Sakata la Gambo na Mchengerwa angalau lilipaswa kuishia mikononi mwa CAG.

Sakata la Gambo na Mchengerwa angalau lilipaswa kuishia mikononi mwa CAG.

Zanzibar-ASP

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2013
Posts
12,151
Reaction score
44,120
Huwezi kutuhumiwa na hapo hapo ukajichunguza na kujihukumu. Gambo alitoa shutuma nzito za ubadhirifu dhidi ya wizara ya TAMISEMI, ilitosha kwa spika wa bunge kumuagiza CAG kwenda kupitia matumizi ya pesa za ujenzi uliotuhumiwa na ripoti yake kujadiliwa bungeni, mwisho wa siku mbichi na mbivu kujulikana.
 
Back
Top Bottom