Sakata la Kagoma,Yanga walikiuka marufuku ya FIFA kusajili na wakamsainisha mkataba kinyume na marufuku hiyo

Mbona ishu ipo wazi. Yanga waliingia mkataba wa swali na club then wakampa kishika uchumba kagoma. Yanga hawakutimiza ahadi yao kwa wakati kwa club ndipo Simba walipoingilia kati na kuingia mkataba mazima na club na mchezaji. Then club ikarelease leseni, tff wakaiapprove, Case closed. Na vyovyote itakavokuwa Simba hadhuriki kwa chochote hapo
Ipo wazi kivipi?
Wewe uliona pre-contract agreement?
Ilianza lini na iliisha lini?
Ili-cover mambo gani? Na katika hayo yapi yalitimizwa na yapi hayajatimizwa?
Simba waliweka hela kabla au baada ya pre contract agreement kuisha muda wake?
Kuna kesi ya kujibu kama Yanga wakiamua kukomaa.
 
Ninaomba hawa yanga waweke wazi ni lini walimsainisha Kagoma halafu watu waone muhuni ni nani.
Hawa viongozi wanahisi FIFA ni bodi ya ligi ya Tanzania
Umeshasema Yanga walikiuka marufuku ukiwa na uhakika kuwa hilo lilitokea. Unataka mkataba wa nini wakili msomi wakati tayari una ushahidi?
 
Ujinga nao ni mzigo mkubwa sana. Mwenyewe unaona cha maana ulichoandika wakati upo op vibaya mno
Umbambie mwenzio aliye andika huu ujinga,unazani FIFA kijiwe cha kahawa, labda inawezekana mnafanana level ya ujinga wenu ipo sawa, ila FIFA hawana huo upuuzi.
 
Kwani mpaka kagoma anazuiwa kutumiwa na Simba mnafikiri Ile kamati ya hadhi za wachezaji awakuona tatizo? Kama Simba ni wanaume basi wamtumie tuone kama wanao ubavu, kamati kumzuia lazima waliona Kuna shida na inasemekana alifanya double signing,
Kama kagoma akufanya ivyo kamati ingemruhusu aendelee kucheza Simba Wala kusingekuwa na hizi kelele! Inaonekana yanga wanajua wanachokifanya na mchezaji anajua alipokosea!
 
Ipo wazi kivipi?
Wewe uliona pre-contract agreement?
Ilianza lini na iliisha lini?
Ili-cover mambo gani? Na katika hayo yapi yalitimizwa na yapi hayajatimizwa?
Simba waliweka hela kabla au baada ya pre contract agreement kuisha muda wake?
Kuna kesi ya kujibu kama Yanga wakiamua kukomaa.
Tulieni dawa iwaingie . Safari hii ni ubaya ubwela tu. Kagoma atacheza simba , na simba hawatakatwa pointi yoyote.

Kwa hayo mengine endeleeni kujifurahisha.Kifuatacho ni aibu kwenu utopolo.
 
Kwani mpaka kagoma anazuiwa kutumiwa na Simba mnafikiri Ile kamati ya hadhi za wachezaji awakuona tatizo? Kama Simba ni wanaume basi wamtumie tuone kama wanao ubavu, kamati kumzuia lazima waliona Kuna shida na inasemekana alifanya double signing,
Kama kagoma akufanya ivyo kamati ingemruhusu aendelee kucheza Simba Wala kusingekuwa na hizi kelele! Inaonekana yanga wanajua wanachokifanya na mchezaji anajua alipokosea!
Kagoma amezuiwa lini kucheza Simba?
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Ipo wazi kivipi?
Wewe uliona pre-contract agreement?
Ilianza lini na iliisha lini?
Ili-cover mambo gani? Na katika hayo yapi yalitimizwa na yapi hayajatimizwa?
Simba waliweka hela kabla au baada ya pre contract agreement kuisha muda wake?
Kuna kesi ya kujibu kama Yanga wakiamua kukomaa.
Wewe ndio hujui. Simba hana kesi ya kujibu hapo. Simba ilimalizana na club, wakati Yanga walimalizana na mchezaji wakati hakuwa free agent. Ndio mana Yusufu amecheza Simba na atacheza Simba coz ana leseni ya kuchezea Simba. Hapo kama kesi ni kati ya Yanga, singida fountain gate na mchezaji. What ever the judgement Simba will not get get punished
 
Yanga wana nongwa, hapo nia ni kumkomoa na kumvuruga kisaikolojia ili mpira umshinde mwisho wa siku wamcheke.

Simba wamwambie akae mbali na hiyo drama wanayoitengeneza afocus na mpira.
Yanga ndio walimwambia afanye double singing?
 
Wewe ndio hujui. Simba hana kesi ya kujibu hapo. Simba ilimalizana na club, wakati Yanga walimalizana na mchezaji wakati hakuwa free agent. Ndio mana Yusufu amecheza Simba na atacheza Simba coz ana leseni ya kuchezea Simba. Hapo kama kesi ni kati ya Yanga, singida fountain gate na mchezaji. What ever the judgement Simba will not get get punished
Unaweza ukawa siyo free agent, na Bado ukaingia pre contract agreement na timu. Ili miradi usibakize zaidi ya miezi sita.

Pia,timu inaweza ikatumia release clause ikaongea na wamiliki wako pia katika kipindi hicho.

Ukiwa na pre contract agreement na ikawa haijafika deadline na ukatimiziwa baadhi ya vipengele na ukavikubali, utakuwa umebanwa na mauzo yako yeyote yake yatakuwa batili, labda kama mtakubaliana kuvunja agreement.
Uwezekano wa Simba kuadhibiwa ni mdogo sana na ni kama haupo lakini Kuna KESI ya kujibu kwa pande zingine mbili hasa ya mchezaji.
Simba atakuwa liable kama tu iwapo itathibitishwa alikuwa anajua Kuna mkataba wa awali.
 
Wewe ndio hujui. Simba hana kesi ya kujibu hapo. Simba ilimalizana na club, wakati Yanga walimalizana na mchezaji wakati hakuwa free agent. Ndio mana Yusufu amecheza Simba na atacheza Simba coz ana leseni ya kuchezea Simba. Hapo kama kesi ni kati ya Yanga, singida fountain gate na mchezaji. What ever the judgement Simba will not get get punished
Ushaambiwa pre contract
Ilikuwa iishe tarehe 30/7
Kabla ya muda huo kagoma katambulishwa Simba
Sasa ulitaka Yanga wamalizie makubaliano Gani na mchezaji ashavaa jezi ya Simba.
 
Wacha upuuzi wako. Pre contract inakuwa ni kati ya mchezaji na club, hakuna pre contract kati ya timu na timu kama taasisi kwenye futboli. Na Tena pre contract btn club na mchezaji works better kamachezaji anategemewa kuwa free agent. So Yanga walimalizana na mchezaji huku mchezaji akiwa Mali ya sfg.
 
Huna akili
Nakupuuza
 
Back
Top Bottom