Sakata la kifo cha katibu wa Masanja na kile alichotuachia

Ishu ya uwepo wa mgegedano ni kuziowanisha message tu za wahusika. Ukizitrap tu unapata jibu. Sms za uzinzi zinafahamika.
 
Huyo dogo kama alitembea na mke Wa watu hayo ndio malipo yake mshahara Wa dhambi ni mauti.
 
Eti mama D, hili jambo lina ukweli! Au niendelee kufanya utafiti! Mimi siku zote nimekuwa nawaamini wanawake eti!!

Naomba majibu tafadhali. Maana Katibu ametuamsha akili.
 
Eti mama D, hili jambo lina ukweli! Au niendelee kufanya utafiti! Mimi siku zote nimekuwa nawaamini wanawake eti!!

Naomba majibu tafadhali. Maana Katibu ametuamsha akili.

Tate Mkuu wewe unaamini wanawake sababu una neema ya kuweka misingi ya kuwa na mwanamke sahihi na kuwa mwanaume sahihi kabla hata ya kuingia kwenye mahusiano.

Hongera kwa kuwa mwanaume mwenye upendo na wa kuheshimiwa
 
Tate Mkuu wewe unaamini wanawake sababu una neema ya kuweka misingi ya kuwa na mwanamke sahihi na kuwa mwanaume sahihi kabla hata ya kuingia kwenye mahusiano.

Hongera kwa kuwa mwanaume mwenye upendo na wa kuheshimiwa
What a wife material! 🌹
 
Hapo kuna nchi niliishi zamani yaani kifo cha hivyo wengi wangekuwa jela halafu anatoka mmoja mmoja anapojulikuna ni mkweli
Nakumbuka kuna dogo alifariki katika nyumba ya kupanga ghafla
Wakaita ambulance walipofika wakauliza kapatwa na nini wakasema hatujui kaanguka tu
Simu ilipigwa wakaja police vijana 6 wakaswekwa ndani huku wanamlilia mwenzao

Baada ya majibu kutoka kuwa ni shinikizo la damu ndio wakaachiliwa wote

Badala ya wao police kukumbilia press wafanye kazi zao waache kujionyesha kwenye TV huu ni ushamba
Njoo na Habari kamili baada ya uchunguzi sio nusu nusu ooh uchunguzi bado unaendelea
Si umalize kwanza haraka ya nini au kwa sababu Masanja ametrend

Huyu Masanja na mke wake na mke wa jamaa wote walikuwa wahojiwe sana kwa namna zote wanazojua kuhoji
 
Huku Tz ni ccm kwanza utu baadae.
Masanja mtu wao
 
Mi napinga,
Unaposema mapenzi lazima kuchunguzana..

Unapomchunguza sana ni kama unataka umkamate na tatizo,halafu?
Mwachane sio?
Mwanadam hachungwi,ukimchunga ndio unazidi kumpa umakini wa kufanya matukio yake.
Hata kama utamchunguza bhasi fanya kwa kiasi.
Hakuna mwanamke wa pekeyako,
Usiikaraishe nafsi yako.
 
Umemaliza naiomba inbox private kamanda, hii nondo Kali na umetema cheche zote za kijanja za msingi na elimu kubwa
 
Jeshini ukikamatwa Kwa usaliti, swali la Kwanza utakaloulizwa ni kuwa unashirikiana na Nani?
Hilo ndio swali muhimu kuliko.

Haiwezekani Msaliti akafanya kazi pekeake bila kuwa na mshirika. Mpaka usaliti ukomae lazima Iwe chain ya kutosha.
Na baada ya hapo unamalizwa mwendo
 
Baada ya hapo tunatangaza matanga
Inafikirisha pia.

Kikubwa kila nafsi itqpitia mlango wa kifo so long as imepitia mlango wa kuzaliwa.

Heriel. Hili suala kifasihi andishi lipoje? I mean mlango unqpuingilia siyo unaoutokea. Ni kama vile chakula unakipitisha mdomoni kisha survival remains zokea mlango usioruhusiwa kuingiza.

Najiuliza kwa nini kifo ni adhabu basi wakati hakuna atakayeishi milele?

Tupo kwenye matanga ya kijana anayebrandiwa kuwa ni wa HOVYO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…