawezi.

Sent from my Redmi Note 8 Pro using JamiiForums mobile app
Halafu hao wapuuzi wana hela ila cha ajabu wanashindwa kutumia njia stahiki ambazo zitawafanya wampate mchezaji wanayemtaka kuliko kutumia njia zisizo sahihi kama wanavyofanya sasa
IMG-20230302-WA0020.jpg
 
Mama yake juzi kathibitisha anapewa mln 4 na azimtoshi sasa labda wewe mke wake utuambie alikua akipatiwa shilingi ngapi
Milioni 4 kutomtosha, ilo ni swala binafsi, halihusiani na club. Walichotakiwa hao wawakilishi wake, ni kuomba kuboreshewa maslahi ya kijana wao, na sio kukurupuka na kutaka kuondoka, as if alikuwa msalani.
 
Una uhakika alikuwa akipatiwa hizo milioni nne!? Ulikuwa unashuhudia mkuu!?

Haina shida, sawa anapatiwa milioni nne haya sasa haitaji kuendelea kuitumikia klabu mbona sasa hamtaki kukaa mezani kuzungumza kuhusu kuvunja mkataba wake!

Yanga wengi ni wavivu wa kufikiri
Mkuu trust me, hapa wewe ndio mvivu kufikiri.

Unapofushwa na mahaba
 
Habari wakuu,

Ni dhahiri kwa hali ilipofikia inaonyesha fika kuwa Yanga wameamua kutia aibu brand ya klabu na mashabiki wao kuijumla.

Hii ni kuhusiana na sakata la Feitoto
Kila dalili zinaonyesha kuwa Fei haitaki Yanga lakini Yanga wanaonyesha ung'ang'anizi wa hali ya juu kwa mchezaji huyo, jambo linalotafsiriwa kama ni aibu kwa klabu upande wa wadau mbalimbali wa soka.

Tayari taswira inaonyesha kuwa Fei ni mkubwa kuliko Yanga kwa vitendo vinavyoonyeshwa na Yanga. Kutokana na hili hata Mama Fei mwenyewe anashangaa kwa nini Yanga wamekuwa Sikio la kufa kwa mteja wake!.

THIS IS INSANE FOR THE CLUB!
Tukumbuke nyuma kidogo Simba SC ilivyoonyesha hadhi yake mbele ya wachezaji wake mahiri kama Singano Messi na Emmanuel Okwi kudhihilisha ukubwa wa klabu mbele yao.
THIS IS HOW MUST BE!

Okay tuachane na hayo tuje kwenye ukweli sasa, Kama Yanga wanatambua mchango wa Fei kwenye klabu yao, kwa nini wasitimize au kumpatia stahiki zake ikiwemo na vigezo vyake anavyohitaji!?

Karibu Tanzania nzima inafahamu ni jinsi gani Feisal Maestro alivyoipenda sana Yanga, kiasi cha dhahiri kudhihilisha kuwa Yanga ndio waliomkosea kijana wao kwani si rahisi Feisal kuibadilika Yanga kufikia hatua hiyo.

Ikumbukwe mchezo huu mchafu haujaanza leo kwa klabu ya Yanga kutaka kudhulumu stahiki za wachezaji wake, na mara kadhaa kesi hizi zimepelekwa TFF na ngazi zingine za juu, endapo ukiangazia sakata la Kakolanya na Morrison.

Itoshe kusema dharau kwa wachezaji wa ndani zikome kwani kinachoangaliwa ni kiwango na si utaifa. Pili, Yanga ijitathmini maana kuhonga kwenye ngazi za Uongozi haiwezi tosha mbele ya haki ya mtu!.

Naomba wachezaji mjifunze kwa hili ambalo YANGA wanafanya kwa wachezaji wa ndani. Kwa kweli inasikitisha sana.

View attachment 2535389
Wewe dunduka Hebu toka usingizini usije ukajinyea , Fei Toto anashauriwa vibaya na madunduka wenzake haiwezekani uvunje mkataba kienyeji halafu utegemee public sympathy kwenye ishu ya mkataba ni kushindana vifungu vya mkataba full stop yeye kwa sababu anaonyesha kiburi wacha tuone mwisho wake kama ana uwezo wa kushindana taasisi kubwa kama Yanga na tuone nani atakuwa mhanga ktk ishu hii, nyinyi madunduka suala hili haliwahusu ni wakati wenu sasa WA kujadili jinsi ya kupunguza magoli mtakapokwenda Casablanca Morocco nipo pale mtanishukuru
 
Una uhakika alikuwa akipatiwa hizo milioni nne!? Ulikuwa unashuhudia mkuu!?

