Hata shetani mwenyewe hawaamini! Mimi ni nani hata niwaaminiNani anaweza kuwaamini Polisi wa Tanzania?
Uhai wa binadamu ndio kitu muhimu kuliko yote na Katiba ya Nchi imeliweka bayana. Kila Kiongozi anayeapa cha kwanza ni kulinda uhai. Sasa sijui huu utekaji umelenga kulinda vipi uhai?Katika siasa kuna machakaramu na vichaa.
Huko Marekani mtu kamkosakosa Trump.
Nchi zenye demokrasia pevu mwanasiasa kutupiwa yai viza kitu cha kawaida.
Lakini yote yachukuliwe kwa uzito wake.
Kuna kijana Mbeya alichoma picha ya Rais Samia, akahukumiwa kifungo au faini ya milioni 5.
Wassmaria wakiona huyu nimtu asiyejielewa wakamhurumia na kampeni ikapigwa faini ikalipwa.
Tetesi ambazo hajijathibithishwa ni kwamba huyo kijana alipotea na haijulikani kama yuko hai au mfu.
Swala la kumpoteza huyo kujana haliisaidii CCM.wala mama Samia.
Sana sana litaibua chuki dhidi ya utawala.
Mimi ni kada wa CCM lakini kama kuna kitu kinaweza kuwaunganisha tena kwa nguvu kubwa wananchi wa mkoa wa Mbeya ni msombolezo ya kifo cha dhuluma.
Hili lichukuliwe kama angalizo tu na ni vema serikali ikaliweka sawa.
Nyie makada ongeeni na wenzenu uko.Katika siasa kuna machakaramu na vichaa.
Huko Marekani mtu kamkosakosa Trump.
Nchi zenye demokrasia pevu mwanasiasa kutupiwa yai viza kitu cha kawaida.
Lakini yote yachukuliwe kwa uzito wake.
Kuna kijana Mbeya alichoma picha ya Rais Samia, akahukumiwa kifungo au faini ya milioni 5.
Wassmaria wakiona huyu nimtu asiyejielewa wakamhurumia na kampeni ikapigwa faini ikalipwa.
Tetesi ambazo hajijathibithishwa ni kwamba huyo kijana alipotea na haijulikani kama yuko hai au mfu.
Swala la kumpoteza huyo kujana haliisaidii CCM.wala mama Samia.
Sana sana litaibua chuki dhidi ya utawala.
Mimi ni kada wa CCM lakini kama kuna kitu kinaweza kuwaunganisha tena kwa nguvu kubwa wananchi wa mkoa wa Mbeya ni msombolezo ya kifo cha dhuluma.
Hili lichukuliwe kama angalizo tu na ni vema serikali ikaliweka sawa.
Boss waoNani anaweza kuwaamini Polisi wa Tanzania?
RPC KUZAGA, damu ya mtu haipotei bure mtakufa wooote familia zenu zile hasara kiss kumtetea MAMA ABDUL ambaye yupo zake Chamwino au Magogoni ANAKULA BATA. HAO waking wakiweka tego mnaondoka wote. Huyo mtoto Hana hatia faini alishalipa mnataka kumuua kwa FAIDA gani?!
Uhai wa binadamu ndio kitu muhimu kuliko yote na Katiba ya Nchi imeliweka bayana. Kila Kiongozi anayeapa cha kwanza ni kulinda uhai. Sasa sijui huu utekaji umelenga kulinda vipi uhai?
Hata shetani mwenyewe hawaamini! Mimi ni nani hata niwaamini