Sakata la kanisa linalopiga muziki kutwa kucha Tabora labainika kutokuwa na kibali, lapewa notisi. Kigogo wa Wilayani ahongwa ahaha kulifungulia

Sakata la kanisa linalopiga muziki kutwa kucha Tabora labainika kutokuwa na kibali, lapewa notisi. Kigogo wa Wilayani ahongwa ahaha kulifungulia

Tushaagiza drum mpya...andaa masikio yako....
Injili lazima isongr mbele
 
Tushaagiza drum mpya...andaa masikio yako....
Injili lazima isongr mbele
Sisi kwenye mtaa wetu huu upuuzi hatutaki , watu wasali kwa staha tunawakaribisha , lakini wajasilia kanisa , wapiga kelele zisizo na kichwa wala miguu hakuna ndugu .
 
Huyo Kigogo aliyepewa rushwa kazi kwake ajitwike dhamana kwa lolote litakalotokea period .
 
Haujauguliwa , haujaugua wewe mwenyewe halafu ukumbane kadhia ya muziki wa walokole na mahubiri ya sauti kubwa sana ndio utajua ninachokizungumza hapa .
Wewe unasumbuka na misukule ulioifuga ndani kwako. Sasa maombi yanatesa misukule yako ndani. Mara uite watu wa Hilo kanisa wapuuzi aisaidii. Hapo Mcha Mungu wa kweli yeyote akija awe Mkristo au Mwislamu akiwa anaomba lazima utamchukia sababu ya kusumbua misukule yako ndani.
 
Sisi kwenye mtaa wetu huu upuuzi hatutaki , watu wasali kwa staha tunawakaribisha , lakini wajasilia kanisa , wapiga kelele zisizo na kichwa wala miguu hakuna ndugu .
Unaita watu wapuuzi. toa misukule ndani kwako.
 
Wewe ndio mpuuzi na mjinga sana sheria zipo na zinatakiwa kufuatwa , kuwa mlokole sio lazima uwe mpumbavu wa akili ? Kuna adhana inayozidi dakika tano ? Acha ujinga , andika vitu logic hivi kila mtu akipiga kelele kubwa sana masaa 24 nchi hii itakuwa na amani ? Tumia akili hata za mbuzi kuvukia barabara . Watu tuna wagonjwa weweunashangilia ujinga .
We ni Mpuuzi hakuna kanisa linapiga kelele masaa 24. Hiyo misukule ulioiweka ndani ndiyo ikisikia maombi inakutesa.
 
Kanisa hatarishi kwa amani ya mkoa wa Tabora , kanisa la Bethel Ali maarufu kanisa la maturubai likiongozwa na genge la wahuni .
Usiite watumishi wa Mungu kuwa wahuni, Bwana wa majeshi atakushughulikia!
 
Huyo Kigogo aliyepewa rushwa kazi kwake ajitwike dhamana kwa lolote litakalotokea period .
Tafuta hela tu utaishi kweny nyumba ya ukoo mpaka lini?kanisa haliwez kufungwa na mganga wa kienyeji hata ck moja..sisi tunaendelea kuchap injil kama kawa..
 
Hili lazima tufaham JF, mleta mada ni mganga wa kienyeji, kama siyo basi atakuw anafuga misukule kama siyo basi ni wivu, au ni mtu wa dini nyingn au kichaa ametoka milembe juzi...tutapoteza mda wetu bure tu..
 
Ungewafuata na kuwaambia wapunguze sauti.

Lakini Walokole nao kiboko utasema Mungu wao ni kiziwi.
 
Kwa idadi ya nyuzi ulizowahi kuanzisha hapa juu ya hili kanisa, malalamiko yako yanakosa mashiko
 
Attachments

  • Screenshot_20230108-014516.jpg
    Screenshot_20230108-014516.jpg
    113.1 KB · Views: 3
Back
Top Bottom