Nikifufukammekwisha
JF-Expert Member
- Aug 17, 2007
- 260
- 6
Rais wetu majuzi kaagiza wananchi na wanasiasa waache kuwa wachunguzi na watoa hukumu, na kwa nguvu zake zote akatuagiza kuwa tuachie vyombo husika (PCCB ikiwemo) vifanye kazi zao.
Baada ya kusoma habari hii, ninahisi kwamba kwa kusikiliza ushauri wake ninaweza nikawa voluntarily ninajiweka katika situation ya kuruhusu kuendelea kudanganywa kifikra... Mimi binafsi nafikiri kufanya hivyo itakua ni kosa kubwa.
Kwa kutumia reference ya habari ya leo mimi nafikiri kwamba PCCB ni chombo cha kuendeleza propaganda za kuendeleza umaskini wa kifikra na kijamii kwa Wadanganyika... Ninafikiri kuna haja kubwa sana ya kuishitaki PCCB na mkuu wao (Hosea) kwa kudanganya serikali na wananchi. Yeye kama kiongozi wa PCCB, Mtanzania na mwanasheria wa kuheshimika hapaswi kukiuka maadili ya kiapo chake cha uanasheria, kiapo cha kuitumikia jamii kwa uaminifu, pamoja na kukiuka maadili na heshima ya utu wake. This is CRAP...