Sakata la Lissu: Mange kufunguka

Sakata la Lissu: Mange kufunguka

Status
Not open for further replies.
Mange kwa hiyo anasubiriwa atoe kombora basi Tz Demokrasia na Uhuru wa kujieleza hakuna kwa nini hao waliompa wasiupeleke kunako husika
 
Kama anayoyaandika ni upuuzi mtupu iweje hii Serikali dhalimu imuwekee WANTED!? Si wangempuuza tu na upuuzi wake!

Ujinga ni kuamini kila kitu anachopost Mange...

Chadema Kama chanjo chenu cha kuaminika ni Mange mtazidi kupoteana siku hadi siku.
 
Kaahidi kufunguka na kuweka kila kitu hadharani soon.

Kaaandika hayo katika ukurasa wake wa Instagram muda mfupi uliopita.

Amesema tusimuombee yeye bali usiku huu tumuombee Tundu Lissu na wote waliofanikisha yeye kupata hizo nyeti muhimu.

Amemalizia kwa kusema, "it will be the bombshell of all bombeshells."

Mods hii ni taarifa tu hivyo sitarajii mtafuta huu uzi.
chochote atakachosema mie naona hakitakuwa na athari yeyote
kama walishindwa kukamatwa waliotaka kumuua dk ulimboka, basi itachukua karne kuwajua waliotaka kumuua lisu
 
Ngoja nikatafute hela, money na pesa vyuma vimekaza...nyie endeleeni kubishana na habari za Kimambi
 
Naona mnamjadili mleta mada mtarajiwa doh jifunzeni Na mbadilike watz
 
bado mnamuamini huyo malaya mange.....

Bahati mbaya unaweza kudhani Yeye ni Malaya lakini baadae ukaja kugundua pengine na aliyesababisha Wewe leo hii kuwepo duniani hadi sasa unaweza kutiririka na kuserereka hivi Mitandaoni ndiyo akawa Malaya maradufu ya Mange Kimambi. Tujitahidi tu kujikita katika mada husika na siyo kuingilia undani wa maisha ya Mtu na Mtu wakati yawezekana hata Wewe tukijua jina lako halisi na ulivyo tunaweza tukapata taarifa zako kem kem ambazo mwishowe tutakuja kugundua kwamba kumbe huyo Mwanadada Mghaibuni Mpinzani Mange Kimambi ana afadhali.
 
Kaahidi kufunguka na kuweka kila kitu hadharani soon.

Kaaandika hayo katika ukurasa wake wa Instagram muda mfupi uliopita.

Amesema tusimuombee yeye bali usiku huu tumuombee Tundu Lissu na wote waliofanikisha yeye kupata hizo nyeti muhimu.

Amemalizia kwa kusema, "it will be the bombshell of all bombeshells."

Mods hii ni taarifa tu hivyo sitarajii mtafuta huu uzi.
Tunasubiri ila isiishie kuwa mikwara mbuzi! Atawasononesha wengi
 
Sasa wakwako watu wanakula .baada upambane naumalaya wamkeo unasema mange Malaya.
Ngoja wamule tu coz hata nilivyomuoa nilikuta ashaliwa tatizo liko wapi hapo?

tatizo vijana wa karne mihemuko ina wa cost sana....
 
Kwa sasa hatuna la kusema,twasubiri ili tuje kupima.
Mange yupo Marekani,anapata taarifa kutoka Tz labda kwa kuwa huko ana kinga.
Busara ni kusubiri kitakacholetwa,tukipime.
 
Bora mange anaongea yale ambayo mtaki kusikia kuliko kuwa na taifa la wasomi waoga kuongea japo wanajua nchi inayumba hila wanogopa kusema lissu alikua anafanya bila uoga mwisho wa siku wemataka kumuua alafu unasikia mjinga anakwambia lissu sio mzalendo
 
Mkuu jamaa si ametumia tu ustaarabu, ww mwenyewe unatoa jicho jamaa anakustahi tu. Au kumuita Mange malaya ndio itakugeuza wewe rijali kumbe maji yanakuchuruzika huko uani? Acha hizo dogo, changia hoja kwa heshima lakini ukijifanya kuhamaki na matusi ya kishamba utapewa kubwa yako.
ustaarabu gani alioutumia hapo kuiingiza familia yangu kwenye mada husika....? angekuja kiistaarabu ningemjibu kiistaarabu pia?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom