Sioni jipya kwa uongozi wa Yanga juu ya Feitoto kuendelea chezea Yanga. Huyu sio mchezaji wetu tena mimi ningefurahi kua Yanga wangesema tu tumeachana na fei tuangalie mbele mbona tupo vizuri na wachezaji wetu.
Fei juzi kachezea team ya visiwani hata kama friend match ila kavaa uzi mwekundu na nembo ingine. Pili ashaaga Yanga na alituaga mashabiki, tatu Fei ashasema rasmi kaanza majukumu yake mapya na leo amepasha mazoezi huko.
Je, kweli Yanga wanaumiliki au ni zile fix na jambo limeisha?