binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Ananunua hadi thread JF [emoji38] [emoji38] [emoji38]Huyo Diamond ni tajiri sana ananunua shangwe kwenye show, anawanunua mashabiki wenyewe [emoji57][emoji57][emoji57] ananunua viewers youtube, ananunua followers instagram, ananunua vyombo vya habari vya kimataifa na local vyote ananunua [emoji13][emoji13] ananunua support kutoka kwa wasanii wenzake wa kimataifa, ananunua! Ananunua! Ananunua!
Yeye Diamond ataweza kuthibitisha kuwa Ommy anapumuliwa?Mi nafikiri wanaosema Diamond ananunua views watuthibitishie hilo pasina kuacha shaka. Otherwise acheni kelele.
Umejibu swali au?Yeye Diamond ataweza kuthibitisha kuwa Ommy anapumuliwa?
Hahahaha yaan ni sheeda nimekumiss binamhahahahaha na Diamond amemnunua muwakilishi wa You tube.
Nauliza.Umejibu swali au?
kuna mwanaume hapo nimemwona kajizoesha pozi la stali ya kukonyeza na kukunja mdomo kama mtu anayesikilizia utamu wa bazoka, shame huu ni ubwabwa pumbaavWanajamvi wasalaam,
Baada ya Ommary Nyemo kumtuhumu wazi wazi Nassibu Abduli kuwa ana nunua views na tunzo bila kuwa na uthibitisho na bila aibu Ommary Nyemo ili kuwathibitishia watu kuwa kuwa watu hununua views alisema kuwa hata yeye aliwai kutaka kununua...
Lakini kabla ya hayo tuhuma hizo dhidi ya Nasibu Abduli zilikuwa zinatolewa kwa uwoga na msanii Ali salehe lakini wengi wafatiliaji walikuwa wanaelewa kuwa anaye tuhumiwa ni Nasibu Abduli..pamoja na hayo yote msanii Ali Salehe kwakuwa huwa anaogopa kumsema wazi Nasibu Abdul hivyo akaona ni vyema aanze kumtumia Ommary Nyemo kumshambulia na kumtuhumu Nasibu Abduli....
Wanasema uongo ukiongelewa sana bila kukanushwa au kutolewa ufafanuzi hugeuka kuwa ukweli na wale wsiojua ndio huamini kabisa ni kweli.
Leo Clouds Fm waliamua kumtafuta muwakilishi wa You tube East Africa kumuuliza kama kweli watu wanaweza kununua views au viewers na wao wasigundue na kuchukua hatua..
Kwanza Mwakilishi yule aliweka wazi kabisa wao hapa East Afrika wanasimamia na ku control you tube channel za wasanii baadhi East Africa na kwa Tanzania wanasimamia Channel za kina AY,Mwana FA, wasanii wa wasafi wote na Alikiba.
Mwakilishi huyo aliendelea kufafanua kuwa ni vigumu mtu kununua viewers you tube na wasigundue na kuwaondoa na akaendelea kusema You tube ina wataalam wabobezi sana na wanajua kuna watu wanaweza fanya hivyo na hivyo wamejidhatiti sana kumfumo.
Aliendelea kusema kuwa kama ukinunua views wanafungia account yako na hutoweza kufungua account yeyote ile google na gmail account wanaifunga na alisema kuwa kamwe hawawezi kumruhusu mtu kununua views halafu waje kumlipa na haiwezekani.
Alipo ulizwa kuhusu Diamond kununua views alisema hakuna kitu kama hicho na hawewezi kuruhusu mtu anunue views halafu waje kumlipa na kamwe hawatoruhusu hilo hivyo habari hizo si kweli.
Hivyo mwakilishi wa You tube amehitimisha tuhuma na kufunga mjadala mzima juu ya ununuaji wa viewers na ni wazi habari hizi zimewavua nguo marafiki wa karibu sana Ommary Nyemo na Ali Salehe.
