Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Ndiyo kanuni na taratibu zinavyotaka?Hata asipofata utaratibu Yanga wampe ruhusa tu aende
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo kanuni na taratibu zinavyotaka?Hata asipofata utaratibu Yanga wampe ruhusa tu aende
Makolo wahedi inawachoma sana kuongelewa Feitoto wanataka nchi nzima tuongelee Phiri anaetembelea magongo! Goli la Fei CCM Kirumba dhidi ya Simba limemjengea kijana maadui wengi sana bongo!Umeandika mashudu
Bora ngada kuliko nyie wacheza kigodoro na kangamoko, wachafu sana nyie mazombieSakata hilo MAKOLO ndo wamelishikia bango utadhani anahamia kwao..!! Ngada mbaya sana
Yaani kabisaa leo unaisifia NGADA..!! Bwana SAGAI GALGANO leo wewe wa kuisifia ngada..!!! Ama kweli kipenda roho hula nyama mbichiBora ngada kuliko nyie wacheza kigodoro na kangamoko, wachafu sana nyie mazombie
Mla ngada na shoga nani ana nafuu? Ukweli ni kuwa nimekujibu sawa na upuuzi wakoYaani kabisaa leo unaisifia NGADA..!! Bwana SAGAI GALGANO leo wewe wa kuisifia ngada..!!! Ama kweli kipenda roho hula nyama mbichi