elimuplatform
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,054
- 462
Ujinga ni kuamini kila kitu anachopost Mange...
Chadema Kama chanjo chenu cha kuaminika ni Mange mtazidi kupoteana siku hadi siku.
Bora huyo kuliko yule mwenye vyeti pale Bugando na bado ni kiongoziNi aibu kijana wa kitanzania kushikwa akili na muuza nyapu wa marekani.
chochote atakachosema mie naona hakitakuwa na athari yeyoteKaahidi kufunguka na kuweka kila kitu hadharani soon.
Kaaandika hayo katika ukurasa wake wa Instagram muda mfupi uliopita.
Amesema tusimuombee yeye bali usiku huu tumuombee Tundu Lissu na wote waliofanikisha yeye kupata hizo nyeti muhimu.
Amemalizia kwa kusema, "it will be the bombshell of all bombeshells."
Mods hii ni taarifa tu hivyo sitarajii mtafuta huu uzi.
bado mnamuamini huyo malaya mange.....
Ni aibu kijana wa kitanzania kushikwa akili na muuza nyapu wa marekani.
Tunasubiri ila isiishie kuwa mikwara mbuzi! Atawasononesha wengiKaahidi kufunguka na kuweka kila kitu hadharani soon.
Kaaandika hayo katika ukurasa wake wa Instagram muda mfupi uliopita.
Amesema tusimuombee yeye bali usiku huu tumuombee Tundu Lissu na wote waliofanikisha yeye kupata hizo nyeti muhimu.
Amemalizia kwa kusema, "it will be the bombshell of all bombeshells."
Mods hii ni taarifa tu hivyo sitarajii mtafuta huu uzi.
Ngoja wamule tu coz hata nilivyomuoa nilikuta ashaliwa tatizo liko wapi hapo?Sasa wakwako watu wanakula .baada upambane naumalaya wamkeo unasema mange Malaya.
ustaarabu gani alioutumia hapo kuiingiza familia yangu kwenye mada husika....? angekuja kiistaarabu ningemjibu kiistaarabu pia?Mkuu jamaa si ametumia tu ustaarabu, ww mwenyewe unatoa jicho jamaa anakustahi tu. Au kumuita Mange malaya ndio itakugeuza wewe rijali kumbe maji yanakuchuruzika huko uani? Acha hizo dogo, changia hoja kwa heshima lakini ukijifanya kuhamaki na matusi ya kishamba utapewa kubwa yako.