Sakata la Kashfa ya Richmond: The Facts


Mr Justice! This is what we are truggling about in order to stop it!! If you could have listened to the MPs contributing in the parliament yesterday, they were all saying!! ENOUGH IS ENOUGH'' SASA BASIIIIIIIIIIIII!!

festog
 
Now what about IPTL + Richmond, what does it add up to?

It's sickening, I am seriously disgusted by these people, do they have a F%^&ing concious.

Resigning is not enough. THROW THEM IN JAIL!!!!!!
 
Je haya mambo yalianza zamani ktk mchakato wa mipango ya kifisadi? let us see this one below. can anyone with vivid evidence to clarify the existance of RDC working in Tanzania during year 2003?????
shame on you Lowasa
 
je haya mambo yalianza zamani ktk mchakato wa mipango ya kifisadi? let us see this one below. can anyone with vivid evidence to clarify the existance of RDC working in Tanzania during year 2003?????


then you want me to believe these are genuine inhabitat?
shame on you Lowasa
 
Wakati tume ya Mwakyembe ilipopewa kazi ya kuchunguza richmond watanzania wengi hakutegemea kama wangeweza kufanya kazi hii. Wengi waliona kama na wao watapewa rushwa wafunge midomo yao. Lakini mungu ni mkubwa wametuonyesha watanzania walio wengi kwamba kuna watu wenye uchungu na nchi hii.

Ni jambo la kushangaza sana hata baada ya mambo haya yote kuwekwa wazi kuna watu wengine wananchi tena wale wanavuja jasho kila kukicha kuweza kufikia siku ijayo wanaamani kwamba lowasa hajahusika kwa njia yeyote katika haya mambo, wengine wanaamini wapinzani wanajitafutia umaarufu tu hakuna cha maana wanachofanya

Mimi najiuliza watu wanataka waelezwe nini ndio waelewe maovu yanayofanyika na viongozi walio wengi!!!!! tufungue macho na akili ikiwezekana na mioyo yetu tusikatae kupata mabadiliko bila hivyo hatutafika popote.
 
Kwanza nianza hivi: Fisadi wa kwanza ni WAFADHILI:

Kama unampa mtoto wako hela za matumizi zinzomzidi..mpaka akazitumia kujiharibu..kujimabukiz amagonjwa..etc..marafiki zako wanakuonya kuwa pesa unazompa mtoto zinamharibu...zipunguze..just 20% zingemtosha...but bado unamuongezea tu! mtu mwenye akili angejua kuwa you simply dont love your child unataka kumua.....etc

Wafadhili wanaipa Tanzania hela ...hawaitakii mema hata kidogo...wafadhili wa Tz ni wabaya kuliko Lowasa kwa mara nyingi tu!!.Wanatupa hela za nini? Ni kweli hatuna hela? hayo mamilioni tunayochezia..alafu tunapewa misaada kila siku ..hawa wafadhili wana agenda ya kutumaliza..hela zinazoingia "richa wa monduli" mpaka sasa zingetosha wizara karibu tatu kama nabdget ya mwaka...ninasema mafisadi wa kweli ni hawa wanaotupa misaada huku wakijua kuwa hatuna shida ya pesa..hizo za hapo bank kuu zenyewe..zingetosha..karibu miaka mingapi na nyingine tusizozijua??...Ni mtu asiyetupenda anaye endelea kutupa misaada ya fedha nk

....I tell what?

Tuandamaneni kukataa misaada ya wafadhili...maana hayo ndio mapambano ya kweli ya ufisadi ndani ya nchi yetu...hii itatupa uchungu wa kutafuta hela walizoiba mafisadi wa Tz

Lazima tuwafanyie wafadhili wetu kile tulichomfanyia Lowasa and the company tuwapinge na kuwakataa kwani wao ni mafisadi zaidi kukutuharibu na ktufanya magoigoi nk..

Vingine vyote ni danganya toto, tutakuwa bado tunacheza..na wakilisha...
 
WAKAMPELEKA KWA SPIKA WAKAMUULIZA 'JE WEWE NI NDIO RICHMOND?', HAKUJIBU NENO. SPIKA AKAOMBA MUONGOZO NDIPO LOWASA AKASEMA NAJIUZULU. WABUNGE WAKAPIGA KELELE WAKISEMA 'ASULUBIWEEE'. SPIKA AKASEMA MPELEKENI CHIMWAGA, HATA YAPATA SAA KUMI NA MOJA WAKAMSULUBISHA LOWASA, UPANDE WA MKONO WAKE WA KUUME ALIKUWEPO KARAMAGI NA KUSHOTO MSABAHA. KARAMAGI AKAMGEUKIA LOWASA AKAMWAMBIA 'UMEFANYA USANII MWINGI SANA, SASA JIOKOE KWA MABILIONI YA WIZI ULIYOJIKUSANYIA', MSABAHA AKAMWAMBIA 'LOWASA NAOMBA NILETE FAMILIA YANGU KWAKO KWA KUWA NI WEWE NDIO UMENIPONZA'
 
Pazia la BUNGE likafunguliwa, Lowasa akalia kwa Sauti, JK,JK mbona unanitosa, kisha akautema Uwaziri Mkuu. Mara tetemeko kuu likaikumba nchi na Bunge, Wadanganyika wakasema ama kweli huyu alikuwa ndiyo FISADI MKUU.
 
Fisadi mkuu akazikwa na kusahaulika. Na siku ya tatu Mizengo Pinda akafufuka kutoka kusikojulikana akapaa mpaka kwenye U-PM.
 
Salute to all JF members who wants better things to happen in Tanzania.

Onyo to all who come here and think they can derail the momentum of change on this Forum. I'm on the sideline watching with my kurunzi; So don't think I've gone. We warned EL he never listened, we will continue to warn JK and his mafioso and the end will be of tears to all of them.


SALUTE AGAIN TO ALL GENUINE JF MEMBERS. ARE YOU GENUINE? ASK YOURSELF.
 
Hawa jamaa sijui walikuwa wapi siku zote hizi? hii nimeikuta kwenye site ya International Herald tribune.


Herald Tribune
 
Hawana mpya hawa...
 
Tukitaka kuung'oa mzizi wa ufisadi ni kufuatilia kwa makini uhujumu huu. Kikwete angetaka kufanya kweli, nafasi yake ni hii hapa sasa. Yaani hii inajionyesha wazi ilivyo rahisi kuifuatilia kwa kila kona iliyopinda.

Vinginevyo, tutajua mambo ni yale yale ya funika twende.
 
Kuna siri kubwa hapo, Let's assume walitumia Jina la Richmond through Gire but deal ni ya mafisadi wetu wa hapa hapa kwetu, think about that!!!!
 
eheee kijogooo wetu wazo lipi?

Hawa Richmond wana matatizo ya kufikiri.

Wakawadanganye hao hao wageni kwamba hawajalipwa. Watueleze wazi, nini walipewa kuhamisha mkataba kwenda Dowans? Waliuza 'deal' bure bure?

Waulizwe vizuri kwanini wamefanya utapeli kuanzia kwenye tovuti yao mpaka kwenye nyaraka za usajili?

Hawajui kwamba wanakosa la jinai la kughushi nyaraka na kutoa taarifa za uwongo wa lengo la kujipatia mapato isivyo halali ambayo kwa lugha ya moja kwa moja ni WIZI?

Serikali inasubiri nini kuchukua hatua za kisheria? Ama mpaka wabunge watoe maelekezo alhamisi?

JJ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…