Sauti yetu wanaisikia lakini hawaisikilizi, ni kama kelele za chura...hazimzuii tembo kunywa maji. Wananchi ndio tunatakiwa kutambua kuwa sisi ndio wenyenchi, hapo ndio unaweza kutegemea mabadiliko !
Tozo ziko pale pale hakuna kitakachobadilika,watu wa serikali wanashindwa nini kutoka na kutetea hili?
Amueni mkuuWenye kuamua tozo kubaki au kuondoka ni sisi bila kujali nani kutoka wapi anasema nini.
hujamwelewa!Ndugu Madelu,
Acha kupotosha, Corona karibu itaisha lakini hizi tozo mna mpango ovu wa kuziendeleza
Uzalendo wa kulazimisha,uzalendo wa kulipia kodi
hujamwelewa!
JWTZ sijui wanasubiri nini kuweka pembeni hii serikali ya ccmKumekucha!
Vilio vya kutoridhika na utendaji wa serikali ambavyo vimekuwapo kwa miaka mingi, hatimaye sasa vinasikika kila kona:
1. Zinazoitwa tozo za uzalendo,
2. Kodi zaidi zikiwamo kwenye mafuta ya vyombo vya moto,
3. Ongezea la nauli za mabasi na usafiri kwa ujumla kutokana #2,
4. Kuongezeka kwa mfumuko wa bei zaidi kwenye bidhaa na huduma zote kutokana na #2 na #3,
5. Nk
Kwa hakika havikubaliki. Serikali inabidi ijitathmini haraka na kufanya marekebisho mapema.
Kwamba posho za wabunge, Mawaziri, na vigogo wengine hazitambui tozo, kodi wala uzalendo hii nayo haikubaliki. Kwamba kuna wabunge bungeni kinyume cha sheria wakilipwa mabilioni ya pesa hili nalo haikubaliki. Kwamba kuna ufujaji wa pesa kwa mujibu CAG kuhusisha BOT, TPA, nk, haya hayakubaliki.
Kwamba kuna mashirika yanayozalisha hasara kwa taifa, nayo haikubaliki.
Nasi wahanga wa songombingo hizi za serikali, mambo ya kuweka maslahi ya vyama kichawa chawa yafike mwisho. Tuweke maslahi ya taifa mbele. Kwa pamoja tuwakemee wanaotaka kutufanya watwana katika nchi yetu wenyewe kwa kutanguliza ubinafsi wao mbele.
Hawa ni watumishi wetu wala si watawala wetu. Hawa ndiyo wanaotakiwa kutupigia sisi magoti yakiwamo pia makofi ya kutushangilia. Tunapaswa kuwafahamisha uvumilivu wetu umefika kikomo.
Kwa pamoja tunaweza.
Down na uchawa chawa uchwara wa vyama, wote !!!!!
JWTZ hawafanyi kazi hizo. Kazi hizo ni zetu sisi wenye nchi. Hiyo ikiwa hatua ya mwisho kabisa baada ya jitihada zote za kuhitaji busara kutamalaki kuwa zimeshindikana.JWTZ sijui wanasubiri nini kuweka pembeni hii serikali ya ccm
Wacha tushughulukiwe ili akili itukae vzr,wabunge wanadai mishahara yao ipande wkt watumishi wa serikali wako tabani bin hoi
Bibi anaweza kurembua tu,na kula urojo huku akiskiliza taarabu asili ya bi kidudeKuna watu wanamshauri huyu bibi vibaya ilimradi tu marehemu aonekane alikuwa anayaweza na asiposhtuka mapema, stori itajirudia.
Mkuu njia za kiraia zimeshaprove failure, mara ngapi peaceful demonstration zinapigwa bit na form failure mambosasa? Mroto?JWTZ hawafanyi kazi hizo. Kazi hizo ni zetu sisi wenye nchi. Hiyo ikiwa hatua ya mwisho kabisa baada ya jitihada zote za kuhitaji busara kutamalaki kuwa zimeshindikana.
Au nasema uongo ndugu yangu?
Umeongea utoto gani hapa we dogo?
Mkuu njia za kiraia zimeshaprove failure, mara ngapi peaceful demonstration zinapigwa bit na form failure mambosasa? Mroto?
Hakuna raia atakayenyanyua mguu kudemonstrate nchii hii ambapo hawa mbwa wa kijani wamegeuza jeshi letu la polisi kama mbwa wa mama yao, tutavumilia tu utawala wa kijeshi ili hao mbwa wa kijani waonje chungu ya kuwa nje ya madaraka, wameshaifanya nchi kama shamba la bibi yao
Mtanikumbuka kwa mazuri na kwa mabaya by Hayati Magufuli
Sasa nikiongea kihadzabe utakielewa wee mtwanga udaga?Ongea kiswahili au kikwenu wakalimani wapo. Kiswahili taabu kiingereza utakiweza?