Haina shida, sawa anapatiwa milioni nne haya sasa haitaji kuendelea kuitumikia klabu mbona sasa hamtaki kukaa mezani kuzungumza kuhusu kuvunja mkataba wake!

Yanga wengi ni wavivu wa kufikiri
Simba wengi ni wambea wa kuifuatilia Yanga na kusahau kuwa wana mechi kubwa na Raja
 
Kwanini swala hili TFF imeamua kulifanya siri haitaki kutoa mchanganuo wa kanuni zilizotumika kuhukumu pamoja na sheria aliyovunja Feisal kila mtu aone

Hiyo ndio hoja yangu mimi
Wala haijafanya Siri, isipokuwa wanafata Sheria na kanuni zao. Huwa wanatoa taarifa kwa imma, juu ya wito walioutoa kwa pande mbili zenye mgogoro, na baada ya kumaliza kikao, huwa wanatoa taarifa tena kwa umma juu ya hatma ya hicho kikao.

Taarifa in details na sababu ya wao kufikia hayo maamuzi, huwa pande zote mbili wanapatiwa kwa printed documents. Moja kati ya hizo pande mbili, ikiamua kuleak hizo taarifa, ni juu yao, swala linakuwa halipo TFF tena.

Kwahiyo mkuu, subiria document tareh 6
 
Habari wakuu,

Ni dhahiri kwa hali ilipofikia inaonyesha fika kuwa Yanga wameamua kutia aibu brand ya klabu na mashabiki wao kuijumla.

Hii ni kuhusiana na sakata la Feitoto
Kila dalili zinaonyesha kuwa Fei haitaki Yanga lakini Yanga wanaonyesha ung'ang'anizi wa hali ya juu kwa mchezaji huyo, jambo linalotafsiriwa kama ni aibu kwa klabu upande wa wadau mbalimbali wa soka.

Tayari taswira inaonyesha kuwa Fei ni mkubwa kuliko Yanga kwa vitendo vinavyoonyeshwa na Yanga. Kutokana na hili hata Mama Fei mwenyewe anashangaa kwa nini Yanga wamekuwa Sikio la kufa kwa mteja wake!.

THIS IS INSANE FOR THE CLUB!
Tukumbuke nyuma kidogo Simba SC ilivyoonyesha hadhi yake mbele ya wachezaji wake mahiri kama Singano Messi na Emmanuel Okwi kudhihilisha ukubwa wa klabu mbele yao.
THIS IS HOW MUST BE!

Okay tuachane na hayo tuje kwenye ukweli sasa, Kama Yanga wanatambua mchango wa Fei kwenye klabu yao, kwa nini wasitimize au kumpatia stahiki zake ikiwemo na vigezo vyake anavyohitaji!?

Karibu Tanzania nzima inafahamu ni jinsi gani Feisal Maestro alivyoipenda sana Yanga, kiasi cha dhahiri kudhihilisha kuwa Yanga ndio waliomkosea kijana wao kwani si rahisi Feisal kuibadilika Yanga kufikia hatua hiyo.

Ikumbukwe mchezo huu mchafu haujaanza leo kwa klabu ya Yanga kutaka kudhulumu stahiki za wachezaji wake, na mara kadhaa kesi hizi zimepelekwa TFF na ngazi zingine za juu, endapo ukiangazia sakata la Kakolanya na Morrison.

Itoshe kusema dharau kwa wachezaji wa ndani zikome kwani kinachoangaliwa ni kiwango na si utaifa. Pili, Yanga ijitathmini maana kuhonga kwenye ngazi za Uongozi haiwezi tosha mbele ya haki ya mtu!.

Naomba wachezaji mjifunze kwa hili ambalo YANGA wanafanya kwa wachezaji wa ndani. Kwa kweli inasikitisha sana.

View attachment 2535389
Uswahili wa namna hii ndio unatukwamisha. Lengo la mkataba ni pande zote zitekeleze kile walichoafikiana. Yanga wanasisitiza Feisal atekeleze sehemu yake ya mkataba, hawamng'ang'anii ila wanamkumbusha wajibu wake.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Tatizo watu wanajadili mihemko tu,mtu kasaini mkataba mwenyewe wa milioni 4.Katika hiyo milion 4 kaamua kula ugali na sukari,lawama zinaenda kwa Yanga. Kama aliona haitoshi kuna njia alipaswa kufuata kupata maslah zaidi. imetokea pale liverpool,Klopp anachukua wachezaji hawana majina wanasaini mikataba ya pesa kidogo baadae kabla mkataba haujaisha sababu ya mchango anaoonesha wanasaini mkataba mpya kuongeza miaka ya kukaa klabuni na mshahara unaongezeka.
 