Ni ukweli ulio wazi Omary Nyemo na rafiki yake wa karibu sana Ali Salehe wanapaswa kujitokeza hadharani nakumuomba radhi Bwana Nasibu Abdul.
Karibuni wana jamvi..
Chanzo: Clouds Fm
Ungesoma finance /investment usingejibu kiboya hiviusipo wauliza you tube unataka waulizwe wakina nani? You tube hawawezi kukuruhus ununue views halafu wao wakulipe hela...unatumia kichwa? kwanza umesoma kilicho andikwa?
Kwa akili yako ndogo ulitaka aseme alikuwa anamlenga domo kama hujui kusema ata picha tu huoni..???Ebhu achen unafki bhna mbna kwnye interview alkataa ommy kwamba akumaanisha ni chibu,
Infact youtube nao ni wafanya biashara hawawezi kukubali iyo ishu ili waonekane hawako vzr kwny securing website yao....
Kwan hamna hackers wanao hack seem ambazo very tight kweny security?
Iyo kitu inaweza ikawepo ila watu wakaiminya tuuu
Machiz wachache sana kama ww , uruhusu MTU anunue viewers halaf uje umlipe tena kutokana na viewers zake c u shwain huo?Sasa mlidhan watakubali hao youtubewaharibu soko lao? Kiukweli Views unaweza kueanunua kabida....
Hata mimi ningekana haeanunui kulinda biashara...
The problem majority issue ya YouTube hamuijui...! Yes, inawezekana; swali linalofuata ni Views wa aina gani?! Kuna Organic and Inorganic/Automated Views! Hawa Inorganic inawezekana; tena sana! Unaweza kupata hata 50,000 within few hours! The problem ni kwamba, ukishanunua hawa Automated Views, hesabu umeliwa! Kama unaenda kitandani saa 2 usiku ukiwa umeacha Views 50,000; hesabu hadi unaamka kesho yake unakuta Views 30,000! Na baada ya wiki moja; si ajanu ukakuta hawafiki hata 5000! Wanaonunua Views wa aina hii ni wale wasiojua haya mambo yanaendaje... kasikia; au ka-Google "How to Buy Views" nae akaingia kichwa kichwa!Mwakilishi Wa you tube hajasema kununua views haiwezekani ,amesema kununua views YouTube ni vigumu kutokana na mfumo wao Wa security.
Tofautisha kati ya VIGUMU na HAIWEZEKANI sio unakurupuka tu.
Watu wanahuck CIA itakuwa You tube.
Siwez bshana maana interview hata ukuckiliza inavoonyesha yeye mwenyw alikiri aliwai fanyiwa ivo so ujumbe ulkua ni kwa wale wahusikaKwa akili yako ndogo ulitaka aseme alikuwa anamlenga domo kama hujui kusema ata picha tu huoni..???
Sasa na yeye si anunue au hana pesa, au ni kosa ka jinai kununua viewers youtube na ukigundulika ni death sentence.Siwez bshana maana interview hata ukuckiliza inavoonyesha yeye mwenyw alikiri aliwai fanyiwa ivo so ujumbe ulkua ni kwa wale wahusika
Af ommy na plat walikua mahomie so braza u never know till u dig it unless unambie we ndo promoter wake
Apo ndo sina uwezo wa kupeleka ujumbe kama unavyoweza wwSasa na yeye si anunue au hana pesa, au ni kosa ka jinai kununua viewers youtube na ukigundulika ni death sentence.
Mwambieni Ommy na kiba nao wanunue kama hawawezi basi wakaushe
Amesema kununua inawezekana ila ads zitaonekana kwenye system yaoMwakilishi Wa you tube hajasema kununua views haiwezekani ,amesema kununua views YouTube ni vigumu kutokana na mfumo wao Wa security.
Tofautisha kati ya VIGUMU na HAIWEZEKANI sio unakurupuka tu.
Watu wanahuck CIA itakuwa You tube.