Sakata la feitoto liishe tupumue

Sakata la feitoto liishe tupumue

Research Consultant

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2022
Posts
453
Reaction score
772
Nawasalimu kwa Jina la Sports, niende moja kwa moja kwenye Mada.

Imekuwa kero sana kila unapofungua social media yoyote ni FEITOTO FEITOTO tuna mpa kichwa Sana Yule chalii mwisho ajione bila yeye No Football Tanzania hii.

My Take: Vita aliyoipigania yanga ni kubwa Sana ni sahihi yeye kutafuta changamoto mpya.

Aende tu hana baya.
 
Nawasalimu kwa Jina la Sports

Niende moja kwa moja kwenye Mada.....
Imekuwa kero sana kila unapofungua social media yoyote ni FEITOTO FEITOTO tuna mpa kichwa Sana Yule chalii mwisho ajione bila yeye No Football Tanzania hii

My Take: Vita aliyoipigania yanga ni kubwa Sana ni sahihi yeye kutafuta changamoto mpya

Aende tu Aende tu hana baya
Sakata hilo MAKOLO ndo wamelishikia bango utadhani anahamia kwao..!! Ngada mbaya sana
 
Nawasalimu kwa Jina la Sports

Niende moja kwa moja kwenye Mada.....
Imekuwa kero sana kila unapofungua social media yoyote ni FEITOTO FEITOTO tuna mpa kichwa Sana Yule chalii mwisho ajione bila yeye No Football Tanzania hii

My Take: Vita aliyoipigania yanga ni kubwa Sana ni sahihi yeye kutafuta changamoto mpya

Aende tu Aende tu hana baya
Wewe ndio ulikuwa hupumui ama?
 
Si afuate taratibu aende, kwani kuna mtu kamzuia!?
 
Hata asipofata utaratibu Yanga wampe ruhusa tu aende
Yanga wanahusika vip nayeye amesha vunja mkataba na yupo huru!! Tunacho Subiri kuona ni iyo timu mpya anayokwenda.
Kwa mujibu wa baadhi ya wadau, Feitoto ametumia udhaifu wa mkataba wa Yanga katika baadhi ya vipengele.
 
Aende popote sawa tu
Yupo Huru now
 
Nawasalimu kwa Jina la Sports

Niende moja kwa moja kwenye Mada.....
Imekuwa kero sana kila unapofungua social media yoyote ni FEITOTO FEITOTO tuna mpa kichwa Sana Yule chalii mwisho ajione bila yeye No Football Tanzania hii

My Take: Vita aliyoipigania yanga ni kubwa Sana ni sahihi yeye kutafuta changamoto mpya

Aende tu Aende tu hana baya
Anaenda wapi?
Mbona hili jambo kama uzushi?
Azam wanakana kumsajili.
Yanga wanasema bado yupo hadi 2024
 
Anaenda wapi?
Mbona hili jambo kama uzushi?
Azam wanakana kumsajili.
Yanga wanasema bado yupo hadi 2024
Linakera hatar sema soon litaisha na itajulikana mbivu na mbichi
Sema za ndaaaani kabisa zinadai anaenda "UNYAMANI SIMBA"
 
Kuna baadhi ya mbumbumbu fc kama wamechanganyikiwa, wanasema Feisal yupo huru alafu baadae wanasema Yanga Wana mmbania, Sasa Wana mzuia vipi mchezaji ambaye amesema amevunja mkataba na Yanga na yupo huru?
 
Back
Top Bottom