Habari wakuu,

Ni dhahiri kwa hali ilipofikia inaonyesha fika kuwa Yanga wameamua kutia aibu brand ya klabu na mashabiki wao kuijumla.

Hii ni kuhusiana na sakata la Feitoto
Kila dalili zinaonyesha kuwa Fei haitaki Yanga lakini Yanga wanaonyesha ung'ang'anizi wa hali ya juu kwa mchezaji huyo, jambo linalotafsiriwa kama ni aibu kwa klabu upande wa wadau mbalimbali wa soka.

Tayari taswira inaonyesha kuwa Fei ni mkubwa kuliko Yanga kwa vitendo vinavyoonyeshwa na Yanga. Kutokana na hili hata Mama Fei mwenyewe anashangaa kwa nini Yanga wamekuwa Sikio la kufa kwa mteja wake!.

THIS IS INSANE FOR THE CLUB!
Tukumbuke nyuma kidogo Simba SC ilivyoonyesha hadhi yake mbele ya wachezaji wake mahiri kama Singano Messi na Emmanuel Okwi kudhihilisha ukubwa wa klabu mbele yao.
THIS IS HOW MUST BE!

Okay tuachane na hayo tuje kwenye ukweli sasa, Kama Yanga wanatambua mchango wa Fei kwenye klabu yao, kwa nini wasitimize au kumpatia stahiki zake ikiwemo na vigezo vyake anavyohitaji!?

Karibu Tanzania nzima inafahamu ni jinsi gani Feisal Maestro alivyoipenda sana Yanga, kiasi cha dhahiri kudhihilisha kuwa Yanga ndio waliomkosea kijana wao kwani si rahisi Feisal kuibadilika Yanga kufikia hatua hiyo.

Ikumbukwe mchezo huu mchafu haujaanza leo kwa klabu ya Yanga kutaka kudhulumu stahiki za wachezaji wake, na mara kadhaa kesi hizi zimepelekwa TFF na ngazi zingine za juu, endapo ukiangazia sakata la Kakolanya na Morrison.

Itoshe kusema dharau kwa wachezaji wa ndani zikome kwani kinachoangaliwa ni kiwango na si utaifa. Pili, Yanga ijitathmini maana kuhonga kwenye ngazi za Uongozi haiwezi tosha mbele ya haki ya mtu!.

Naomba wachezaji mjifunze kwa hili ambalo YANGA wanafanya kwa wachezaji wa ndani. Kwa kweli inasikitisha sana.

View attachment 2535389
Ninachokiona ni huyo kijana Fei anatiwa adabu. Awe na nidhamu ndani na nje ya kiwanja.

Ukweli ni kuwa kijana aliwatusi sana Yanga kuwatumbukizia vijisenti vyake kwenye akaunti yao kuwa eti anawalipa na kuvunja mkataba.

Tunamshauri awache kibri, aombe msamaha na kama snataka kuhama afate sheria na kanuni.

Fei alikosa washauri wa maana na ana kibri cha ujingaanaojazwa nao na mama'ke.

Nashangaa wstu hawaelewi kuwa biashara ya utumwa ipo na inaendekea kisheria duniani.
 
Wala haijafanya Siri, isipokuwa wanafata Sheria na kanuni zao. Huwa wanatoa taarifa kwa imma, juu ya wito walioutoa kwa pande mbili zenye mgogoro, na baada ya kumaliza kikao, huwa wanatoa taarifa tena kwa umma juu ya hatma ya hicho kikao.

Taarifa in details na sababu ya wao kufikia hayo maamuzi, huwa pande zote mbili wanapatiwa kwa printed documents. Moja kati ya hizo pande mbili, ikiamua kuleak hizo taarifa, ni juu yao, swala linakuwa halipo TFF tena.

Kwahiyo mkuu, subiria document tareh 6
Mnashindwa kuelewa hoja

Ulifatilia kesi ya Morrison?

Kama ulifatilia utaelewa nachomaanisha
 
Back
Top Bottom