Sakata la Kipa Mbrazili Simba SC limeharibu taswira ya Simba Day

Stori inayofichwa Kolokoloni ni kuwa kipa Huyu tayari kaumia mazoezini day one aliruka vibaya akaangukia mkono na kwamba atakuwa majeruhi miezi mitatu anakula mshahara wa Mo Bure!
Kweli Simba mapimbi sana! Mbumbumbu fc!
Ukweli kuhusu kipa kanuni za TFF haruhusiwi kucheza ligi kuu Tanzania, kule kwa ametoka ligi daraja la nne., usisikilize porojo, wazee wa ten percent wameshavuta chao kesho utawaona kwa Mkapa walivyo na tabasamu.
 
Unateseka ukiwa wapi ,
 
Alooo
 
tiketi zinauzwa online hizo zilizobaki unanunua Kwa system gani
 
Huyo mayele mnae mlilia alishindwa kupenya mbele ya aliy salim, tena simba ikiwa na beki ajuza mzee 0nyang, vepe kwa beki hii ya malone na inonga huku mbele yao kuna ngoma na kanute hao kina musondo na kunguni watafurukuta kweli mwana utombile?
Kweli wewe ni magambo aisee
Unataka kumzungumzia Fistoni kalala Mayele kwa Hilo shati lililo manuliwa na prince Dube kweupeeeee

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…