Hakuna mwanamke anayeuza uchi na wala hakuna mwanamke anayetowa bure.
Ajitokeze kidume hapa atupe ushuhuda kwamba kila baada ya game anaachana vipi na demu anampa pesa au hampi pesa? Tuache unafki hakuna mwanamke anayetowa bure huu ndio ukweli na tuukubali sasa.
Na kwa utafiti wangu wa uhakika nilioufanya wale wanawake wa kupatana nao malipo ndio gharama nafuu kuliko hawa unaonunuwa bila kujijuwa tena ukianza na kumgharamia kwenye starehe bia, msomi zawadi n:k. Na pesa juu.
Wale wa kupatana malipo hawana haja na fadhira zote hizo, wanaheshimu sana makubaliano na baada ya kumaliza mkataba hakuna lawama wala kuitana kibamia na kesho ukiwa na rafiki yake kiroho safi tu.
At your risk.