Sakata la Lissu: Mange kufunguka

Status
Not open for further replies.
Kama inalipa mwache afanye.Ni haki yake na as long as analipa kodi huko.
Cha muhimu usihukumu usije hukumiwa.Weekend njema
Ni kweli tena mwenyewe ametangaza kabisa ukimtaka dau lake sasa ni Iphone x.
 
Ujinga ni kuamini kila kitu anachopost Mange...

Chadema Kama chanjo chenu cha kuaminika ni Mange mtazidi kupoteana siku hadi siku.
ukisikia "uwiiiii" gizani ujue jiwe limepiga utosini!!
 
Hoja za Mange zinakuwa za uongo kwa kuwa yeye ni "kahaba" ama kutokana na hoja yenyewe? Maana naona badala ya kungojea Mange alete hiyo habari yake naona watu wanamjadili sana maisha yake binafsi hata kabla ya yeye kutoa habari aliyoahidi kuitoa.

Hao viongozi "wetu' bila ya kujali nafasi zao walizo nazo wengi wao ni wanzinzi wa kutupwa. Kuna waziri mmoja alimshafirisha binti kutoka Iringa mpaka Dodoma na walipomalizana alimpa milioni moja kama ujira wake. Lakini bado ni waziri na anaaminika na maagizo yake yanatekelezwa!

Huo unaoitwa "Ukahaba" wa Mange tuuweke pembeni kwanza tujadili hoja atakayoileta!
 
Mange dau lake sasa ni Iphone x,ndivyo alivyosema. Kwahiyo ukimaliza game na Mange ujue unaacha Iphone x.
 
Kichaa akikwambia njia ile kuna pesa najua utampuuza na kuendelea na safari yako kwa kumwona kichaa,lakini akisema njia ile usipite kuna wababe wa Kibiti najua utasahau ukichaa wake na kuacha njia hiyo.

Naamini Mange aliandaliwa na watu/kundi/taasisi fulani kuwa hivyo alivyo kwa malengo fulani(mazuri au mabaya). Baada ya malengo hayo kutotimia walimpuuza na kuona atakuwa hana sumu tena kwao.

Lakini sasa wakisikia kuhusu yeye amani inaisha. Hili linanifanya niamini hata kama si kwa % zote.....lakini ayasemayo huyu mtu kiasi huwa yamebeba ukweli ndiyo maana taarifa zake huwatesa baadhi ya wahusika.

Kusikia ni haki yetu na kuchambua ni wajibu wetu bila kujali yametoka upande gani.
 
Huyu mama hawezi kurudi Tanzania tena, atapigwa pingu pale Airport
Yeye mwenye analijua hilo na ndiyo maana anampetimpeti huyo mzungu wake,hata yeye mwenyewe huwa anasema.
 
Utakanusha vp na wakati ukitaka kufanya hivyo ana kublock.
 
Aibu pia kutosadiki ushahidi usio na mashaka kwenye jambo lolote hata ukitolewa na malaya ambae MAHAKAMA inaweza kumuita na kupokea ushahidi wake.STUPID.
Tatizo ana block wanaompinga.
 
Tatizo ni pale uhuru wa kujieleza unapokandamizwa watu watasikiliza chanzo chochote kile mbadala kiwe cha kweli au cha uongo.
Waafrika ndivyo tulivyo,hata huyo Mange kule instar anawablock wote wale wenye mawazo tofauti na vile anavyoviandika,hawezi kuvumilia kuoingwa.
 
Utakanusha vp na wakati ukitaka kufanya hivyo ana kublock.
Anzisheni na nyie akaunti yenu ya Instagram kumpinga si lazima mtumie ya kwake. Obama alipokuwa anashutumiwa na wapinzani wake alianzisha ya kwake akaiita "anti-Smear Campaign". wote mnaompinga Mange anzisheni akaunti yenu na nyie mtapata wafuasi.
 
Hiyo hoja yake unaijadilia wapi? maana kule ukihoji ana kublock hana tofauti na yule mwengine.
 
Juzi kati kablock watu hovyo kwa habari za Diamond tu,hataki kupingwa.

Hana tofauti na bwana yule.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…