JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Halafu mkashangaa wote.Uhakika hupatikanaje?Unaweza ukashangaa majibu ya mtu mzima hadi na yeye akashangaa.
"We were forced to form a Paramilitary Wing of uMkhonto we Sizwe within the ANC because the government of Whites Minorities of South Africa was terrorising us by using the State Security Forces."Masjala ndogo ya Dar es Salaam kuhusu kesi iliyofunguliwa na Wakili Wakili Kisabo kuhusiana na madai ya kutoweka kwa mwanaharakati kijana Deusdedith Soka na wenzake wawili.
Soma Pia: Kutoweka kwa Soka na wenzake, IGP, DPP, OCCID Temeke kufikishwa Mahakamani kwa Hati ya dharura
Chanzo: Jambo TV