Sakata la Kipa Mbrazili Simba SC limeharibu taswira ya Simba Day

Sakata la Kipa Mbrazili Simba SC limeharibu taswira ya Simba Day

Stori inayofichwa Kolokoloni ni kuwa kipa Huyu tayari kaumia mazoezini day one aliruka vibaya akaangukia mkono na kwamba atakuwa majeruhi miezi mitatu anakula mshahara wa Mo Bure!
Kweli Simba mapimbi sana! Mbumbumbu fc!
Ukweli kuhusu kipa kanuni za TFF haruhusiwi kucheza ligi kuu Tanzania, kule kwa ametoka ligi daraja la nne., usisikilize porojo, wazee wa ten percent wameshavuta chao kesho utawaona kwa Mkapa walivyo na tabasamu.
 
Kuelekea Simba Day tar 6/08, viongozi wa Simba SC wanakuna vichwa namna gani watapata kipa Bora na mwenye uwezo wa kumfunika Aish Manula au angalau amfikie hata kwa asilimia 75%.

Viongozi wanalaumiana na kutupiana maneno kuhusu Kipa Mbrazil kuletwa kikosini wakati hana sifa.

Kuna tetesi Mo Dewji anataka kumtimua kijana aliyeajiliwa kama Head of Scouting maana hakuna alichokifanya katika usajili huu bali anatumika na walanguzi (wapiga dili).

Suala la Kipa Mbrazil Robertinho katumika kama ngazi lakini kuna kundi la watu wachache linategemea kupiga hela za Simba SC na kundi hilo liliamua kumtumia Robertinho kama alivyotumika Mark Zolan kumleta Derjan (Mzungu) na walanguzi walipiga pesa.

NALIA NGWENA kutoka kwenye vyanzo vyangu vya ndani kabisa kiwango kibovu cha Mbrazil kinawanyima usingizi viongozi wa Simba SC na wanajitahidi sana kutafuta kipa mbadala.

Je, kipa atakayetangazwa Simba Day atakua ni wa viwango Kama Aish Manula au tutegemee ya Mbrazil an Derjan "Mlete Mzungu"?
Unateseka ukiwa wapi ,
 
Alooo
 
Tiketi hazijaisha, wajanja wanataka kulanguwa kesho, kuna ticket zaidi ya 25,000/= bado hazijauzwa.

Kwa hili wapenzi wa Simba wanaokwendaga uwanjani kila mechi hawajatendewa haki, wengi hawana tiketi.

Tuukemee huu uhuni katika soka letu, naandika haya bila kuegemea ushabiki.

Niliweka Uzi humu kushauri viingilio viwe bei nafuu, uongozi wa Simba wakalifanyia kazi badala yake sasa wapenzi na mashabiki wa mpira ndio wanahujumiwa.
tiketi zinauzwa online hizo zilizobaki unanunua Kwa system gani
 
Huyo mayele mnae mlilia alishindwa kupenya mbele ya aliy salim, tena simba ikiwa na beki ajuza mzee 0nyang, vepe kwa beki hii ya malone na inonga huku mbele yao kuna ngoma na kanute hao kina musondo na kunguni watafurukuta kweli mwana utombile?
Kweli wewe ni magambo aisee
Unataka kumzungumzia Fistoni kalala Mayele kwa Hilo shati lililo manuliwa na prince Dube kweupeeeee

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom